Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

Suala la kuwa planted sio mantiki hata ww Unaweza ukawa kamanda unajaribu kutuaminisha Hayo uliyonayo bila siasa Hakuna maendeleo Acha watu wafanye siasa kwa maono yao. Suala Lowasa, lisu waachie wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa
 
You are hallucinating Mkuu, Lissu will always keep you wondering. he he.
 
Haitatokea Kwa Lissu The Great.
The Guy Is Voraciously Rigid ( Ana Msimamo Mkali) Toka Kitambo Sana
Pia Amefichua Maovu Ming Ming Ambayo Kama Angekuwa Planted
Angechomoa Msimamo Wake Kilaini.
Bhado Atapambana Kindakindaki.
Muulize Jacob Zuma Anauelewa
Umaridadi Na Mziki Wa Lissu.
Wana Lumumba Lazima Waucheze.
Usiseme hivyo ndugu.hata gear ya angani hukuwahi kuifikilia lakini ilitokea na kiswahili kikabadilika mitaani

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Asee mkuu upo sawa kabisa ila wale jamaa wao hupingatu kila kitu.

SIJUI KESHO.
 
Tatizo wengi mmeanza kusikia habari za TL hivi karibuni.

na 'mapandikizi' ni projects za miaka miiingi kabla haijaanza kufanya kazi.leo mnazungumzia 'bei' ya Lipumba wakati kiukweli kabisa hana bei ila 'yuko kazini' kutekeleza wajibu wake wa kila siku.
so usitishe watu na kumfahamu huyo bwana eti toka sijui sekondari, Mikhail Gorbachev alionekana ni mzaliwa kabisa wa USSR lakini naamini unajua kilichokuja kutokea!!
 
Ndio maana huwa nashangaa watu kuleta ushabiki maandazi humu.

Eti Leo Fatuma karume nae ni wakili huru,wa kumtetea lissu,hahaaaaaaaa

Wacha nikasafishe shamba,nisubili kilimo,nataka nilime mwaka huu mpaka basi.
Wazo zuri sana kiongozi.

SIJUI KESHO.
 
TL sio planted TISS

Ila Mbowe, sumaye na Lowassa hao ndo iko wazi
Haishindikani na kwa Lissu mkuu,hata Maalim kule Unguja anawachezea picha tu yuko kwenye payroll ya siri-kali.
'mwamini mwanasiasa at your own risk'!
 
Soma nilichoandika..then utaelewa naamanisha nini. Tatzo tunapenda kusoma vitu vinavyotufurahisha tu. Dhana ya maisha bila siasa ni dhana ya uwabijikaji kati ya serikali na wananchi. Siyo kupinga kila jambo.

Kwa 'mashabiki' na wafia vyama wanaoendeshwa kwa mihemko,wanaishi kwa kuambiwa na kuamini na kushabikia wanachotaka kusikia tu.........hawatakuelewa hapa mkuu.
ila mimi haya mawazo yalianza na dokta enzi za Richmond,yaani tu najikuta kama kuna sauti inaniambia hakua akimaanisha ile vita...aaah.sitaki siasa mimi.naitafuta kesho ya wanangu tu,bhaasi!
 
Haitatokea Kwa Lissu The Great.
The Guy Is Voraciously Rigid ( Ana Msimamo Mkali) Toka Kitambo Sana
Pia Amefichua Maovu Ming Ming Ambayo Kama Angekuwa Planted
Angechomoa Msimamo Wake Kilaini.
Bhado Atapambana Kindakindaki.
Muulize Jacob Zuma Anauelewa
Umaridadi Na Mziki Wa Lissu.
Wana Lumumba Lazima Waucheze.
Nibachotaka kukuuliza ni hivi naomba unieleze ugomvi wa Lowassa na Sumaye utuambia ugomvi wao ni upi na wao wenyewe kama walidhibitisha kuwa wana ugomvi kwasababu sintapenda maneno ya ooh nilisikia au walisema. Pata uhakika kutoka kwa hao watu wawili ndio utuambie kuhusu haya unayoyaandika. Fanya maojiano nao then utapata ukweli. Tatizo lenu watanzania mnapenda kusikia kuliko kumwoji muhusika
 
