sikwedawaz
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 315
- 273
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosi, Pili, Tatu...Hamia tu huko mkuu...๐คฃ
Lakini umesha wahi kuuliza siku yao ya kwanza ya juma ni ipi..๐ค
Muislam mwenye akili zaidi kuwahi kutokea, Hogera Mkuu.Aya ya Qur'an iliyokuja kuamrisha ijumaa,ni siku ya kuswali kwa wiki katika uislamu,imesema ikifika mda wa swala ndio waumini wanakwenda kusali,wakimaliza watawanyike wakaendelee na kazi.Hakuna uvivu katika uislamu.
Aya ya Qur'an iliyokuja kuamrisha ijumaa,ni siku ya kuswali kwa wiki katika uislamu,imesema ikifika mda wa swala ndio waumini wanakwenda kusali,wakimaliza watawanyike wakaendelee na kazi.Hakuna uvivu katika uislamu.
Acha uvivu wwSiku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
NakaziaSiku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Kwani wale wanaoswali mara 5 kwa siku huwa wanafanyaje ibada?Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante