Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

Mkuu umesimulia vizuri sana, bila kusahau kuna Megawatt 60 za Rusumo kule ambazo tutagawana na Rwanda na Burundi kwa kweli JPM anastahili pongezi wa Tanzania tutaoga umeme.
 
Halafu unakuta jitu linampinga Magufuli! Hawa wezi na misheni town.
Miaka 20 akiwa Waziri alikuwa busy anaangalia Majizi yakiiba. siyo. Ina maana asingepata Urais angendelea kuangalia nchi ililiwa kwa miaka 30 bila kusema kitu .... Watanzania, siyo wajinga!!
 
Asante tumekusikia lakini kura yangu kwa Lissu!
 
Ninachotamani kusikia ni kwamba kila nyumba ya Mtanzania itakuwa na umeme siyo sera za umeme kuwekwa mijini tu maeneo machache ya vijijini, pia siyo zile sera za REA et kila kijiji ni umeme kumbe watu gawana umeme majumban
 
Big up boss!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…