Nasubiri ukichaa wa viongozi walioko bungeni, watakao pitisha mkataba huo, baada ya samia kutoka madarakani wakatikalia kiti cha urais halafu wakaanza kuuona mkataba huo mbovu na kuanza kupiga kelele kuuvunja wakati waliupitisha wakiwa na akili timamu.
Hili likitokea ndo mjuwe ni kiasi gani tulivyo na viongozi wabovu.
Mkataba huo utatafuna hadi wajukuu wa kizazi kijacho.
Option ya huu mkataba huko mbele ni kutumia mabavu!
Nini maana ya kutumia mabavu wakati wewe ni tegemezi? Ubavu huo unao? Kuna siku damu zitamwagika.
Ahaaaaaa mama bana sasa ndo kufungua nchi? Umewapa funguo wewe huna hata spare? Na fundi maiko hataweza kuchonga ufunguo wa ziada maana hatuna original anyway.