Iker Casillas atangaza kuwa shoga

Iker Casillas atangaza kuwa shoga

Mtu una kifaa kama hiki hivi unaanzaje kuwa shoga .?
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    26.2 KB · Views: 13
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    24.4 KB · Views: 13
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    24.4 KB · Views: 14
Au ushoga unamaana tofauti, mbona wengi sana?
 
Haina ukweli japo ni Casilass alie tweet lakini ilikuwa ni response kwa media zinazomuandama kwa kumsingizia kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti kila siku.

 
Real Madrid legend Iker Casillas has apologised for deleting a tweet in which he said “I’m gay” while confirming that his account was hacked.
 
Dah huyu jamaa kumbe punga, dah noma sana kiukweli. Nilikuwa namheshimu sana huyu mwamba. Man down.
 
Amekataa, anasema account yake ilikuwa hacked.
 
Ila marinda yashaliwa, hata azuge account imekua hacked

Screenshot_20221009-184125.png
 
Jamaa anasingizia account imedukuliwa
 
Hata kama ni kweli hivi mtu unaweza kuwa shoga sbb ya mtu fulani maarufu naye yuko hivyo 🤷
 
Back
Top Bottom