BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Mafilauni walimpa ulinzi wakati akiwa kipa bora acha arudishe alichopewaaa mpuuzi kabsaaaDoh ..laana gan iyooo
Noma sana!Kuna jamaa angu nilimwambia mwaka Jana baada ya Yule mchezaji wa Kwanza kujitangaza Ni shoga ,nilimwambia Kifuatacho soon watatumia wachezaji wenye ushawishi , au kutoka vilabu vikubwa
Soon tutarajie kujitokeza kwenye Ligi pendwa EPL, huu Ni mpango wa Freemason na illuminati
Kwenye Zile degree 33 Kila degree ina kazi yake , mfano degree ya 18 Croix rose Ni kuingiza misalaba ya kila Aina kwenye nyumba za ibada,
Sasa Kuna degree nyingine kazi yake Ni kuingiza Mambo ya wanawake kuwa viongozi makanisani na kuingiza ushoga pia , hivo kwenye jamii lazima watumie Zile sehemu zenye watu wengi.
Soon tutegemee kuona wachezaji wakubwa kutoka Ligi kubwa 5 wakijitangaza Ni mashoga ,ili ionekane kuwa shoga kitu Cha kawaida
Asije kutunyea uwanjani bure.
Anatutangazia ili nini?
Si mambo yake ya sirini? Kama anatifuliwa mavi, si ya kwake? Ina maana kakosa mwanaume, ikabidi ajiuze sokoni kwa kujitangaza?
Kwani angekaa kimya asingekuwa shoga?
Upumbavu tu. Ni njia ya kueneza ushoga, ee Mwenyenzi Mungu tuepushe na maswaibu haya ya dunia.
Inna lillah wa inna ilaih rajun
Allah atunusuru sisi na vizazi vyetu.
Si amekanusha tena kwamba waongo walikua wakisema yeye ni malaya kwa hyo alitweet hivo hili kufunga midomo ya wambea.....Lkn shoga ni shoga tu banaLegend wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Spain, golikipa Iker Casillas kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ametangaza kuwa yeye ni shoga.
Source; Fabrizio Romano page fbView attachment 2381687
vp kuhusu reply ya Puyol?Si amekanusha tena kwamba waongo walikua wakisema yeye ni malaya kwa hyo alitweet hivo hili kufunga midomo ya wambea.....Lkn shoga ni shoga tu bana