Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
537
Wakuu habari za wakati huu

Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende pamoja....

Vita hii itakuwa kubwa sana itakayosababisha dunia kubaki mashimo mashimo itakuwa juu ya nyuklia na atomic na mamilioni ya watu watakufa na miaka ya ujima na ujamaa itajirudia baada ya kila kitu kuangamizwa
Itakuwa hivi siku zinakuja ambapo jeshi la China litashambulia USA kwa nguvu za Urusi na Korea KASKAZINI ya KIM JONG ''MZEE WA KIDUKU'' na kuicha magofu kabisa juu ya sakata la SYria na
NYUKLIA ZA IRAN. Hapo nchi za ulaya zitaunda umaja wa wa NATO ya kugawana majukumu ya kuvamia china na urusi lakina wataungana hawatashikama hivyo zipo nchi zitakataa kupigana vita kulinda uchumi wao ikiwemo Germany, sweden, Norway,France lakini kinara wao uingereza na NATO itavamiwa na kutokomezwa kabisa

Ikumbukwe kuwa hapa URUSI anaitaji kuwa mbabe wa kivita ulimwengu wote majeshi ya AFRIKA yatangana ili kulinda bara lao zidi ya mashambulizi maana nchi ya urusi itadai kuwa na RAIS mmoja AFRICA jambo litakapingwa na ya AU china itavamia nchi za AFRICA IKIWEMO AFRICA MASHARIKI KATI NA KUSINI na kuweka utawala juu ya viongozi wote wa AFRICA hapo watu watakuwa wanashangaa nini kimetokea duniani na dunia itakuwa taabani siku hizo njaa na tabia nchi itaharibika uchumi utashuka dunia itakuwa imejaa mshimo sababu ya makombora ya nuclia
Kutokana na nchi zote kuwa taabani sana mataifa watakaa kupanga dunia itakuwaje mahali sana watataka kuwa utawala mmoja kutoka mashariki ya kati
Lakini nchi zote za UARABUNI baada ya kuona USA imetokomezwa wataungana pamoja kuvamia taifa ya ISRAEL kupitia Palestina kisingizio juu ya jiji la JERUSALEMU.
Hapa ndipo utakuwa mwanzo wa vita hasa Israel itapigana na maifa yote ya Urabuni wakiongozwa na IRAN,UTURUKI,MISRI vita itakuwa kubwa mmno watu watakamatwa kwenda kusaidia kuvamia ISRAEL ikiwemo TANZANIA lakini wataishia tu kuzunguka jiji la JERUSALEMU .Hapo itakuwa vita ya mataifa ya dunia juu ya ISRAEL lakini kwa maajabu makuu ISRAEL itayashinda na hurudisha utawala NATO bara la ULAYA na kukomboa USA mikononi mwa URUSI na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa vita itakayo dumu kwa muda kama miaka 7
baada ya vita kuuwa zaidi ya theluthi ya watu duniani na uchumi wa dunia kuanguka kwa asilimia zaidi ya 87% ndipo zama za kale zitajirudia maana kila mtu na taifa watashangaa nini kimetokea dunia.
russia-nuclear-missiles-554673.jpg
russia-nuclear-missiles-554673.jpg
 
Una hadithi nzuri ipangilie basi kwa tuo ili msomaji wako aelewe.Usilazimishe maelfu ya matukio kutokea kwa usiku mmoja kwani hata dunia ina mamilioni ya miaka.Mambo hayatakuwa vile unafikiri yana mtindo mwingine kabisa wa kutokea.Kwa jinsi ulivyounganisha matukio unamfanya msomaji afikiri hiyo vita inaanza kesho wakati kiini cha simulizi ni kuwa hata baada ya dhiki nyingi na mateso wenye haki watashinda na kuishi milele wakiwa chini ya utawala wa Mungu mwenyewe na si ujima kama uujuavyo.Kasome tena usilazimishe hisia kutawala fikra wakati wa kusoma
 
Wakuu habari za wakati huu

Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende pamoja....

