Ijue Vita iliyopiganwa miaka therathini (thirty years' war)

Ijue Vita iliyopiganwa miaka therathini (thirty years' war)

Huku tukiendelea kujikinga na Corona nimeona kidogo tujikumbushe historia kidogo ya hii Vita maarufu huko barani ulaya .chanzo Cha Vita ni kushindwa kwa mkutano wa amani(An important cause of the war was the fairlure of peace of Ausburg to settle all the reliogius problem of Germany.)kuhusu mkutano huu uliwatambua pekee Lutheran huku wakalvini wakiaachwa pia ulishindwa katika kugawa Mali za kanisa baina ya wakatoliki na Lutheran sababu nyingine ni viongozi wengi walipenda kuingia katika Vita hivi ili kujipatia Mali . Germany ndio ilikuwa uwanja mkuu wa Vita hi ya miaka therathini ambayo ilianzia bohemia .Kwa Mara ya Kwanza Vita vilipigwa baina ya prostentant na Catholic .lakini baadaye nchi zikaingia vitani .kwa Mara ya Kwanza Denmark aliingia upande wa Protestant mwaka 1625 . Lakini majeshi ya Catholic yaliwashinda yakiwa chini ya kamanda Albrecht wellenstein yakawafukuza wadenimark .Vita haikushia hapo .Mwaka 1630 Sweden wakaja kuwasaidia Protestant ingiwa majeshi ya Sweden chini ya mfalme wait Gustavus Adolphus kupata ushindi Mara kadhaa mfalme wa Sweden aliuawa katika Vita hivyo mwaka 1632.when it seemed that the fighting had ended , suddenly France entered the war on side of Protestants.patamu apo Cha kushangaza kipindi France alikuwa ni pure Catholics county na uongozi ulikuwa chini ya cardinal Richelieu .baada ya Vita vikali France na washirika wake wakashinda na Vita ikaisha mwaka 1648 baada ya kupigwa kwa miaka therathini kwa kusaini mkutano wa amani Ali maarufu peace of Westphalia . Baada ya Vita France ndio akawa mbabe wa ulaya nzima baada ya kumtwanga mhispaniaola kwa hizi dini Kuna watu walimwaga damu zao wakizigania .Ajabu Leo Mambo waliyopigania kwa kumwaga damu Leo watu wanafanya kinyume .shukrani Sana munakarishwa kwa maoni na maswali .Marco Polo jr
Haya mambo ya dini ndiyo maana kuna muda uwa yananipita kushoto.
DUnia imepoteza watu wengi kwa jina la Mungu/Allah kuliko watu waliowahi kuuawa na wapagani.
Vita ya msala, vita hii unayozungumzia, kuawa watu wasiyokubariana na imani hizi na mpaka leo bado watu wanauawa kwa jina la Mungu.
Huenda hata Mungu mwenyewe anatushangaa
 
Back
Top Bottom