najua wana jf ni watu makini. kwa hiyo akina dada watasikia kilio changu.Kwa nini usirahisishe kazi tu na kwenda ku-fish pale Joly Night Club?
Kwa nini usirahisishe kazi tu na kwenda ku-fish pale Joly Night Club?
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.
Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.
mbona wameshaanza kuja huku pmUliposema "siriazi",nikadhani umeweka na Cellular No yako,sehemu unazopendelea na aina ya vinywaji,na vitafunwa unavyotumia kwenye mtoko.. Kumbe ....
Bora uzi wako waupeleke chit chat...
Mods kazi inawazidia naona...
yah nataka kurelax na mwanajf wa kikePale Wachina Laki moja,short time,wabongo si chini ya 30 elfu... Kama nia yake ni sex... Kwa mwana JF labda anataka company tu...
Amini nakwambia ukija kwangu hutaboreka na utaenjoy sana.UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
halina shida yoyote. waje tu.Wanaogopa jina hilo
Smile mbona kama unama"experience hivyo. Yashakukuta hayo nini lv.UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.
Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.
una sh ngapi maximum?Amini nakwambia ukija kwangu hutaboreka na utaenjoy sana.
acha tu my love dunia hii .ngoja nimsome huyu cameruni kwanzaSmile mbona kama unama"experience hivyo. Yashakukuta hayo nini lv.
nashukur kuniita shetani mkuushetani at work
unauliza pesa kwangu..? utazikimbia mwenyewe na wala siwez kufilisika.una sh ngapi maximum?
acha tu my love dunia hii .ngoja nimsome huyu cameruni kwanza
kwani ulipatwa na masahibu gani simileacha tu my love dunia hii .ngoja nimsome huyu cameruni kwanza