Vita hii itakuwa kubwa sana itakayosababisha dunia kubaki mashimo mashimo itakuwa juu ya nyuklia na atomic na mamilioni ya watu watakufa na miaka ya ujima na ujamaa itajirudia baada ya kila kitu kuangamizwa
Itakuwa hivi siku zinakuja ambapo jeshi la China litashambulia USA kwa nguvu za Urusi na Korea KASKAZINI ya KIM JONG ''MZEE WA KIDUKU'' na kuicha magofu kabisa juu ya sakata la SYria na
NYUKLIA ZA IRAN. Hapo nchi za ulaya zitaunda umaja wa wa NATO ya kugawana majukumu ya kuvamia china na urusi lakina wataungana hawatashikama hivyo zipo nchi zitakataa kupigana vita kulinda uchumi wao ikiwemo Germany, sweden, Norway,France lakini kinara wao uingereza na NATO itavamiwa na kutokomezwa kabisa

Ikumbukwe kuwa hapa URUSI anaitaji kuwa mbabe wa kivita ulimwengu wote majeshi ya AFRIKA yatangana ili kulinda bara lao zidi ya mashambulizi maana nchi ya urusi itadai kuwa na RAIS mmoja AFRICA jambo litakapingwa na ya AU china itavamia nchi za AFRICA IKIWEMO AFRICA MASHARIKI KATI NA KUSINI na kuweka utawala juu ya viongozi wote wa AFRICA hapo watu watakuwa wanashangaa nini kimetokea duniani na dunia itakuwa taabani siku hizo njaa na tabia nchi itaharibika uchumi utashuka dunia itakuwa imejaa mshimo sababu ya makombora ya nuclia
Kutokana na nchi zote kuwa taabani sana mataifa watakaa kupanga dunia itakuwaje mahali sana watataka kuwa utawala mmoja kutoka mashariki ya kati
Lakini nchi zote za UARABUNI baada ya kuona USA imetokomezwa wataungana pamoja kuvamia taifa ya ISRAEL kupitia Palestina kisingizio juu ya jiji la JERUSALEMU.
Hapa ndipo utakuwa mwanzo wa vita hasa Israel itapigana na maifa yote ya Urabuni wakiongozwa na IRAN,UTURUKI,MISRI vita itakuwa kubwa mmno watu watakamatwa kwenda kusaidia kuvamia ISRAEL ikiwemo TANZANIA lakini wataishia tu kuzunguka jiji la JERUSALEMU .Hapo itakuwa vita ya mataifa ya dunia juu ya ISRAEL lakini kwa maajabu makuu ISRAEL itayashinda na hurudisha utawala NATO bara la ULAYA na kukomboa USA mikononi mwa URUSI na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa vita itakayo dumu kwa muda kama miaka 7
baada ya vita kuuwa zaidi ya theluthi ya watu duniani na uchumi wa dunia kuanguka kwa asilimia zaidi ya 87% ndipo zama za kale zitajirudia maana kila mtu na taifa watashangaa nini kimetokea dunia. View attachment 755154 View attachment 755154
Haya kakojoe ukalale!
 
