Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nawakati huo wanaccm wanadeki barabara ili apite samia Kule Tanga badala ya kutafuta pesaTutafute pesa tununue vitu vizuri kama hilo Harrier new model badala ya kutwa kuongelea no reform no election kama Chadema, matajiri akina Dangote,Mo Dewji na akina Bakheresa hawana huo muda wa kuongelea ooh no reform no election wanatafuta hela
Huku huku huko Chadema kwaya master wa wimbo wa no reform no election hela tu ya kula na kuishi na ya gari yake anachangisha wanachama yuko choka mbaya mfukoni