Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Ijue Vita ya Harmagedone kiundani[ww3]

Heri lee China, Urusi, USA, North Korea etc zinaitwaje kwenye Biblia?
Japo sijakubaliana moja kwa moja na post hii, Kujua majina yataka macho ya ndani maana ufunuo umefichwa na wajifunua kwa nyakati na wakati namna na jinsi muda wake unavyokaribia au kutimia kwa watu wake Mungu aliowachagua kuwafunulia. sasa watadandia watu na kutoa tafsiri kibao kupotoshana!
Mataifa haya yamejitenga katika nguvu zinazotawaliwa na roho flani yenye tabia za aina moja NA ZINAJITABANISHA (jitambulisha) kwa rangi inayotawala katika bendera zao. mfano urusi,china rangi nyekundu - angalia kazi za farasi mwekundu kati ya wale farasi wanne na waliwapanda. (katika ufunuo) pia kuongezea kuna farasi mweupe huyo anaelezea vatikan na utawala wa kikatoliki duniani kwa stail na mbwembwe zao. Kijani - uislamu. Niishie hapo mana hiyo ni mada ndefu nje ya mada hii.....
 
Uyu kaja tangaza dini, unachukulia mambo kirahis rahisi tu km ivo
 
asante kwa kutushirikisha ndoto uliyoota usiku wa kuamkia leo.
 
Back
Top Bottom