Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Naona wapiga lamri mmeanza kuwa wengi.. Ebu karudie kupiga vizuri lamri yako mkuu naona kama imekuja na majibu sio hivi
 
Mzee hakuna sehemu yoyote inayozungumzia harmagedon ni vita dhidi ya Marekani, kumbuka msingi wa neno harmagedon ni Israel ambapo kuna bonde linaitwa megido na kwa kifupi vita ya harmagedon ni mataifa ya dunia hasa ya kiarabu pamoja na Urusi na China kupigana na Israel kwa nia ya kuiangamiza lkn hawatafanikiwa maana Christo Yesu mwenyewe atashuka kuwatetea watu wake Israel.
 
mkuu,nchi ya china kwenye biblia inatumia jina gani?
 
Leo nmeweza kumaliza kuunganisha dots jinsi itakavyokua.me nliishia kujua tuu mchina na mrussi watampiga usa lakini sikujua sie waafrica tutaingiaje katika hiyo vita..thanks for that.
Chengine.katika utabiri wa uislam katika siku za mwisho Mtume alionya kuwa atakuja masihi "dajjal"...hili ni kama pepo kwa mfano wa mtu.atakua na jicho moja.na atakua anajiita Mungu.atakapoachiwa huru maana yupo sehemu kafungiwa,Waizrael ndo watakua watu wa kwanza kumpokea huyo jitu lenye jicho moja...infact anayo mawili lakinimoja ni bovu.halioni..ndio maana ya ile nembo ya jicho katika noti ya dollar.
Hivyo me naona kipindi waizraell wanakaribia kushindwa ndo atajitokeza uyo jamaa na kuwaokoa na pia kuiokoa marekani wauaji wakubwa...
Kwa kweli Tumuombe MUNGU sana.hizo siku ziko karibuni sana...
 
Wakuu habari za wakati huu

Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende pamoja....

Vita hii itakuwa kubwa sana itakayosababisha dunia kubaki mashimo mashimo itakuwa juu ya nyuklia na atomic na mamilioni ya watu watakufa na miaka ya ujima na ujamaa itajirudia baada ya kila kitu kuangamizwa
Itakuwa hivi siku zinakuja ambapo jeshi la China litashambulia USA kwa nguvu za Urusi na Korea KASKAZINI ya KIM JONG ''MZEE WA KIDUKU'' na kuicha magofu kabisa juu ya sakata la SYria na
NYUKLIA ZA IRAN. Hapo nchi za ulaya zitaunda umaja wa wa NATO ya kugawana majukumu ya kuvamia china na urusi lakina wataungana hawatashikama hivyo zipo nchi zitakataa kupigana vita kulinda uchumi wao ikiwemo Germany, sweden, Norway,France lakini kinara wao uingereza na NATO itavamiwa na kutokomezwa kabisa

Ikumbukwe kuwa hapa URUSI anaitaji kuwa mbabe wa kivita ulimwengu wote majeshi ya AFRIKA yatangana ili kulinda bara lao zidi ya mashambulizi maana nchi ya urusi itadai kuwa na RAIS mmoja AFRICA jambo litakapingwa na ya AU china itavamia nchi za AFRICA IKIWEMO AFRICA MASHARIKI KATI NA KUSINI na kuweka utawala juu ya viongozi wote wa AFRICA hapo watu watakuwa wanashangaa nini kimetokea duniani na dunia itakuwa taabani siku hizo njaa na tabia nchi itaharibika uchumi utashuka dunia itakuwa imejaa mshimo sababu ya makombora ya nuclia
Kutokana na nchi zote kuwa taabani sana mataifa watakaa kupanga dunia itakuwaje mahali sana watataka kuwa utawala mmoja kutoka mashariki ya kati
Lakini nchi zote za UARABUNI baada ya kuona USA imetokomezwa wataungana pamoja kuvamia taifa ya ISRAEL kupitia Palestina kisingizio juu ya jiji la JERUSALEMU.
Hapa ndipo utakuwa mwanzo wa vita hasa Israel itapigana na maifa yote ya Urabuni wakiongozwa na IRAN,UTURUKI,MISRI vita itakuwa kubwa mmno watu watakamatwa kwenda kusaidia kuvamia ISRAEL ikiwemo TANZANIA lakini wataishia tu kuzunguka jiji la JERUSALEMU .Hapo itakuwa vita ya mataifa ya dunia juu ya ISRAEL lakini kwa maajabu makuu ISRAEL itayashinda na hurudisha utawala NATO bara la ULAYA na kukomboa USA mikononi mwa URUSI na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa vita itakayo dumu kwa muda kama miaka 7
baada ya vita kuuwa zaidi ya theluthi ya watu duniani na uchumi wa dunia kuanguka kwa asilimia zaidi ya 87% ndipo zama za kale zitajirudia maana kila mtu na taifa watashangaa nini kimetokea dunia. View attachment 755154 View attachment 755154
Umetunga vizr lakn ipo kinyume na utabili wa kibiblia.
Kwenye maandiko (biblia) haijaeleza ni taifa gan litawin hiyo vita. Ingawa Israel itapigwa vbaya sana, itakua kwenye kipindi cha dhiki kuu ambayo haijapata kuwako.
 
Mzee hakuna sehemu yoyote inayozungumzia harmagedon ni vita dhidi ya Marekani, kumbuka msingi wa neno harmagedon ni Israel ambapo kuna bonde linaitwa megido na kwa kifupi vita ya harmagedon ni mataifa ya dunia hasa ya kiarabu pamoja na Urusi na China kupigana na Israel kwa nia ya kuiangamiza lkn hawatafanikiwa maana Christo Yesu mwenyewe atashuka kuwatetea watu wake Israel.
huyo yesu aje kuwatetea wa israel wakishambuliwa na russia wakati alishindwa kujisaidia yeye mwenyewe kasulubiwa na watu wanafimbo mikononi ma mishale hebu toka na uongo wako.
 
huyo yesu aje kuwatetea wa israel wakishambuliwa na russia wakati alishindwa kujisaidia yeye mwenyewe kasulubiwa na watu wanafimbo mikononi ma mishale hebu toka na uongo wako.
haha...kwahiyo yesu atakuja akiwa full na elimu ya amiri jeshi mkuu au ...maana kama silaha ambazo zitakuwa zinatumika ni hzo za nyukilia....najuliuliza huyu yesu atawezw vipi kuzitumia na kuingia nazo vitani " mpka kuwza kuwa mshindi
 
mkuu unashangaa wakati aliweza lisha watu zaidi ya elfu 5 Kwa samaki na mikate 2
 
mkuu unashangaa wakati aliweza lisha watu zaidi ya elfu 5 Kwa samaki na mikate 2
hadithi tu hizo mkuu achana nazo "".....mbona hpa hapa Tanzania ng'wana malundi aliukausha mti kwa kuunyooshea tu mkono "" na hamumtukuzi ""
 
Afadhali haujaona choo katika ndoto yako, maana ungeamka umeloanisha shuka...........
 
Back
Top Bottom