Haitatokea Kwa Lissu The Great.
The Guy Is Voraciously Rigid ( Ana Msimamo Mkali) Toka Kitambo Sana
Pia Amefichua Maovu Ming Ming Ambayo Kama Angekuwa Planted
Angechomoa Msimamo Wake Kilaini.
Bhado Atapambana Kindakindaki.
Muulize Jacob Zuma Anauelewa
Umaridadi Na Mziki Wa Lissu.
Wana Lumumba Lazima Waucheze.
Wewe ndo mbumbu sana huijui Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuelewa sana mkuu tatizo la vijana wa chadema nikubeza kila kitu jana kuna mtu kaanzisha uzi humu akawa anaponda mbunge wa tanga mjini(CUF) kusema ''maendeleo hayana chama'' huku akiendelea kusifia mh.rais, tatizo ninalo liona kuna poor ideology kwa wapinzani kwa endapo hutapinga kila kitu wewe sio mpinzani wa kweli thus why utawashangaa vijana wa bavicha kutwa nzima ni kukosoa serikali liwe jambo jema liwe baya wao wanawaza tu kupata credit kwenye jamii.
Hakuna upinzani nchi hii, viongozi wao wote ni planted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu asante sana kwa utukufu wako na uhai unaotupa watoto wako.

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'

Nilikuwa nawaza kwa sauti kubwa sana Leo asubuhi. Ivi ilikuwaje maadui wawili wa muongo mmoja ( lowasa na Sumaye) kupatana ndani ya wiki moja na kuhamia chadema? Tunajua kabsa Lowasa alikuwa anautaka Urais, lakin swali la kujiuliza Lowasa alikuwa hajui hawez kuwa Rais wa Nchi bila tume huru ya Uchaguzi.

Na Sumaye alikatwa kwenye kura za maoni. Kilichompeleka Sumaye Chadema ni nini? Yaani Sumaye amfate adui yake wa siku nyingi Upinzani
Mungu asante sana kwa utukufu wako na uhai unaotupa watoto wako.

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'

Nilikuwa nawaza kwa sauti kubwa sana Leo asubuhi. Ivi ilikuwaje maadui wawili wa muongo mmoja ( lowasa na Sumaye) kupatana ndani ya wiki moja na kuhamia chadema? Tunajua kabsa Lowasa alikuwa anautaka Urais, lakin swali la kujiuliza Lowasa alikuwa hajui hawez kuwa Rais wa Nchi bila tume huru ya Uchaguzi.

Na Sumaye alikatwa kwenye kura za maoni. Kilichompeleka Sumaye Chadema ni nini? Yaani Sumaye amfate adui yake wa siku nyingi Upinzani. Sisi wadaganyika tukafurahia kuwa two retired senior government officers ktk chama chetu. what happened? tukaaminishwa uchaguzi tulishinda, vijana wakawa tayari, tukaambiwa tusubili kwanza viongozi wa chama wanaenda kushitaki ughaibuni ( wajanja tukajua shughuli imeisha..na kweli imeisha), kule Zanzibar Seif akaanza kuzunguka zunguka mara BBC,CNN, mara UN. SEIF AKASEMA MIPANGO INAANDALIWA YA YEYE KUPEWA HAKI YA KUWA RAIS WA ZANZIBAR, Mtu anapewa urais wa mezani..Kama Simba tu point za mezani TFF walikataa kuwapa sembuse Urais, shughuli nayo ikaishia hapo.

tukaambiwa elimu elimu elimu (Mission done)

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa
'

Kila MTU alimuamini sana Dr. Slaa. Tunajua kilichotokea. Wengi tuliamini mzee slaa hakuwa na bei. Hayo ni 2015.

Tu project 2025. Itakuwaje kumbe na huyu tunaye muabudu sana kwa sasa kumbe naye planted. Tutajisikiaje wana mabadiliko tukiona huyu mwanasheria wetu nguli kumbe ni planted. Sahau kuhusu rasha rasha za mahabusu na mahakamani. Hizo n njia za kumuaandaa mtu awe relevant na aminike sana.

Ushauri:

1- vijana tunalaumu sana na kuponda kila kitu.

Mfano mdogo, Serikali inakusanya only 1.1 trillion kwa mwezi. Mishahara kwa watumishi wa umma ni 570 bilioni. Inayobaki ni 530 bilioni. Ebu inyambue hiyo pesa kwa matumizi ya mwezi kwa serikali alafu uone kwann Magu anakuwa mkali sana.

2- Vijana tuache kujadili pet issues ambazo hazisaidii jamii yetu.
Mfano: kwenye tukio la bomba la mafuta vijana tumejikita kujadili Ruge na Makonda badala ya fursa iliyopo kwenye bomba hilo individually na Nchi pia. Nilitegemea vijana tujikite kujadili jins gani tupata ajira hapo na jins gani tutaenda kuuza vitu kwenye mradi huo. Tegemea mradi huu utawanufaisha sana wakenya na waganda.
Kuna kipind mitandao ili jam kwa habari za Bashite..kila mtu bashite..nikawa najiuliza ni kukosa kazi au watanzania tuna upeo mdogo sana wa kung'amua mambo.

