Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP.
Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa bidhaa zinazotoka ama kuingia nchini. Hili ni jambo baya mno kwa usalama wa nchi yetu.
Watanzania tuungane bila kujali itikadi zetu tuupinge mkataba huu dhalimu kabisa kwa nchi yetu.