Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

Yohana469

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
302
Reaction score
450
Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo shetani alipata mamlaka ya muda baada ya hapo mungu akatafakari lazima binadamu akombolewe na ndipo kikao kilifanyika mbinguni pamoja na malaika na roho mbalimbali za binadamu ndipo MUNGU akauliza nimtume nani akawaokoe wanadamu ndipo roho ya Yesu ikaitikia nitume mimi,ina maana roho za wanadamu wengine zilitafakari zikaona maumivu ni makali sana,lakini roho ya yesu ilikubali alitafakari hayo mateso akasema naweza"baada ya kufa na kufufuka yesu alishuka kuzimu makao ya shetani akamnyanganya mamlaka shetani.

Tujitafakari wapendwa mateso ya yesu yalikuwa makali na ya aibu, kile kikao mbinguni hadi roho ya yesu inakubali msifikirie ilikuwa rahisi ,roho yako na yangu zilikataa,"hivyo tumludie mungu katika maisha ya leo tunayoishi tuachane na maovu yesu alitupenda sana"
 
Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo shetani alipata mamlaka ya muda baada ya hapo mungu akatafakari lazima binadamu akombolewe
 

Attachments

  • VID-20220415-WA0003.mp4
    5.9 MB
Back
Top Bottom