M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Tawire.Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tawire.Ndio
Umeona ni point sana hii lakini nikukumbushe, fuatilia elimu ilivyo yaani shule na watu gani wanakazania zaidi, shule zipi ni bora zaidi, jamii gani ya watu inakazania zaidi 'ilmu dunia' hata ukanda au makabila gani yanakazania zaidi kusoma hiyo itakupa majimu kwa grassroot ndiyo msingi unaosimasha mafanikio katika elimu hence watu kuwa na chances zaidi kuongoza sectors muhimu.WPS 365
WPS 365 is a document authoring tool that can be edited by multiple people in real time. Automatically save after modification, no need to change format, say goodbye to repeated file transfer. Support setting different members to view or edit permissions. Data is safely isolated and synchronized...eu.docs.wps.com
Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika
Monster,Umeona ni point sana hii lakini nikukumbushe, fuatilia elimu ilivyo yaani shule na watu gani wanakazania zaidi, shule zipi ni bora zaidi, jamii gani ya watu inakazania zaidi 'ilmu dunia' hata ukanda au makabila gani yanakazania zaidi kusoma hiyo itakupa majimu kwa grassroot ndiyo msingi unaosimasha mafanikio katika elimu hence watu kuwa na chances zaidi kuongoza sectors muhimu.
That link ukiwa shallow minded utaitafsiri kama ambavyo unalenga wewe but it don't mean shit, angalia wahamiaji wa Kichina na Kihindi katika nchi za Magharibi wanavyofanya vizuri professionally lakini hawako katika uongozi kwenye sectors za elimu.
Cheap excuses mkiziendekeza mtaishia kulalamika miaka nenda rudi.
Unawafaham kirilo wewe au unajisemea tu. Mzee usilazimishe historia ya dini kuwa ya watu. We unajua uchaggan kulikuwa na mamangi wangapi na walitawalaje na mfumo wao ulijiendesha vipi. Unajua uchaggan kulikuwa na bunge bendera na hata wimbo wake.? Kwa kukusaidia huyo mtu nenda kwenye maktaba za dini ndio wanamjua ila kama unataka historia ya wachagga nitakuelekeza pa kuipata sio ngumu kama unavyofikiria. Maana mangi wetu wa mwisho alikuwa msomi kuliko Nyerere na kila kitu kaweka kwenye maandishi.Kitali,
Nitakueleza kitu.
Kwa miaka mingi sana watu waliamini kuwa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ni historia ya Julius Nyerere.
Nilipoandika kitabu cha maisha ya Abdul Sykes ndipo ilipojulikana kuwa baba yake Abdul, Mzee Kleist ndiye muasisi wa African Association 1929 na Abdul Sykes kadi yake ya TANU ni No. 3 na No. 2 ni ya mdogo wake Ally na ndiye aliyesanifu kadi na kuchapa kadi 1000 kutoka mfukoni kwake.
Ally Sykes ndiye aliyemwandikia Nyerere kadi yake No. 1 kama Territorial President.
Wakajua na mengine mengi mfano kuwa mipango yote ya safari ya Nyerere UNO 1955 ilifanyika nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu ndipo kilipokuwa kituo kikuu cha mikakati.
Mkusanyaji wa fedha za safari hiyo alikuwa Iddi Faiz Mafungo kadi yake ya TANU No. 24 na ndiye alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) chama alichounda Kleist Sykes 1933 na Mweka Hazina wa TANU 1954.
Kwa nini historia hii haikuwa sehemu ya historia ya Nyerere na TANU?
Sababu ni kuwa Nyerere alikuwa kimya, wanahistoria pia walikuwa kimya na TANU yenyewe ilikuwa kimya.
Leo hawa wote niliowataja ni sehemu ya historia ya Tanganyika.
Rajabu Ibrahim Kirama leo ni sehemu ya historia ya Wachagga.
Shule na msikiti aliojenga Machame vyote vipo hadi leo na kizazi cha Waislam Kilimanjaro kinamfahamu na kila mwaka wanasoma khitma kubwa kumkumbuka.
Cjakuelewausawa wa sie tatu nyie 20 haupo tena, muwe na aibu basiii
Huoni ukweli ndg yangu.Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu ahera, lakini hoja yao hiyo siku hizi imekuwa proven wrong.
Hata ikafikia hatua hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia ili kufuta propaganda kuwa waislamu wenye vigezo vya kutosha kuhudumu katika teuzi mbalimbali hawapo, lakini licha ya hivyo hoja hiyo imekuwa ikifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi kuliko waislamu lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii na kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
mmetafuta elimu ila hamsomi whats wrong.Monster,
Naamini kabisa kuwa hujui historia ya Waislam katika kuitafuta elimu toka wakati Tanganyika iko chini ya ukoloni.
