Aisee siaminiAkichapiwa analia sasa hapo mpododo utaufikiaje?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha tu nilipe kodi, mwanaume lazima ufuge angalau ka kitambi ka kufungia tai bhana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jitahidi ufuge cha kawaida sio kile ambacho ukiwa umekaa ni kama umeweka jiko la mkaa chini ya miguu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha tu komredi saivi ndo niko kwenye harakati za kufuga, maana kila nikijaribu kuvaa tai inakua kama imetundikwa kwenye mnazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jitahidi ufuge cha kawaida sio kile ambacho ukiwa umekaa ni kama umeweka jiko la mkaa chini ya miguu
Kabisa TRA waintroduce kodi ya VITAMBI.Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsi a zote. Vitambi vitakuwa adimu sana. Yaani wizara ya afya ishirikiane na TRA, mwenye uzito uliozidi BMI apigwe fine, gym zitajaa na watu wataacha kula kula bila mpango.
Baba yeyoo anapiga ugali, nyama choma, kachumbari na ๐บ๐บ mbili kila siku kabla ya kulala. Utaacha kusimamisha ki mini fridge-freezer ๐