Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
Wakristo wenzangu, haswa wa kanisa mama kanisa Katoliki. Hii imekaaje?
Tunajua, tunaamini na tunaiishii imani hii kwamba kula nyama ijumaa kuu siku ambayo Bwana wetu Yesu Kristo Aliteswa na kusulubishwa inachukuliwa kama Kufurahia au kusherekea mateso yake.
Vipi kuhusu wale ng'ombe na mbuzi...
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa
Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwa—matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa...
Wakati wengine tunachukulia imani poa, Wakatoliki wapo serious wanastahili pongezi.
Sanamu haliachiwi hivihivi tu, linapigiwa magoti kwa nidhamu, linashikwa tumbo kwa adabu, Kisha linabusiwa ubavuni kwa unyenyekevu kama unavyoona kwenye video
Wakatoliki kwenye suala la imani mpewe maua yenu 🙌🙌
Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu.
Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi stahiki zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.