nimetumia zote , 1hd ina balaa, japo 4m 51 kuna ile ya 155hp nayo ina balaa ila hifui dafu kwa 1hdAhsante mkuu japo 4M kuna watu wanaziongelea kuwa HD hazifui dafu ila maelezo yako nimeyakubali uko deep,nimewahi safiri nazo zote kwangu naona 24 iko vizuri hasa mlimani.
mitsubishi anatumia engine aina moja kwa basi na gari za mizigo, toyota kuna wakati anatofautisha engine kwa gari za mizigo na basi, 1hd ilikuwa upgaraded to 1vd ftv v8 ,Ni kweli ila sijawaelewa ilibidi wa-step up kwa kutengeneza engine yenye nguvu zaidi ya 24(1hd-fte)badala yake wanaweka NO4C,wamerudi nyuma.
Mitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.nimetumia zote , 1hd ina balaa, japo 4m 51 kuna ile ya 155hp nayo ina balaa ila hifui dafu kwa 1hd
4m zinadumu kuliko 1hd though
Hii inakumbusha enzi za michuano ya mabasi ya nissan diesel na yenye engine za scania pamoja na isuzu rough road za mikoaniMitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.
Kwenye mlima Rosa hata hii yenye turbo huwa inasinzia hata urudi gia ndogo tofauti na 1hd-fte ambayo ukirudi gia ndogo ukaikanyaga haswa inafunguka Sana.
kweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tintedHiyo kama haijanunuliwa haijanunuliwa na Serikali, Basi tutegemee kuiona miaka kumi na tano ijayo, Tena na teknolojia itakuwa imebadilika, maana saa hizi wengi wanahamia kwenye renewable energy vehicles
Yeskweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tinted
No4c ni gari ya 4 clinder kama pasoN04C haitii mguu kwa mwendo kwenye 1HD zote.
HALLO, SAMAHAN NATAKA KUULIZ KWANN KWA HUKU DAR ES SALAAM, BAADHI HAWAPENDI ENGINE YA NO4C WAKISEMA GHARAMA KU MAINTAIN ALAF SIO NZUR KWA KAZ, PLEASE NAOMBA JIBU NI KWELIkweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tinted
KWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?hino NO4C na JO5C ni efficient na zina pass vizuri emmission laws, kwa soko la uk kwa mfano wako sensitive , ndo maana toyota wanaweka engine za hino
sijajua uimara wa 15b fte ila nafahamu ina uwezo
NAPENDA SANA MAJIBU YETU, MNAJIBU KIUFASAHA KABISASorry mkuu hakuna injini ya 1hz-t toka kiwandani ila kuna 1hz hiyo t imesimama kama kiwakilishi cha turbo na kikiwa kwenye 1hz lazima kuna modification imefanyika.
Sijaitumia No4c ila ni moja ya engine ninayoipenda sanaKWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?
Kwa biashara ya Daladala usijaribu kuchukua engine za kisasa labda uwe na fundi na dereva anayejitambua. Kama unachukua kwa ajili ya Staff Bus na Special Hire sawa.KWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?