Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

nimetumia zote , 1hd ina balaa, japo 4m 51 kuna ile ya 155hp nayo ina balaa ila hifui dafu kwa 1hd
4m zinadumu kuliko 1hd though
Mitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.
Kwenye mlima Rosa hata hii yenye turbo huwa inasinzia hata urudi gia ndogo tofauti na 1hd-fte ambayo ukirudi gia ndogo ukaikanyaga haswa inafunguka Sana.
 
Honestly speaking of 1HD-FTE ni moto wa kuotea mbali ni very powerful engine mlima huwa tambarare kwa engine hii me napenda zaidi kutumia 6F
 
Naona kinglong nao wameleta small bus za kushindana na Rosa/Coaster
 
Mitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.
Kwenye mlima Rosa hata hii yenye turbo huwa inasinzia hata urudi gia ndogo tofauti na 1hd-fte ambayo ukirudi gia ndogo ukaikanyaga haswa inafunguka Sana.
Hii inakumbusha enzi za michuano ya mabasi ya nissan diesel na yenye engine za scania pamoja na isuzu rough road za mikoani
 
Hiyo kama haijanunuliwa haijanunuliwa na Serikali, Basi tutegemee kuiona miaka kumi na tano ijayo, Tena na teknolojia itakuwa imebadilika, maana saa hizi wengi wanahamia kwenye renewable energy vehicles
kweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tinted
 
kweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tinted
HALLO, SAMAHAN NATAKA KUULIZ KWANN KWA HUKU DAR ES SALAAM, BAADHI HAWAPENDI ENGINE YA NO4C WAKISEMA GHARAMA KU MAINTAIN ALAF SIO NZUR KWA KAZ, PLEASE NAOMBA JIBU NI KWELI
 
hino NO4C na JO5C ni efficient na zina pass vizuri emmission laws, kwa soko la uk kwa mfano wako sensitive , ndo maana toyota wanaweka engine za hino
sijajua uimara wa 15b fte ila nafahamu ina uwezo
KWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?
 
Sorry mkuu hakuna injini ya 1hz-t toka kiwandani ila kuna 1hz hiyo t imesimama kama kiwakilishi cha turbo na kikiwa kwenye 1hz lazima kuna modification imefanyika.
NAPENDA SANA MAJIBU YETU, MNAJIBU KIUFASAHA KABISA
 
KWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?
Sijaitumia No4c ila ni moja ya engine ninayoipenda sana
Ila engine karibu zote za common rail fuel injection huwa zina gharama sana ku maintain
 
KWANN KAMA HUKU DAR ES SALAAM NAOMBA BAADH YA WAFANYA BIASHARA HAWAPENDI NO4C WAKISEMA NI COST MAINTAIN NA INAKUFA HARAKA?
Kwa biashara ya Daladala usijaribu kuchukua engine za kisasa labda uwe na fundi na dereva anayejitambua. Kama unachukua kwa ajili ya Staff Bus na Special Hire sawa.

Shida ni matunzo yakiwa hafifu na gharama zake za vipuri zipo juu.Kwenye Daladala ni vyema ukachukua 13b,14b,12h,2h na 1hz. Daladala chache zina 1hd fte na ukikuta imekuja kwenye daladala ujue imetoka kwenye Route ndefu za mkoa au ilitumika sana kama special hire
 
Back
Top Bottom