Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Mar 29, 2024 #1 Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Mar 29, 2024 #2 Waache zuluma
kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,348 Reaction score 7,058 Mar 29, 2024 #3 Msimuunganishe Mungu na vitaasisi vyenu ili kutafuta umaarufu kupitia YESU Kristo! Huwezi kuweka msalaba alafu ukachanganya na nembo ya chama chako huo ni uharamia
Msimuunganishe Mungu na vitaasisi vyenu ili kutafuta umaarufu kupitia YESU Kristo! Huwezi kuweka msalaba alafu ukachanganya na nembo ya chama chako huo ni uharamia
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Mar 29, 2024 #4 Ojuolegbha said: Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu. Click to expand... Hii panga pangua ya kila siku inafanya hadi najihisi mbumbumbu wa current affairs! Hivi huyu Mwegelo Jockate ni boss wa taasisi gani?
Ojuolegbha said: Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu. Click to expand... Hii panga pangua ya kila siku inafanya hadi najihisi mbumbumbu wa current affairs! Hivi huyu Mwegelo Jockate ni boss wa taasisi gani?
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Mar 29, 2024 #5 Ojuolegbha said: Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu. Click to expand... Umoja wawasimbe tanzania
Ojuolegbha said: Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu. Click to expand... Umoja wawasimbe tanzania