3- mwisho, Magufuli ndiyo Rais, ndiyo Baba. Kila mtu acheze ngoma yake, yeye ndiyo the most powerful man kwa Ardhi yetu ya Tanzania. Yeye ndiye namba moja. Hata akiwa angani, anga lote linajua namba 1 yupo angani. Jk anajua hilo, Mwinyi,Mkapa wanajua hayo...hata seif anajua hilo. Ana mazuri yake na anaubaya wake. Hatukuchagua malaika atuongoze.

Cha msingi tushauri, tukosoe but tusikebehi, tusitukane MTU...vision ya Namba 1 kasema Nchi ya viwanda. Jukumu letu wananchi ni kushauri vipambaule viwe wapi kwenye viwanda..mfano kilimo, uvuvi n.k. Serikali IPO pale kukuwezesha tu kufanikiwa siyo kukupa mtaji na pesa za kuishi. Nilimsikia waziri wa kilimo akisema China kuna soko kubwa sana la mihogo, hizi ndizo information ambazo zinatusaidia wananchi siyo za makonda na Ruge.

Vijana tumekuwa wajuaji na wakosoaji sana. Tunasema huyu wa sasa ni dikteta, kwani mauaji ya Arusha ambayo lema alisema anayo video, Singida na Morogoro yalitokea kipind gani. Kwan Ulimboka, kibanda walitekwa kipind gani? Bila kubadili mindset zetu hata chadema waje watawale hatutakuwa na maendeleo. Tuwe logic oriented na siyo emotional.

2025; utajisikiaje moyoni kama kamanda lisu kumbe naye alikuwa planted. Who know? Unajua historia Lisu vizuri. Huu ushauri kwa vijana wenzangu wa Ukawa. Next time ntawashauri vijana wa Lumumba. Pambana na hali yako. wenzetu wakina Lema wanalipwa kwa kazi hiyo. Sisi bado maskini sana hatuwezi kufika uchumi kati ikiwa wengi tunaishi mlo mmoja. serikali ni kama mwalimu darasani, mwalimu anajikumu la kufundisha tu suala la kufaulu mitihani ya necta ni jukumu la kwako wewe, wewe unajukumu la kusoma tuition, kukesha. Serikali ina jukumu la kuhakikishia miundombinu ya kiuchumi na kijamii inakuwepo, sisi wana Nchi tunajukumu la kutumia fursa za kimiundombinu kupambana na hali yetu.

Kuwafanya sana wakina Lisu, Lema, Zito, Mbowe, Sugu ( wakina makamba, POLEPOLE siwataji leo, ntawataja kwenye ushauri wa Lumumba) ndiyo ma model wetu tunapoteza na muda na tutakuwa maskini wa akili na mali. tunafatilia maisha ya wanasiasa ambayo hayatusaidii. Leo Nape tulimiwita Vuvuzela Kisa katofautiana na Bosi wake leo amekuwa na yeye Kamanda. are we serious?

Ali Mufuruki, Rostam, Said Bahkressa, Mo dewji, Manji, Mengi hawa ni watanzania ambao tunabidi tuwafanye wawe ma model wetu na mijadala yetu ijikite kwao kwa jinsi gani wameweza kuwa matajiri Tanzania. Mfano umeona Tanzania hakuna ajira, je umeshwahi kufikiria kutafuta Kazi Nchi za Jirani;; kwann wakenya wapo Tanzania na sisi hatwendi Nchi zao. Biashara ngumu Tanzania mfano umeshawahi kusoma demand ya malawi wananunua vitu gani ambavyo kwa mtaji wako wa milioni 5 waweze supply. Au story nzuri ni zile Lisu amjibu Magufuli..Au daimond afumaniwa. We are not cheap to that.

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'

pambana na hali yako.

Sijasema Lisu ni Askari but utajisikiaje kumbe ni planted; usiamini MTU.

Mungu asante kwa utukufu wako, Bongo siyo bahati mbaya.

