Spellbinder
Member
- Aug 3, 2022
- 8
- 12
Kiroho,Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu. Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi stahiki zao.
UsijaribuKuna muda hua natamani bora kutinga serikalini, private noma sana yani pure slavery basi tu ugali lazima uende tumboni
Sababu huku tunapelekeshwa mno stahiki hakuna yani vurugu tupu mkuu kama leo sikukuu unakuja kama kawaida bila ata nyongeza yoyoteUsijaribu
Kampuni changa?Sababu huku tunapelekeshwa mno stahiki hakuna yani vurugu tupu mkuu kama leo sikukuu unakuja kama kawaida bila ata nyongeza yoyote