Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kama kichwa cha habari,

Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe.

Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
 
Kama kichwa cha habari Naiomba serikali na wizara husika ikibainika miundombinu imehukumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
Kijiji husika hakina mahusiani na hujuma.
Hujuma inatokea ndani ya shirika, tena inatekelezwa na wataalam wa shirika labda kwa ufadhili/ushawishi wa wafanya biashara
 
Kama kichwa cha habari Naiomba serikali na wizara husika ikibainika miundombinu imehukumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
Wahujumu wanatoka mijini huko vijijini ni maficho yao tu
 
Kijiji husika hakina mahusiani na hujuma.
Hujuma inatokea ndani ya shirika, tena inatekelezwa na wataalam wa shirika labda kwa ufadhili/ushawishi wa wafanya biashara
Nikweli lengo kijiji kihuske katika ulinzi wa miundo mbinu! Ni kweli kuwa mwanakijiji hawezi kwenda kukata waya tena Armored cable inayopitisha umeme wenye msongo wa KVa 110 inamaana ni wataalamu wa hiyo idara na nahisi wenye mabasi wanaweza kuhusika na hujuma hii! Japo ni mambo ya kufikirika tu!
 
Back
Top Bottom