Sisi wadaganyika tukafurahia kuwa two retired senior government officers ktk chama chetu. what happened? tukaaminishwa uchaguzi tulishinda, vijana wakawa tayari, tukaambiwa tusubili kwanza viongozi wa chama wanaenda kushitaki ughaibuni ( wajanja tukajua shughuli imeisha..na kweli imeisha), kule Zanzibar Seif akaanza kuzunguka zunguka mara BBC,CNN, mara UN. SEIF AKASEMA MIPANGO INAANDALIWA YA YEYE KUPEWA HAKI YA KUWA RAIS WA ZANZIBAR, Mtu anapewa urais wa mezani..Kama Simba tu point za mezani TFF walikataa kuwapa sembuse Urais, shughuli nayo ikaishia hapo.

tukaambiwa elimu elimu elimu (Mission done)

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa
'

Kila MTU alimuamini sana Dr. Slaa. Tunajua kilichotokea. Wengi tuliamini mzee slaa hakuwa na bei. Hayo ni 2015.

Tu project 2025. Itakuwaje kumbe na huyu tunaye muabudu sana kwa sasa kumbe naye planted. Tutajisikiaje wana mabadiliko tukiona huyu mwanasheria wetu nguli kumbe ni planted. Sahau kuhusu rasha rasha za mahabusu na mahakamani. Hizo n njia za kumuaandaa mtu awe relevant na aminike sana.

Ushauri:

1- vijana tunalaumu sana na kuponda kila kitu.

Mfano mdogo, Serikali inakusanya only 1.1 trillion kwa mwezi. Mishahara kwa watumishi wa umma ni 570 bilioni. Inayobaki ni 530 bilioni. Ebu inyambue hiyo pesa kwa matumizi ya mwezi kwa serikali alafu uone kwann Magu anakuwa mkali sana.

2- Vijana tuache kujadili pet issues ambazo hazisaidii jamii yetu.
Mfano: kwenye tukio la bomba la mafuta vijana tumejikita kujadili Ruge na Makonda badala ya fursa iliyopo kwenye bomba hilo individually na Nchi pia. Nilitegemea vijana tujikite kujadili jins gani tupata ajira hapo na jins gani tutaenda kuuza vitu kwenye mradi huo. Tegemea mradi huu utawanufaisha sana wakenya na waganda.
Kuna kipind mitandao ili jam kwa habari za Bashite..kila mtu bashite..nikawa najiuliza ni kukosa kazi au watanzania tuna upeo mdogo sana wa kung'amua mambo.

3- mwisho, Magufuli ndiyo Rais, ndiyo Baba. Kila mtu acheze ngoma yake, yeye ndiyo the most powerful man kwa Ardhi yetu ya Tanzania. Yeye ndiye namba moja. Hata akiwa angani, anga lote linajua namba 1 yupo angani. Jk anajua hilo, Mwinyi,Mkapa wanajua hayo...hata seif anajua hilo. Ana mazuri yake na anaubaya wake. Hatukuchagua malaika atuongoze.

Cha msingi tushauri, tukosoe but tusikebehi, tusitukane MTU...vision ya Namba 1 kasema Nchi ya viwanda. Jukumu letu wananchi ni kushauri vipambaule viwe wapi kwenye viwanda..mfano kilimo, uvuvi n.k. Serikali IPO pale kukuwezesha tu kufanikiwa siyo kukupa mtaji na pesa za kuishi. Nilimsikia waziri wa kilimo akisema China kuna soko kubwa sana la mihogo, hizi ndizo information ambazo zinatusaidia wananchi siyo za makonda na Ruge.

Vijana tumekuwa wajuaji na wakosoaji sana. Tunasema huyu wa sasa ni dikteta, kwani mauaji ya Arusha ambayo lema alisema anayo video, Singida na Morogoro yalitokea kipind gani. Kwan Ulimboka, kibanda walitekwa kipind gani? Bila kubadili mindset zetu hata chadema waje watawale hatutakuwa na maendeleo. Tuwe logic oriented na siyo emotional.

2025; utajisikiaje moyoni kama kamanda lisu kumbe naye alikuwa planted. Who know? Unajua historia Lisu vizuri. Huu ushauri kwa vijana wenzangu wa Ukawa. Next time ntawashauri vijana wa Lumumba. Pambana na hali yako. wenzetu wakina Lema wanalipwa kwa kazi hiyo. Sisi bado maskini sana hatuwezi kufika uchumi kati ikiwa wengi tunaishi mlo mmoja. serikali ni kama mwalimu darasani, mwalimu anajikumu la kufundisha tu suala la kufaulu mitihani ya necta ni jukumu la kwako wewe, wewe unajukumu la kusoma tuition, kukesha. Serikali ina jukumu la kuhakikishia miundombinu ya kiuchumi na kijamii inakuwepo, sisi wana Nchi tunajukumu la kutumia fursa za kimiundombinu kupambana na hali yetu.