Albert Einstein alipoulizwa nini kitatokea endapo vita ya tatu ya dunia itatokea akajibu "siwezi zungumzia vita ya tatu lakini endapo itatokea basi silaha zitakazotumika vita ya nne ni Fimbo na mawe" ilikuwa ni august 1945 baada ya mabomu ya atomic kudondoshwa na USA huko Japan ktk miji ya Hiroshima na Nagasaki. Hivyo mleta mada hutaeleweka kirahisi kama msomaji ataliona kwa Mara ya kwanza andiko lako lakini lina ukweli kwasababu Einstein ndie mhasisi wa nuclia fission and fussion ambayo ndie fizikia ilopelekea kutengenezwa na bom la atomic na alijua zitatengenezwa silaha kubwa za maangamiz fikiria kama bom lenye tani 2 lilisambaratisha Mji wa Nagasaki sasa warusi wanayo zaidi ya 8000 na kati hayo kuna lenye tani 200 NATO wakalibatiza "SATAN" na hili limedizainiwa kwa ajili ya USA na pia hao warusi wanamabom ya nuklia ya hydrogen yaani mawili tu yakitua uingereza au ufaransa au Belgium hizo nchi zitafutika ktk uso wa dunia na ambao hatujafika huko basi zitabaki xtori. Mleta mada nimekuelewa na hicho kitu kinakuja na ujima utarudi ndio maana ya Einstein kusema kuwa baada ya vita ya 3 ya dunia vita ya 4 itakuwa ni ya Fimbo na mawe, hivi mmewahi fikiria hayo mabomu ya nuklia yaliorundika huko Russia USA NK yanasubir nini au nyie mnajua ni mapambo ya utalii? Nchi ya Japan ilionja HALMAGEDON ndo maana ile siku a simulation nuclear Missile iliopita kwa kasi ya ajabu ktk anga la Japan likitokea North Korea wazee wengi na serikali nzima ilipata hofu kubwa na kutangaza kupitia television ya taifa kutoa tahadhar juu ya kinachopita angani.
 
Umesahau jambo moja la msingi.. Wakati vita hii inatokea, watakatifu wote watakuwa wamekwisha nyakuliwa kwenda Mbinguni
 
Punguza mawazo mgando Na ya NJAA
Kuna WATU Wana Siri kubwa KUHUSU Dunia wapo kimya
In shortly upo WRONG
 
Albert Einstein alipoulizwa nini kitatokea endapo vita ya tatu ya dunia itatokea akajibu "siwezi zungumzia vita ya tatu lakini endapo itatokea basi silaha zitakazotumika vita ya nne ni Fimbo na mawe" ilikuwa ni august 1945 baada ya mabomu ya atomic kudondoshwa na USA huko Japan ktk miji ya Hiroshima na Nagasaki. Hivyo mleta mada hutaeleweka kirahisi kama msomaji ataliona kwa Mara ya kwanza andiko lako lakini lina ukweli kwasababu Einstein ndie mhasisi wa nuclia fission and fussion ambayo ndie fizikia ilopelekea kutengenezwa na bom la atomic na alijua zitatengenezwa silaha kubwa za maangamiz fikiria kama bom lenye tani 2 lilisambaratisha Mji wa Nagasaki sasa warusi wanayo zaidi ya 8000 na kati hayo kuna lenye tani 200 NATO wakalibatiza "SATAN" na hili limedizainiwa kwa ajili ya USA na pia hao warusi wanamabom ya nuklia ya hydrogen yaani mawili tu yakitua uingereza au ufaransa au Belgium hizo nchi zitafutika ktk uso wa dunia na ambao hatujafika huko basi zitabaki xtori. Mleta mada nimekuelewa na hicho kitu kinakuja na ujima utarudi ndio maana ya Einstein kusema kuwa baada ya vita ya 3 ya dunia vita ya 4 itakuwa ni ya Fimbo na mawe, hivi mmewahi fikiria hayo mabomu ya nuklia yaliorundika huko Russia USA NK yanasubir nini au nyie mnajua ni mapambo ya utalii? Nchi ya Japan ilionja HALMAGEDON ndo maana ile siku a simulation nuclear Missile iliopita kwa kasi ya ajabu ktk anga la Japan likitokea North Korea wazee wengi na serikali nzima ilipata hofu kubwa na kutangaza kupitia television ya taifa kutoa tahadhar juu ya kinachopita angani.
Aah sisi tunadhani labda ni mapambo ya kukuza uchumi[emoji23][emoji23][emoji23]...
ukifikiria hayo hutakula wala kunywa!!
ila wahenga wanasema mchimba mashimo huingia mwenyewe.. usije kushangaa yakawasambaratisha warusi wenyewe
 