Baada ya uhuru kupatikana 1961 mwaka wa 1962 Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin chini ya mwamvuli wa East African Muslim Welfare Society (EAMWS) aliitisha Muslim Congress kujadili suala la elimu kwa Waislam.
Katika mkutano huu Sheikh Hassan bin Ameir alisema kuwa uhuru tulioupigania Waislam kwa nguvu zetu zote umepatikana sasa tupiganie elimu.
Congress ikapitisha azimio la kujenga shule nchi nzima na kujenga Chuo Kikuu.
Kazi ikaanza chini ya EAMWS shule zikawa zinajengwa.
Mwaka wa 1968 Nyerere akaalikwa na EAMWS kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu Chang'ombe.
Nyerere na Kanisa hawakupenda kuona juhudi hizi zinafanikiwa.
Chokochoko za chinichini zikaanza dhidi ya EAMWS na uongozi wake.
Serikali ikaivunja EAMWS na kuunda BAKWATA na ikachukua mali za EAMWS na kuipa BAKWATA.
Sheikh Hassan bin Ameir akakamatwa na kufukuzwa Tanganyika.
Huu ndiyo ukawa mwisho wa miradi yote ya elimu.
Tusimame hapa kwa sasa ukipenda tutaendelea kwani ni kisa kirefu sana cha mapambano baina ya Waislam na serikali na mawakala wa kanisq ndani ya serikali waliokuwa na mipango maalum ya kuhakikisha kuwa Waislam waTanganyika hawatopewa fursa sawa na wengine katika elimu.
Kitali,Unawafaham kirilo wewe au unajisemea tu. Mzee usilazimishe historia ya dini kuwa ya watu. We unajua uchaggan kulikuwa na mamangi wangapi na walitawalaje na mfumo wao ulijiendesha vipi. Unajua uchaggan kulikuwa na bunge bendera na hata wimbo wake.? Kwa kukusaidia huyo mtu nenda kwenye maktaba za dini ndio wanamjua ila kama unataka historia ya wachagga nitakuelekeza pa kuipata sio ngumu kama unavyofikiria. Maana mangi wetu wa mwisho alikuwa msomi kuliko Nyerere na kila kitu kaweka kwenye maandishi.
Sikuambii mmeru Chief nakuambia mchagga si unaona sasa. Uliwah kujua mangi meli kuna watu aliwah kuwatuma mpaka ujeruman kama wawakilishi wake Chief.Kitali,
Unaniuliza kama namfahamu Joseph Kirilo.
Naam namfahamu Joseph Kirilo vizuri na mchango wake katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Katika kitabu cha Abdul Sykes (English) nimemtaja mara 25 na katika (Kiswahili) mara 32.
Nakuwekea na picha nilipofika nyumbani kwake Ussa River mwaka wa 1989 nikiwa na Abdulwahid Ally Sykes mtoto wa Ally Sykes ambae yeye alikuwa rafiki yake sana kwa ajili ya urafiki uliokuwapo baina yake na akina Sykes wakati wa kwanza Meru Land Case kisha katika kamati ya Joseph Kirilo, Abdu Kandoro na Abbas Sykes aliyotembea Tanganyika kueleza yaliyojiri UNO katika safari ya Kirilo na Earle Seaton mwaka wa 1952.
Ningeweza kukueleza mengi lakini naamini hayo hapo juu yanatosha la unhitaji taarifa zaidi nifahamishe.
Kulia Mwandishi na Abdul Ally Sykes nje ya nyumba ya Joseph Kirilo Ussa River 1989
Kitali,Sikuambii mmeru Chief nakuambia mchagga si unaona sasa. Uliwah kujua mangi meli kuna watu aliwah kuwatuma mpaka ujeruman kama wawakilishi wake Chief.
Lap...mmetafuta elimu ila hamsomi whats wrong.
shule za kiislam na vyuo vyake ndivyo vinavyoshika mkia.
Hakuna mangi kirilo chief ila narudia tena hujui historia ya wachagga Chief. Kwa kukusaidia Mangi Meli alikuwa mtu wa karibu sana wa wajeruman kabla hawakosana. Na ndie aliyewatumia kumsaidia kuwapiga tawala nyingine uchaggan. Mzee huongei na mtu mwepesi. Sio kwamba sisi tunaongea bila tafiti. Nimekuambia ukihitaji historia ya wachagga zipo sio hizo za kidini. Unatakiwa kujua wazungu wa kwanza kufika walifikia wapi kabla ya kuja wazungu ni koo gan ilitawala uchaggan nkKitali,
Katika utafiti wangu sikupata kumsoma Mangi Kirilo popote.
