Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

Sasa babu afu huna akili ndio nn?
Nlliweza kumtongoza bibi yako nikamzalisha, akamzaa BABA yako, nikachepuka upande wa pili nikamzaa MAMA yako.

Sasa kama wewe unaakili ujue umerithi zangu.
 
Mtera, Kidatu, pangani, Nyumba ya Mungu si yalijengwa na watangulizi wake pia?
Reli ya kati si imejengwa na raisi pia? cha ajabu?
Njoo na hoja mbadala.
Baada ya kujengwa mahitajibya umeme yaliisha au bado yapo na ni bei gari?
 
Mtera, Kidatu, pangani, Nyumba ya Mungu si yalijengwa na watangulizi wake pia?
Reli ya kati si imejengwa na raisi pia? cha ajabu?
Njoo na hoja mbadala.
Reli ya kati ilijengwa na rais gani mkuu?
 
Riba ya billion moja ni ndogo kuliko ya million moja, ndio maana ukitaka kufanikiwa weka malengo ya muda mrefu.

..sahihi kabisa.

..na ukiwa na tatizo kubwa unatakiwa uligawanye ktk sehemu ndogo-ndogo unazoweza kuzitatua.

..kwa hiyo kama tuna taka megawatt 2000+ ni busara kuwa na miradi ya muda mfupi na wa kati kufikia lengo kuu.
 
Only great and visionary leaders wanaweza wakachukua maamuzi mazito Kama haya.

Haangalii faida binafsi, anaangalia faida ya kizazi kijacho na mapinduzi yatakayotokana na uwekezaji huu. Angekuwa mtu mwingine angewekeza angetumia fedha hiyo kwenye vitu vidogo visivyo na Impact kubwa.

Kwanza kwenye mambo ya 'kawaida' kama shule, madawa, miundombinu, huduma za kijamii kafanya vizuri sana ukilinganisha na tulikotoka, lakini bado kamudu kufanya uwekezaji mkubwa kwenye miradi ya mkakati Kama SGR na Mwalimu Nyerere HEP.

Na maamuzi haya yana gharama. Kapigwa vita na 'mabeberu', kisha wanasiasa uchwara wa ndani udandia kila hoja inayopinga kuonyesha kafanya vibaya. Lakini porojo na uhalisia ni kama maji na mafuta havitengamani!
 
Ni kiongozi mwenye TU awezaye kufanya haya ayafanyayo JPM. Ukipitia machapisho/maandiko (literature) mbalimbali utabaini kuwa hakuna kiongozi duniani aliyeleta mapinduzi makubwa huku akiwapendeza watu. Wanamageuzi wakubwa duniani ni watu walioamua kujitoa (kwa namna fulani) ufahamu ili kufanikisha malengo ya muda mrefu. Na hilo wazungu wanalijua vema, na wamefika walipofika kwa kuwa na aina hiyo ya viongozi kwa muda fulani katika historia ya mataifa yao. kwa kujua kuwa hatuna ustahamilivu, hawaishi kutuletea vi-miradi vya kutoa suluhisho la muda mfupi mf; majenereta, solar pannels na nyinginezo kama njia ya wao kuendelea kupata deals katika nchi zetu.

Ndugu zangu, kwa sasa hivi tunalalamika. Lakini sio muda mrefu tutaanza kuona matunda ya hiki kinachofanyika. Mwaka 2022 sio mbali. Tutayathibisha haya na tutakumbushana haya tunayoyatafakari leo. Tufanye haya kwa faida yetu leo na kwa kizazi cha kesho. Hongera Mwenyekiti!
 
Only great and visionary leaders wanaweza wakachukua maamuzi mazito Kama haya.

Haangalii faida binafsi, anaangalia faida ya kizazi kijacho na mapinduzi yatakayotokana na uwekezaji huu. Angekuwa mtu mwingine angewekeza angetumia fedha hiyo kwenye vitu vidogo visivyo na Impact kubwa.

Kwanza kwenye mambo ya 'kawaida' kama shule, madawa, miundombinu, huduma za kijamii kafanya vizuri sana ukilinganisha na tulikotoka, lakini bado kamudu kufanya uwekezaji mkubwa kwenye miradi ya mkakati Kama SGR na Mwalimu Nyerere HEP.

Na maamuzi haya yana gharama. Kapigwa vita na 'mabeberu', kisha wanasiasa uchwara wa ndani udandia kila hoja inayopinga kuonyesha kafanya vibaya. Lakini porojo na uhalisia ni kama maji na mafuta havitengamani!

