Ijue wilaya ya Rombo

Ijue wilaya ya Rombo

Ngoja nikupe moja tu adhimu!
Rombo ni kama Japan ya Tz!
Inaongoza kwa kuwa na wazee wengi wenye umri mkubwa wengi !
Rombo life span ni kubwa sana!

Zingatia ushauri nilokupatia!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahasidi wakiyafahamu hayo ndo wanaweka kauzibe,
Kila ikitaka kuamuliwa kuletwa maendeleo flani wanaweka kauzibe,
Wanasema tuwasaidie na wengine mbona hawa tayari wako vizuri?
Kumbe hata siyo kiivyooo!

Kwa hiyo usiwape mahasidi nafasi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya 90% ya kilichoandikwa hapa Ni uwongo. Take care of this kind of exaggeration.
 
Back
Top Bottom