nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,832
- 1,940
Weka akiba ya maneno ndugu, unaweza kuja yakataa haya uliyoyaandika hapa.kama una muda tafuta thread ya mtu aliileta hapa kipindi lowasa akiwa ccm kua hivi itakuwaje siku Lowasa akiamua kuhamia chadema je watampokea ama?Haitatokea Kwa Lissu The Great.
The Guy Is Voraciously Rigid ( Ana Msimamo Mkali) Toka Kitambo Sana
Pia Amefichua Maovu Ming Ming Ambayo Kama Angekuwa Planted
Angechomoa Msimamo Wake Kilaini.
Bhado Atapambana Kindakindaki.
Muulize Jacob Zuma Anauelewa
Umaridadi Na Mziki Wa Lissu.
Wana Lumumba Lazima Waucheze.
Hahaha sitaki kukumbuka majibu maana watu walitokwa povu hao wengine walifika mbali hadi kuapa, leo hii wengi wao walishabadilisha hadi id.hizi ni siasa na zinafanywa na binadamu sio malaika hivyo tujifunze kuwaza nje ya box.
Sent using Jamii Forums mobile app