Hivyo vita vitakuwa vya kutumia mishale na mapanga
 
Mkuu Heri lee kwanza hakuna kitu kinachoitwa ''HARMAGEDONI'' ni "ARMAGEDDON" au liite kwa kiswahili "AMAGEDONI"
Pia ili hiyo vita iweze kufanyika ni watu wakiweza kufanya makazi ya kudumu sayari ya Mars, huwezi ukaanzisha vita ambayo hata ukishinda itakubidi ukae zaidi ya miaka 100 kuja shangilia ushindi wako!, hapo namaanisha madhara ya nyuklia kumalizika kabisa!.
Umeiongelea Russia kama ndio mwenye 'tamaa' ya kuwa mbabe lakini hujaisoma historia kwamba wao ndio wababe wa vita duniani!. Russia hajawahi tamani kuwa mbabe wa dunia wao wanachotaka ni dunia iwe na usawa lakini maadui zao ndio wanawaweka kwenye kona ya kuvumbua vifaa hatari ili kuendana na mashambulizi yao!. So Russia hawezi ingia kwenye vita yeyote kwa nia ya kuonekana mbabe hata ukifatilia historia yao!. Refer Molotov–Ribbentrop Pact ambao ulikuja anza vunjwa na Wajerumani wenyewe, pitia hizi pia Operation Otto na Operation Barbarossa. Russia hajawahi kujishughulisha na mambo ya kuweka utawala wake Africa sijui umeyapata wapi maandiko yako!. (Please update me!).
Nashindwa elewa umeiweka vipi Uturuki na vita ya middle east!, lakini nimeyawekea shaka maandiko yako baada ya kusema Africa tutachukuliwa kwenda pigana na Israel, halafu Israel atarudisha nguvu ya NATO ulaya that is 'phrophetic hoax' at its best!.
Pia hiyo miaka 7 umeidetermine vipi?, ningependa kujua sababu ww1 ilitumia miaka 4 na ww2 ilitumia miaka 6 lakini wazungu wasivyopenda kuikumbuka hiyo miaka inakuaje wewe uweke miaka 7!?..At best ww3 haitafika miaka 2 lazima watu watakuwa historia kuwahi ishi duniani!.
Mwisho kurudi zama za kale ni kazi sana, sababu kama hujui duniani watu wameshajiandaa kwa vita ya 3 ya dunia kila teknolojia unayoijua imewekwa sehemu kama reserve, kila mazao, ujuzi, maarifa yamehifadhiwa kwnye maeneo ambayo ni Mungu pekee ataweza yaharibu. Refer hizi
  • Memory of Mankind (MoM)
  • Nordic Genetic Resource Center
  • Chemical database
  • Svalbard Global Seed Vault
  • Frozen zoo
  • Gene Disease Database
  • Gene bank
  • Sperm bank
  • Biobank
Nani wa kuianzisha ww3 ndio limekuwa swali la kuhitaji jibiwa!.
PS: Nimekufatilia uandishi wako kwenye mada kadhaa, una makosa ya herufi kiasi kwamba kuna wajinga sisi (perfectionist) tunapoteza mvuto na topic husika, nakushauri uwe unapitia andiko lako kabla ya kupost!
Vivi a lungo!
 
UFUNUO WA YOHANA 16
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
15 (Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)
16 Wakawakusanya hata mahali paitwapo kwa Kiebrania, Har-Magedoni.
17 Na huyo wa saba akakimimina kitasa chake juu ya anga. Sauti kuu ikatoka katika hekalu, katika kile kiti cha enzi, ikisema, Imekwisha kuwa.
18 Pakawa na umeme na sauti na radi; na palikuwa na tetemeko la nchi kubwa, ambalo tangu wanadamu kuwako juu ya nchi hapakuwa namna ile, jinsi lilivyokuwa kubwa tetemeko hilo.
19 Na mji ule mkuu ukagawanyikana mafungu matatu, na miji ya mataifa ikaanguka; na Babeli ule mkuu ukakumbukwa mbele za Mungu, kupewa kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya hasira yake.
20 Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.
21 Na mvua ya mawe kubwa sana, ya mawe mazito kama talanta, ikashuka kutoka mbinguni juu ya wanadamu. Wanadamu wakamtukana Mungu kwa sababu ya lile pigo la mvua ya mawe; kwa maana pigo lake ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom