Ikibidi Kenya Jeshi lishike madaraka kwa muda

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia.

RIP (Late) General Francis Omondi Ogolla
 
Hakuna tofauti kati ya Ruto na Mbowe

USSR
 
Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia.

RIP (Late) General Francis Omondi Ogolla
wamtoe tu anasa zimemponza. watu wananjaa wewe unakodi JETI mpaka USA? Kenya siyo TZ
 
Back
Top Bottom