Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

naweza kutuma mpesa, tigopesa, zpesa au airtel money. vinginevyo nikupunguzie salio strait. mi huwa natumia post paid mambo ya mavocha sijayazoea na siyajui utaratibu wake

aah hahahahahaa......anakwepa huyooo hana lolote, visingizio kibaooo!!! Wenye mihela huwa hawana maneno mengi kama wewe, ni njuluku tu ndo zinaongea........nashangaa we laki moja imekutoa povu!! Ebu tupishege huko.....
 
kipipi nipo hapa regency hotel kama vipi njoo tusaidiane kuushambulia utajiri huu
 
Ndo tatizo lenu vijana wa High learning mkipata boom mara hooo mara heee.Subiri week tatu zipite mara kwa binamu,mjomba kuomba omba.Soma kijana Smile haumwezi yeye anapiga mzigo tene kitengo cha mapesa.Kwa ushauri wa bure omba namba zake ukiwa boom limekata akusaidie.
tatizo lenu kila mwanajf mnadhani ni mwanachuo. wapi waliposema kuwa kwamba mwanajf lazima awe mwanachuo? si wengine hatukusoma lakini ni manyamihela.
 
Huyu sijui alikua msimamizi wa mirathi ? Kauza banga kimyakimya ! Nduguze wengine hawajui !
Ndo wanakuaga na makeke kiivi.
Kaibwenga nadhani
labda !
 
Huyu sijui alikua msimamizi wa mirathi ? Kauza banga kimyakimya ! Nduguze wengine hawajui !
Ndo wanakuaga na makeke kiivi.
Kaibwenga nadhani
labda !
si kihivyo. ni jasho langu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom