A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Feb 11, 2019 #21 Halafu siku hizi kwani na nyie mmeanza kuwa na mashauzi na kutaka misifa kama wahaya? Sasa hapo utawezaje kutofautiana nao? Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu siku hizi kwani na nyie mmeanza kuwa na mashauzi na kutaka misifa kama wahaya? Sasa hapo utawezaje kutofautiana nao? Sent using Jamii Forums mobile app
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Feb 11, 2019 #22 Ngoja nikupe moja tu adhimu! Rombo ni kama Japan ya Tz! Inaongoza kwa kuwa na wazee wengi wenye umri mkubwa wengi ! Rombo life span ni kubwa sana! Zingatia ushauri nilokupatia! Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupe moja tu adhimu! Rombo ni kama Japan ya Tz! Inaongoza kwa kuwa na wazee wengi wenye umri mkubwa wengi ! Rombo life span ni kubwa sana! Zingatia ushauri nilokupatia! Sent using Jamii Forums mobile app
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Feb 11, 2019 #23 Mahasidi wakiyafahamu hayo ndo wanaweka kauzibe, Kila ikitaka kuamuliwa kuletwa maendeleo flani wanaweka kauzibe, Wanasema tuwasaidie na wengine mbona hawa tayari wako vizuri? Kumbe hata siyo kiivyooo! Kwa hiyo usiwape mahasidi nafasi! Sent using Jamii Forums mobile app
Mahasidi wakiyafahamu hayo ndo wanaweka kauzibe, Kila ikitaka kuamuliwa kuletwa maendeleo flani wanaweka kauzibe, Wanasema tuwasaidie na wengine mbona hawa tayari wako vizuri? Kumbe hata siyo kiivyooo! Kwa hiyo usiwape mahasidi nafasi! Sent using Jamii Forums mobile app
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,928 Reaction score 8,976 Apr 9, 2022 #24 Zaidi ya 90% ya kilichoandikwa hapa Ni uwongo. Take care of this kind of exaggeration.
M marikiti JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 2,972 Reaction score 914 May 7, 2022 #25 Wilaya michepuko mingi