Ijumaa kuu njema kutoka UWT

Ijumaa kuu njema kutoka UWT

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema.

Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
IMG-20240329-WA0029.jpg
IMG-20240329-WA0027.jpg
 
Msimuunganishe Mungu na vitaasisi vyenu ili kutafuta umaarufu kupitia YESU Kristo!
Huwezi kuweka msalaba alafu ukachanganya na nembo ya chama chako huo ni uharamia
 
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema.

Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
Hii panga pangua ya kila siku inafanya hadi najihisi mbumbumbu wa current affairs!

Hivi huyu Mwegelo Jockate ni boss wa taasisi gani?
 
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema.

Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
Umoja wawasimbe tanzania
 
Back
Top Bottom