Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wekeni majumbani tuMchina katuletea fursa bei cheee, Harufu Kali ambayo inasababisha kifua/mafua kila ukiivuta. Chukua tahadhari kabla hujaumaliza mwendo. Asante
Asee umenifumbua macho, mwezi july nikiwa Mtwara nilipanda gari ya jamaa yangu ikiwa na harufu nzuri sana , alikuwa anatumia uturi wenye jina hilo hilo
Aisee.... nguvu za kiume zina maadui wengi sanaNasikia pia kwa Me, zinapunguza nguvu za kiume, sasa sijui kweli au ni uvumishi tu
Biashara hiyo, wanau huku, wanaongeza uzalishaji wa ma dildo viwandani yanapata soko... jamaa wana create tatizo na solution kwa wakati mmoja.Aisee.... nguvu za kiume zina maadui wengi sana
Waongeze na uzalishaji wa dawa za kuongeza nguvu za kike ili biashara inoge zaidiBiashara hiyo, wanau huku, wanaongeza uzalishaji wa ma dildo viwandani yanapata soko... jamaa wana create tatizo na solution kwa wakati mmoja.
Nakazia📌📌Chukua tahadhari kabla hujaumaliza mwendo. Asante
Pole sana mkuu...huo msamiati "uturi" sijausikia siku nyingi sana.Asee umenifumbua macho, mwezi july nikiwa Mtwara nilipanda gari ya jamaa yangu ikiwa na harufu nzuri sana , alikuwa anatumia uturi wenye jina hilo hilo
Kimbembe kilianza siku ya pili baada ya kupanda gari lile , nilipatwa na mafua makali sana mixer homa na macho kuvimba kama mchina ,nilisota na hali hiyo karibu siku kumi ndo nikapona.
Yani kama sio wewe kuleta huu uzi nilikuwa naamini kuwa gest niliyolala ndio ilinisababishia mafua yale
Hii kitu ina Harufu Kali. Huenda ndo inaleta kukohoa ovyoMchina katuletea fursa bei cheee, Harufu Kali ambayo inasababisha kifua/mafua kila ukiivuta. Chukua tahadhari kabla hujaumaliza mwendo. Asante
Hii kitu ina Harufu Kali. Huenda ndo inaleta kukohoa ovyo