Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Naona wapiga lamri mmeanza kuwa wengi.. Ebu karudie kupiga vizuri lamri yako mkuu naona kama imekuja na majibu sio hivi
 
Mzee hakuna sehemu yoyote inayozungumzia harmagedon ni vita dhidi ya Marekani, kumbuka msingi wa neno harmagedon ni Israel ambapo kuna bonde linaitwa megido na kwa kifupi vita ya harmagedon ni mataifa ya dunia hasa ya kiarabu pamoja na Urusi na China kupigana na Israel kwa nia ya kuiangamiza lkn hawatafanikiwa maana Christo Yesu mwenyewe atashuka kuwatetea watu wake Israel.
 
mkuu,nchi ya china kwenye biblia inatumia jina gani?
 
Leo nmeweza kumaliza kuunganisha dots jinsi itakavyokua.me nliishia kujua tuu mchina na mrussi watampiga usa lakini sikujua sie waafrica tutaingiaje katika hiyo vita..thanks for that.
Chengine.katika utabiri wa uislam katika siku za mwisho Mtume alionya kuwa atakuja masihi "dajjal"...hili ni kama pepo kwa mfano wa mtu.atakua na jicho moja.na atakua anajiita Mungu.atakapoachiwa huru maana yupo sehemu kafungiwa,Waizrael ndo watakua watu wa kwanza kumpokea huyo jitu lenye jicho moja...infact anayo mawili lakinimoja ni bovu.halioni..ndio maana ya ile nembo ya jicho katika noti ya dollar.
Hivyo me naona kipindi waizraell wanakaribia kushindwa ndo atajitokeza uyo jamaa na kuwaokoa na pia kuiokoa marekani wauaji wakubwa...
Kwa kweli Tumuombe MUNGU sana.hizo siku ziko karibuni sana...
 
Umetunga vizr lakn ipo kinyume na utabili wa kibiblia.
Kwenye maandiko (biblia) haijaeleza ni taifa gan litawin hiyo vita. Ingawa Israel itapigwa vbaya sana, itakua kwenye kipindi cha dhiki kuu ambayo haijapata kuwako.
 
China/north korea .....nyota ndogo ya mashariki ya mbali
 
huyo yesu aje kuwatetea wa israel wakishambuliwa na russia wakati alishindwa kujisaidia yeye mwenyewe kasulubiwa na watu wanafimbo mikononi ma mishale hebu toka na uongo wako.
 
Umesahau jambo moja la msingi.. Wakati vita hii inatokea, watakatifu wote watakuwa wamekwisha nyakuliwa kwenda Mbinguni
bila shaka na mimi nimtakatifu" kwahiyo hiyo vita hainihusu
 
huyo yesu aje kuwatetea wa israel wakishambuliwa na russia wakati alishindwa kujisaidia yeye mwenyewe kasulubiwa na watu wanafimbo mikononi ma mishale hebu toka na uongo wako.
haha...kwahiyo yesu atakuja akiwa full na elimu ya amiri jeshi mkuu au ...maana kama silaha ambazo zitakuwa zinatumika ni hzo za nyukilia....najuliuliza huyu yesu atawezw vipi kuzitumia na kuingia nazo vitani " mpka kuwza kuwa mshindi
 
mkuu unashangaa wakati aliweza lisha watu zaidi ya elfu 5 Kwa samaki na mikate 2
 
mkuu unashangaa wakati aliweza lisha watu zaidi ya elfu 5 Kwa samaki na mikate 2
hadithi tu hizo mkuu achana nazo "".....mbona hpa hapa Tanzania ng'wana malundi aliukausha mti kwa kuunyooshea tu mkono "" na hamumtukuzi ""
 
Afadhali haujaona choo katika ndoto yako, maana ungeamka umeloanisha shuka...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…