Iker Casillas atangaza kuwa shoga

Iker Casillas atangaza kuwa shoga

Kuna jamaa angu nilimwambia mwaka Jana baada ya Yule mchezaji wa Kwanza kujitangaza Ni shoga ,nilimwambia Kifuatacho soon watatumia wachezaji wenye ushawishi , au kutoka vilabu vikubwa

Soon tutarajie kujitokeza kwenye Ligi pendwa EPL, huu Ni mpango wa Freemason na illuminati

Kwenye Zile degree 33 Kila degree ina kazi yake , mfano degree ya 18 Croix rose Ni kuingiza misalaba ya kila Aina kwenye nyumba za ibada,

Sasa Kuna degree nyingine kazi yake Ni kuingiza Mambo ya wanawake kuwa viongozi makanisani na kuingiza ushoga pia , hivo kwenye jamii lazima watumie Zile sehemu zenye watu wengi.


Soon tutegemee kuona wachezaji wakubwa kutoka Ligi kubwa 5 wakijitangaza Ni mashoga ,ili ionekane kuwa shoga kitu Cha kawaida
Noma sana!
 
Nimewahi kumuona hayati Magufuli akionekana kuongea jambo katika pg yake miezi kadhaa baada ya kufariki..........dunia ilipofikia ni vigumu kuamini moja kwa moja kuwa ni kweli hiyo pg ni yake huyu casillas tunayemjua au wahuni wameshafanya yao.
 
Anatutangazia ili nini?

Si mambo yake ya sirini? Kama anatifuliwa mavi, si ya kwake? Ina maana kakosa mwanaume, ikabidi ajiuze sokoni kwa kujitangaza?

Kwani angekaa kimya asingekuwa shoga?

Upumbavu tu. Ni njia ya kueneza ushoga, ee Mwenyenzi Mungu tuepushe na maswaibu haya ya dunia.

Aamina [emoji2972]
 
Legend wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Spain, golikipa Iker Casillas kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ametangaza kuwa yeye ni shoga.
Source; Fabrizio Romano page fbView attachment 2381687
Si amekanusha tena kwamba waongo walikua wakisema yeye ni malaya kwa hyo alitweet hivo hili kufunga midomo ya wambea.....Lkn shoga ni shoga tu bana
 
Back
Top Bottom