Nitashukuru sana kama utanipa taarifa zake zaidi na alitawala wapi na miaka ya utawala wake.
Halikadhalika sijaona popote pale Mangi Meli alipotuma ujumbe kwenda Ujerumani.
Historia ya Mangi Meli na Wajerumani ni historia ya uhasama.
''Mangi Meli akiwa bado kijana mbichi wa miaka 40 alinyongwa kwa idhara kubwa pamoja na majemadari wake wawili mbele ya watu wake tarehe 2 Machi 1900.
Inasemekana kukamatwa kwake kulitokana na usaliti uliofanywa na baadhi ya machifu wenzake waliokula njama na Wajerumani.
Kitanzi hakikutosha kumaliza uhai wa Meli.
Ilibidi wammalize kwa risasi akiwa amelala chini akivutia roho.
Kosa la Mangi Meli lilikuwa kupinga ukoloni wa Wajerumani katika nchi yake alimozaliwa na kama walivyofanya kwa fuvu la Mtwa Mkwawa ni hivyohivyo walikikata kichwa cha Mangi Meli na kukipeleka Ujerumani.
Wajerumani hawakuthamini ihsani aliyofanya Mangi Mandara ya kuwakaribisha na kuifunga nchi yake kupokea Injili.
Wajerumani kwa kumyonga Mangi Meli mtoto wa Mangi Mandara walipeleka ujumbe mzito kwa watawala wote wa Uchaggani nini kitegemewe kuwapata ikiwa watathubutu kunyanyua silaha dhidi yao.''
(Mohamed Said, ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemedari wa Vita Kuwa Jemedari wa Uislamu,'' (2020).
View attachment 2536859
Sheikh Rajabu Ibrahim Kirama
Hii ndiyo historia ijulikanayo.
Ikiwa wewe una historia kinyume ya hii tafadhali tufahamishe.
Kitali,Hakuna mangi kirilo chief ila narudia tena hujui historia ya wachagga Chief. Kwa kukusaidia Mangi Meli alikuwa mtu wa karibu sana wa wajeruman kabla hawakosana. Na ndie aliyewatumia kumsaidia kuwapiga tawala nyingine uchaggan. Mzee huongei na mtu mwepesi. Sio kwamba sisi tunaongea bila tafiti. Nimekuambia ukihitaji historia ya wachagga zipo sio hizo za kidini. Unatakiwa kujua wazungu wa kwanza kufika walifikia wapi kabla ya kuja wazungu ni koo gan ilitawala uchaggan nk
Narudia kukuambia Mzee huijui historia ya wachagga Chief. Acha kung'ang'ania. Ukitaka historia niambie nikuelekeze pa kuipata.wewe elezea historia ya uislam lakin sio ya wachagga. Tofautisha mandara aliyewapokea wamishenari na Meli aliyepokea utawala wa kijeruman. Nikuulize swali dogo. Unamfahamu mjeruman aliyeitwa "mbuuya" na wachagga?Kitali,
Wewe ndiyo uliyoleta jina la Kirilo katika Mangi.
Ndugu yangu unaandika umekasirika kwa Wachagga kuhusishwa na Uislam.
Hii ndiyo imekuvuruga.
Mimi sisemi kuwa ni bingwa wa historia ya Wachagga ila nimeingizwa katika historia ya Wachagga kwa kuandika kitabu cha Mchagga Sheikh Rajabu Ibrahim Kirama.
Ukaribu wa Mangi Meli na Wajerumani inategemea wewe unavyotafsiri siwezi kukuingilia kwa hilo.
Historia inaonyesha urafiki ulikuwa baina ya baba yake Rindi Mandara na Liepzig Mission kwa kuwapa ardhi bure na kuwafungulia milango ya kutangaza Injili.
Mangi Mandara alipokufa ndiyo Meli akaanza kudai ardhi yao ilipiwe.
Hapo ndipo ugomvi ukazuka.
Unazungumzia uzito wako katika historia?
Sawa mimi nashukuru kwani nataka nisome nisiyoyajua kuhusu Ibrahim Kirama kutoka kwako lakini bahati mbaya historia yake imekuudhi kwa kuwa ni historia ya kuenea kwa Uislam Uchaggani.
Lakini elewa mimi nimeandika kitabu cha Rajabu Kirama si historia ya Wachagga kama kabila.
Wazungu waliofika Uchaggani nawafahamu nina historia yao yote.