Mawazo makubwa haya- hongera kwako!! Sote tunahusika na ujenzi wa enzi mpya, sio kuwa watu wa kulalama tu lakini pasipo utayari wa kuvumilia machungu ya muda mfupi kwa furaha ya muda mrefu.
 
Haya mambo ndo yanapigwa vita na maadui wa nje na wa ndani wa nchi yetu,hawatamani kabisa kuona taifa letu linapiga hatua za maendeleo.
walikua wanalalamikia ufisadi na utoroshwaji wa madini pamoja na mikataba mibovu,baada ya JPM kupambana vilivyo upande huo sasa wameamia kudhihaki na kubeza miradi mikubwa ya nchi yetu.
Viva JPM.
 
Hizo blah blah za umeme tumeshazichoka. Hazina jipya.

Wakati ule wa kuchimba gesi ya Mtwara, CCM hii hii, na Magufuli akiwa waziri mwandamizi, mpiga mapambio ya kusifu na kuabudu, tuliambiwa tungepata umeme wa bei ya bure na gesi ingekuwa bwerere kiasi ambacho matumizi ya kuni na mkaa yangebakiwa kuwa historia.
Kiko wapi sasa?
Muulize Professor Muhongo alichotufanzia
Kahonga mabeberu vitaro na visima vyetu eti ndio private partnership.Katuacha peupe,sijui PHD ni kuuwa maliasili haraka au firisi nchi kwa speed ya 5G, Harafu CCM eti wamempitisha agombee ubunge its a joke. Alitakiwa awe Ukonga akitumikia kifungo cha maisha.China angeishanyongwa mbwa huyo.
 
Haya mambo ndo yanapigwa vita na maadui wa nje na wa ndani wa nchi yetu,hawatamani kabisa kuona taifa letu linapiga hatua za maendeleo.
walikua wanalalamikia ufisadi na utoroshwaji wa madini pamoja na mikataba mibovu,baada ya JPM kupambana vilivyo upande huo sasa wameamia kudhihaki na kubeza miradi mikubwa ya nchi yetu.
Viva JPM.

Tukaze mwendo, tusonge mbele. Watatuelewa mbele ya safari. Kwa sasa waseme wasemacho, cha msingi wasituwekee vidole machoni, tutakataa kwa kishindo. Watuache tujipangie mustakabali wetu. Tumekataa kuwa omba-omba na tegemezi kwao.
 
Halafu unakuta jitu linampinga Magufuli! Hawa wezi na misheni town
Kuanzisha/kukamilisha miradi ni vitu vya muhimu kwa kiongozi. Ila sio ticket ya kutokupingwa. Ukuu wa nchi una mambo mengi mno mno. Kama umetoa maoni ili kumkampenia Magu ntakuelewa ila kama umetoa huku ukiwa NEUTRAL basi huko 'upstairs' kwako hakuko vizuri jitathmini
 
Muulize Professor Muhongo alichotufanzia
Kahonga mabeberu vitaro na visima vyetu eti ndio private partnership.Katuacha peupe,sijui PHD ni kuuwa maliasili haraka au firisi nchi kwa speed ya 5G, Harafu CCM eti wamempitisha agombee ubunge its a joke. Alitakiwa awe Ukonga akitumikia kifungo cha maisha.Lakini China angeishanyongwa mbwa huyo.

Na majizi na "waabudu wazungu" kama hayo ndiyo yanapendwa na kutukuzwa kuwa wasomi mahiri. Angegombea u-Rais wangemfadhili sana. Imekula kwao.
 
Kuanzisha/kukamilisha miradi ni vitu vya muhimu kwa kiongozi. Ila sio ticket ya kutokupingwa. Ukuu wa nchi una mambo mengi mno mno. Kama umetoa maoni ili kumkampenia Magu ntakuelewa ila kama umetoa huku ukiwa NEUTRAL basi huko 'upstairs' kwako hakuko vizuri jitathmini
You must be crazy upstairs or you are blind! Watu Sio wakamilifu lakini sintakuelewa ukiniambia huoni aichofanyaMagu! He might have some weekness but haimpunguzii kuona vitu alivyofanya! Mijitu mlishazoea shida na inferiority complex sasa amekuja mtu anayejitambua na anataka nanyie mnyenyuke hamtaki.hata Kenya sasa wanafyata mikia halafu mnataka kuturudisha kwenye ujinga wa zamani
 
Back
Top Bottom