Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!


Wewe kweli hufai.
 
Thread za aina hii ndo zinafanya JF ionekane kijiwe cha vilaza.
 
hah ha ha ha ha, umakini ktk mapenzi ya sha sha ni upi? ni ujamii forum au ? nadhani kama unahitaji mtu makini, ni yule anayekuvutia kimwili. Nenda pale Africasana kuanzia saa 4 usiku. wote wanavutia ingawaje ni uzuri wa kununua na vipodoz. Wajamii Forum watakupa taabu. ikifika usiku muda wa mchezo, watakuambia tujiunge jamii Forum kidoga basi tupate news. Utaishia Jamii Forum kama ulivyoanzia Jamii Forum.
 
Kona baa siku hizi wapo wa ukweli wahi kabla hizi mvua za masika haijapandisha bei......
 
najua jinsi ya kuwafiksi hawa wana jf
 
mwenzio ashakula bingo. hawezi kukwambia ukweli maana anajua unaweza ukampiku. nyie wanawake hamuaminiani
Kama upo Arusha nitakua babilon na friends of mine baadae mida ya saa mbili njoo nikusababishie mpaka ukimbie..
 
Smile,kwa ma analysis we kiboko,karibu double tree hilton tule mikuku na kufakamia mihenken kwa fujo.
Ps: pssssssss konnie usimwambie!
 
usinidharau. sasa mi nitakuwepo pale ghwanzou leo jioni afu baada ya hapo klabu.. kama vipi we ibuka tusaidiane kupunguza hiki kipato

Ndo tatizo lenu vijana wa High learning mkipata boom mara hooo mara heee.Subiri week tatu zipite mara kwa binamu,mjomba kuomba omba.Soma kijana Smile haumwezi yeye anapiga mzigo tene kitengo cha mapesa.Kwa ushauri wa bure omba namba zake ukiwa boom limekata akusaidie.
 
kaka nadhan ujumbe umekufikiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…