Nimemsoma Baba wa Wachagga Mjerumani Bruno Gutmann vizuri.
Alikuwa rafiki mkubwa wa baba yake Rajabu Kirama Mzee Muro Mboyo Kamanda wa Majeshi ya Chief Shangali.
Wewe mwenyewe ni MdiniTangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu ahera, lakini hoja yao hiyo siku hizi imekuwa proven wrong.
Hata ikafikia hatua hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia ili kufuta propaganda kuwa waislamu wenye vigezo vya kutosha kuhudumu katika teuzi mbalimbali hawapo, lakini licha ya hivyo hoja hiyo imekuwa ikifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi kuliko waislamu lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii na kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
Huyu Mleta mada ni Mpuuzi mmoja aliyejiandikia tu bila ushahidi wowoteListen, miongoni mwa hoja zako ulizoandika hapo juu ikiwemo ya "chuki tu" wewe ndie unachochea hizo chuki kuwepo. Naona umeandika tu jumla kuna watu wanachukia uislam maofisini wakiona hijabu wanakasirika kama vile umeingia ndani ya mioyo yao, kisha ukaziona hizo chuki zao.
Ungekuja angalau na mifano ya matukio halisi yanayothibitisha hii hoja yako iliyojaa hisia iwe fact, lakini kinyume chake, umekuja na mawazo yako binafsi na kuyageuza ndio fact, kwanini hao watu waichukie "hijab" au salamu ya "Assalam alleykum" ikiwa wamekuwa wakizisikia miaka mingi huko mitaani?
Njoo na mifano halisi ya chuki kama ile tunayoiona Zanzibar wakristu wakichomewa makanisa yao, au padri kumwagiwa tindikali ndio tuamini wakristu wanachukia uislamu kama ulivyoandika, lakini sio kwa maneno matupu pekee.
Ulichofanya hapa, umeenda kuokoteza mifano ya nchi za nje na kuja kuitumia hapa kwetu, this is wrong, kwasababu mazingira ya wale na sisi hayafanani hata kidogo, umetumia comparison badala ya mifano ya ndani kuhukumu hapa kwetu.
Hivyo, hata hiki ulichoandika hapa kwangu ni muendelezo wa fikra duni, ujinga; sioni kama taifa tunaweza vipi kupiga hatua kimaendeleo ikiwa bado tutakuwa tunatazamana kwa jicho la dini, kabila, au rangi.
Wewe umekuja hapa kuwatetea wale wa dini yako, simply umekuja kuongeza tatizo, hukumbuki wapo wasio na dini, wakina Kiranga na wenzake wao wamenyamaza kimya, hawana msemaji wao, na wala hawana hivi viherehere mlivyonavyo wengine.
We need to stop this kind of ignorance, kwasababu kutaka watu wa dini yako wawepo kwenye mamlaka hakutakusaidia chochote kama hutakuwa na mahusiano nao ya moja kwa moja, zaidi, kinachowafanya wengi wazungumzie hii issue ni kama ulevi tu, tena usio na tija kwao, wala kwa taifa.
Huu upuuzi una extend mpaka pale anapokuwepo kiongozi fulani, halafu wale wa dini yake wanakuwa hawaoni baya lolote toka kwake, huu nao ni ujinga mwingine mkubwa zaidi, kusifia/tetea kila linalofanywa na yule wa dini yako upuuzi.
Huko Arusha ndio kabisaa MSAHAURubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi Mama ni mdini sana hafai
Weka na Wakuu wa Nchi (Marais), Makamu wa Rais na Mawaziri Wakuu kwa Upande wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania : -VIONGOZI WA NECTA TANGIA KUANZISHWA KWAKE 21/11/73
1
1973 - 1977
P. MSEKWA
MKRISTO
2
1977 – 1980
I.M KADUMA
MKRISTO
3
1980 - 1988
N. A KUHANGA
MKRISTO
4
1988 - 1992
G. R. N.MMARI (prof)
MKRISTO
5
1992 - 1999
M.L LUHANGA
MKRISTO
6
1999 – 2004
G.R.V MMARI (prof)
MKRISTO
7
2004 - 2007
E. MWAIKONDO (PROF)
MKRISTO
8
2007 - 2018
R.S MKANDALA (PROF)
MKRISTO
9
2018 – to date
W.A.L. ANANGISYE (PROF)
MKRISTO
10
SECONDARY KUTOKA (DED)
EMANUEL BARIDI
MKRISTO
11
PRIMARY KUTOKA (DED)
ESTHER THOMAS
MKRISTO
12
UALIMU NA UTAALAM KUTOKA (DED)
JOSEPH KAMILI
MKRISTO