Ijumaa iwe mapumziko

Aya ya Qur'an iliyokuja kuamrisha ijumaa,ni siku ya kuswali kwa wiki katika uislamu,imesema ikifika mda wa swala ndio waumini wanakwenda kusali,wakimaliza watawanyike wakaendelee na kazi.Hakuna uvivu katika uislamu.

wanapumzika jumamosi na jumapili...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Acha uvivu ww

Allah anatuambia tukishamaliza kuswali basi tuende tukatafute rizki na tumtaje yeye kwa wingi

( ููŽุฅูุฐูŽุง ู‚ูุถููŠูŽุชู ุงู„ุตู‘ูŽู„ูŽุงุฉู ููŽุงู†ุชูŽุดูุฑููˆุง ูููŠ ุงู„ู’ุฃูŽุฑู’ุถู ูˆูŽุงุจู’ุชูŽุบููˆุง ู…ูู† ููŽุถู’ู„ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ูˆูŽุงุฐู’ูƒูุฑููˆุง ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ูŽ ูƒูŽุซููŠุฑู‹ุง ู„ู‘ูŽุนูŽู„ู‘ูŽูƒูู…ู’ ุชููู’ู„ูุญููˆู†ูŽ )

ุงู„ุฌู…ุนุฉ (10) Al-Jumu'a

Na itakapo kwisha Sala, tawanyikeni katika nchi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa.

Ww unotaka mapumziko yawe ijumaa unakinzana na Quran

Uislamu sio kama dini nyingine,Uislamu unaamrisha watu wafanye kazi haswaa sio kama sabato ndo huruhusiwi kufanya kazi Uislamu haupo hivyo
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Nakazia
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Kwani wale wanaoswali mara 5 kwa siku huwa wanafanyaje ibada?
 
Kwangu ijumaa weekend rasmi, week mpya inaanza jpili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