Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Ulichoandika na unavyojichekesha ni dhahiri fuvu lako Lina shida,kwa hiyo msaada hulipiwa na anayesaidiwa!?..
Hata Kama ni msaada ndio upewe msaada wa tende na nyama ya ngamia? Wenzetu kwa nn hamna akili?
 
Unaona ulivyo hauna akili? Mimi muda wa kupigana na mtu sababu ya dini nautoa wapi? Hapo nakueleza wewe uliyesema unaanza kucheza judo na karate.

Hivi kwa nn mnakosaga akili? Kweli kile kitabu ndio kinawalemaza ubongo?
Sasa hizo chuki mnazoleta mwishoni ni huko, ndio maana mnaambiwa acheni udini.
 
Itakua hujui thamani ya msaada wewe hata ukiwa mdogo
Maana mmeshaminishwa biashara ndio msaada wenyewe
Samweli
kisha wakampa kipande cha mkate wa tini, na vishada viwili vya zabibu; naye akiisha kula roho yake ikamrudia; kwa maana alikuwa hakula chakula wala kunywa maji, siku tatu mchana na usiku.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Msaada wa kipande cha andazi na mkate kila ijumaa? Huo ni msaada au ni upumbavu

Jumamosi hadi alhamisi wanakula nn? Na hiko kipande cha andazi na mkate kinamsaidia nn kwq siku?
 
Msaada wa kipande cha andazi na mkate kila ijumaa? Huo ni msaada au ni upumbavu

Jumamosi hadi alhamisi wanakula nn? Na hiko kipande cha andazi na mkate kinamsaidia nn kwq siku?
Naona ulivyo mpumbavu unaitukana mpaka bibilia imekuonesha thamani ya msaada hata ukiwa ni mdogo

Tatizo nyie hamna akili na hata maandiko yenu yalivyo wafunza hamuyajui.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hizo chuki mnazoleta mwishoni ni huko, ndio maana mnaambiwa acheni udini.
Wewe ni zaidi ya mpumbavu, Mimi nimekujibu kulingana na ulichoandika. Kwanza ulianza kwa vitisho mara subirini mara anzeni muone. Kweli kabisa mtu mwenye akili timamu anaweza akaandika vitisho nyuma ya keyboard? Sio ajabu ndio maana unaamini utapata mabikra 72, wajinga kabisa nyie
 
Utawapimaje hawa wana uwezo? Magufuli hakuona Waislam wenyewe uwezo?
Kuna watu wanahusika na hilo,umewahi kusoma kitabu cha Mkapa au Nyerere? Nadhani hujawahi usingekuwa unauliza swali la kitoto kama hili
 
Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!

Nataka nieleze sababu za hivyo:

1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.

Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu dunia lakini hoja yao hiyo imekuwa proven wrong.

Hasa ikafikia hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia, lakini licha ya hivyo wamekuwa wakifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekana kwa mbali.

Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.

2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.

Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii ya kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.

Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.

3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.

Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!

Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.

Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).

Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?

Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.

2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.

Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.

3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.

Nawasilisha.
Njaa hudhalilisha heshima na Uhuru wa nchi. Njaa utweza UTU wa binadamu. Dr. Bashiru Kakurwa Ali. Wananchi tuna njaa halafu mnakuja na stori za shibe ya matumbo yenu!?. Endeleeni kujifariji Ila mtambue hakuna marefu yasiyokuwa na ncha .
 
Ona sasa ulivojaa 😂😂 ila ndo profesa inabidi ujikaze
maprofesa gani njaa,ujaona ile clip Kabudi anamwita Magufuli muheshimiwa mungu😅.
profesa wako anamuona Magufuli mungu,sasa mungu kafa kapigwa chini hana kazi tena😂
 
Lakini mimi naona waswahili waendelee na hustler za kitaa tu, mbona wanakimbiza tu,, tuwaachie ndugu zetu wasomi waongoze nchi, shida iko wapi,, tuwasaidie maana kila jamii na udhaifu wake, kuna jamii zimezoea kazi za ofisini kama TRA, bank, tanroad , etc waachwe wafanye maeneo wanayoyamudu vizuri,
Waswahili ni wazuri sana kwenye ujenzi mabarabara, maghorofa, kuendesha viwanda, Transportation, kutunga miziki, football, etc,
Kila mtu afanye eneo analolimudu bana,, huo ni ushauri tu.. 🤷🏻‍♂️😇
 
Kuna watu wanahusika na hilo,umewahi kusoma kitabu cha Mkapa au Nyerere? Nadhani hujawahi usingekuwa unauliza swali la kitoto kama hili
Wao ndio wadini wakubwa, usijaribu kuwaelezea hao.
Unajua Chanzo cha VITA na UGANDA ni DINI??
 
Maxence Melo uwasilishaji wa nyuzi za aina unaongezeka Kwa Kasi inachochoe wajinga wengi kama mleta mada kuzidi kukua kiujinga.Wapuuzi Hawa wadhibitiwe mapema kabla taifa halijawa na wajinga kiwango Cha ATCl na Bombardier za cash.Mataifa matano yanayoongeza kiuchumi hakuna mojawapo linaloendeshwa kidini sijui lini tutakifunza kuishi kama viumbwe tuliombwa na Mola wetu
 
Waisilamu siyo wazalendo huo ndiyo ukweli, pia waislamu hawajali watu wanao waongoza
MCHUNGAJI KIMARO ALISHAMALIZA,NYINYI WALA POKO NI WALAFI KAMA POKO MWENYEWE.NI WAPIGAJI WA KUBWA SANA,HAMUAMINIKI HATA KIDOGO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maxence Melo uwasilishaji wa nyuzi za aina unaongezeka Kwa Kasi inachochoe wajinga wengi kama mleta mada kuzidi kukua kiujinga.Wapuuzi Hawa wadhibitiwe mapema kabla taifa halijawa na wajinga kiwango Cha ATCl na Bombardier za cash.Mataifa matano yanayoongeza kiuchumi hakuna mojawapo linaloendeshwa kidini sijui lini tutakifunza kuishi kama viumbwe tuliombwa na Mola wetu
Sijaona ukikemea watu walipoanzisha nyuzi za kuchukia waislamu kuteuliwa, ila sisi tunaoandika nyuzi kukemea nyuzi za namna hiyo unatukemea.
Kama una nia njema ulipaswa kuunga mkono uzi huu.
 
MCHUNGAJI KIMARO ALISHAMALIZA,NYINYI WALA POKO NI WALAFI KAMA POKO MWENYEWE.NI WAPIGAJI WA KUBWA SANA,HAMUAMINIKI HATA KIDOGO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nn wengi mnapenda kazi za udereva?
 
Back
Top Bottom