Kuwafanya sana wakina Lisu, Lema, Zito, Mbowe, Sugu ( wakina makamba, POLEPOLE siwataji leo, ntawataja kwenye ushauri wa Lumumba) ndiyo ma model wetu tunapoteza na muda na tutakuwa maskini wa akili na mali. tunafatilia maisha ya wanasiasa ambayo hayatusaidii. Leo Nape tulimiwita Vuvuzela Kisa katofautiana na Bosi wake leo amekuwa na yeye Kamanda. are we serious?

Ali Mufuruki, Rostam, Said Bahkressa, Mo dewji, Manji, Mengi hawa ni watanzania ambao tunabidi tuwafanye wawe ma model wetu na mijadala yetu ijikite kwao kwa jinsi gani wameweza kuwa matajiri Tanzania. Mfano umeona Tanzania hakuna ajira, je umeshwahi kufikiria kutafuta Kazi Nchi za Jirani;; kwann wakenya wapo Tanzania na sisi hatwendi Nchi zao. Biashara ngumu Tanzania mfano umeshawahi kusoma demand ya malawi wananunua vitu gani ambavyo kwa mtaji wako wa milioni 5 waweze supply. Au story nzuri ni zile Lisu amjibu Magufuli..Au daimond afumaniwa. We are not cheap to that.

'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'

pambana na hali yako.

Sijasema Lisu ni Askari but utajisikiaje kumbe ni planted; usiamini MTU.

Mungu asante kwa utukufu wako, Bongo siyo bahati mbaya.

Mkuu japo unaonekana wazi wewe si mfuasi wa UKAWA ila huenda uliwahi kuwa mfuasi, kuna kitu waweza kuwa sahihi. Mimi binafsi nilishatia shaka juu ya TL, hasa nikiunganisha dots za toka enzi ya list of shame. Tangia pale EL hakuwahi kuwaona akina Dr WS, ZZK, TL, JJM kuwa watu wema kwake. Uchaguzi mkuu ulipokaribia EL akatega ACT Tanzania ili ikibuma kuteuliwa CCM apitie huko. Huko kukatokea msuguano ACT Tanzania ikazikwa ikabrandiwa ACT Wazalendo ila EL akaona upepo hauko poa ikawa hana jinsi akajiunga na maadui zake aliokuwa anawakwepa waliomchafua kitambo ampako upepo wa Dr WS ulikua poa ilimradi kaahidiwa gia kuchenjiwa juu kwa juu.

Akapokelewa huko wahusika yaani mahasimu wake wakawa wanaonesha kumuunga mkono mdomoni mioyoni hawakuwa naye. Baadhi wakaonesha vitendo wakamkataa, waliobaki akiwemo TL na JJM wakaendeleza ngoma kishingoupande nikajikita kwenye MILITARY SCIENCE kuandaa vita SWORT ANALYSIS ni kitu muhimu. Nikapata picha strongness ya CDM ni ujio wa EL na timu kubwa na misingi ya mabunge ya kina Dr WS na ZZK na harakati nyingine za kupinga ufisadi walivyovifanya.

Nikaangalia weakness ya CDM ni kumpokea waliemuita fisadi kwa miaka mingi na kuwa ushahidi wanao kisha kumpa nafasi ya kuwa mgombea urais. Weakness nyingine nikaona EL ana uchungu asiouonesha waziwazi ila wanajuana dhidi ya Dr WS, TL, JJM etc kuwa ndio waliomchafua na kuondoa imani ya walio wengi. Nikaona hiyo nyumba itakalika kwa mashaka na nyumba inayokalika kwa mashaka huku mnachukiana kichinichini hapo ndipo adui anaingilia na kumchomoa moja ya majogoo na kumuandaa kumtumia kwa gharama yoyote. Je TL ana ubavu wa kukaa na hasimu wake anayemnyima nafasi ya wazi ya yeye kuwa prezidaa wa TZ, mtu ambaye ana ushahidi wake wa kisheria ya kuwa ni fisadi asikubaliane na kutumiwa huku akila bingo la maana?

Ukimuondoa EL 2020 ukamuweka TL, watanzania tutampa kura TL kuwa rais wetu. He has been fighting up and down for CDM since long long time ago, he is strong and bright enough more than an illegal immigrant from no where who killed many CDM followers during his reign in PM's office. Hold down time will tell!!
 
Back
Top Bottom