Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa
Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwa—matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa amebeba msalaba. Siku ya huzuni, dhabihu, na imani ya kina.
Jana Wakristo tuli kuwa huru kutembea katika njia hiyo hiyo katika Israeli,.
Wakati sisi Wakristo Tukiwaambia na huzuni WAHOUTHI nayo jana walikuwa na majonezie makubwa sana kutuzidi hata sisi wakristo baada ya majeshi ya Marekani kuwashambulia na kuangamizwa hifadhi zao za mafuta na sasa hivi wanajuta kwa nini waliingia mkenge kununua Ugomvi usiowahusu.
View: https://x.com/israelnewspulse/status/1913271900563743044?s=61