Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

Mimi huwa siamini imagination, kaa Nazi mwenyewe
 

Everbody has got a price...u just need to name it..
 
Blah blah nyingi,kimsingi unataka Magu asifiwe na wapinzani wapuuzwe!!!!!
 
mlete mada huu ni ushahidi mwingine kuwa vijana wa tz sasa ni kama vile tumeisha,.....umeongea jambo lenye akili sana lakini hivi ndivyo kijana huyu alichoweza kujibu,....masikini tanzania yangu!!
 

Kamanda wewe amini idea ya Lisu usimuamini personality lisu.
 
Mkuu chipa GM mimi nikuelewa sana unachokieleza hasa kuhusu habari ya kuwa TL aweza kuwa naye Askari... Yaani nakuona kwa mbali unavyotiririka karibu na ukweli
Tundu Lissu, Mabere Nyahucho Marando, Augustine Mrema, Lowassa na Sumaye wote ni Wavaa suti nyeusi, kama unabisha tazama Ansard ya Bunge 2010-13 uone jinsi Lissu alivyokuwa alivyokuwa anajionyesha Waziwazi, alikuwa na Wakati mgumu sana kutenganisha hivi Vitu Viwili ila kwa sasa hivi ameweza kutenganisha vyema. Hata Social Media hakuwemo, juzi tu hapa 2017 kati ya Mwezi wa 02 au 03 ndio kajiunga Twitter!
 
Nani kwa nini sijamsikia mccm hata.moja akihoji mambo mabaya mno yanayofanywa na serikalikama kumlinda mtu moja wakati watanzania wengine wamefukuzwa kwa kufoji.
 
Nani kwa nini sijamsikia mccm hata.moja akihoji mambo mabaya mno yanayofanywa na serikalikama kumlinda mtu moja wakati watanzania wengine wamefukuzwa kwa kufoji.
 
SAFI SANA Brother

Hiyo inaitwa thinking outside the Box
 
Nahis baadae especially 2020 TL atautaka Urais na watapingana na Lowasa katika uteuzi wa ndani ya chama na utaibuka mgogoro mkubwa. .ni mawazo yangu tu..
 

Mkuu mimi nimekupata vema sana
 
Mkuu mimi nimekupata vema sana
Kuna mwingine nimemsahau Lau Masha! Ili uwe Mwansiasa bora ni lazima ujue ukweli, kwa sababu unaweza kusema ukweli na kudanganya kwa sababu unajua ukweli!
 
Wapi Fundikira, Mabere Marando, Lyatonga Mrema, Zito Kabwe, Kitilya Mkumbo, Anna mghirwa ongezea wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichukulia kila mtu ni mamluki ni ngumu kupata mtu wa mfano.

Pia haiwezekani wote tuwe Mo Dewji,Mengi,Manji,n.k. Siasa je,hatuhitaji warithi wa Mwl,Kawawa,Sokoine?
Bado wataalamu wa fedha/uchumi,sheria na wengineo je?

Ni rahisi sana ku-philosophise ukiwa umekaa mezani na kikombe cha kahawa baada ya kupitia mijadala mitandaoni. Uhalisia ni mgumu sana. Fuatilia uone ni asilimia ngapi ya classmates wako waliokuwa wakijiita " maxists,pragmatists,realistics" n.k uone kama wanayaishi mawazo yao. Maisha ni mwalimu mahiri sana.

Heko kwa kujaribu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh !duh ! Duh ! Mjomba kama upo ndani ya akili yangu wallahi nakuambia laiti watanzania asilimia kubwa tungekuwa kama wewe naamini Tanzania ingekuwa mbali sana .tatizo tulilokuwa nalo sisi watanzania has a vijana tatizo letu kubwa kutotembea nchi za nje
 
Labda km wataacha kutumia zile mboga wanazohamasishwa kulima kule Tarime ndio wataelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…