Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Sawa tiss naomba usinitoe meno kwa koleoMi naishi Dar es salaam kijana.
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tiss naomba usinitoe meno kwa koleoMi naishi Dar es salaam kijana.
Ndio maana huwa nashangaa watu kuleta ushabiki maandazi humu.
Eti Leo Fatuma karume nae ni wakili huru,wa kumtetea lissu,hahaaaaaaaa
Wacha nikasafishe shamba,nisubili kilimo,nataka nilime mwaka huu mpaka basi.
Sawa tiss naomba usinitoe meno kwa koleo
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kijana wewe hukuwa umezaliwa wakati Lyatonga Mrema akiwa juu.Haitatokea Kwa Lissu The Great.
The Guy Is Voraciously Rigid ( Ana Msimamo Mkali) Toka Kitambo Sana
Pia Amefichua Maovu Ming Ming Ambayo Kama Angekuwa Planted
Angechomoa Msimamo Wake Kilaini.
Bhado Atapambana Kindakindaki.
Muulize Jacob Zuma Anauelewa
Umaridadi Na Mziki Wa Lissu.
Wana Lumumba Lazima Waucheze.
Kijana wewe hukuwa umezaliwa wakati Lyatonga Mrema akiwa juu.
Enzi za Mrema alikuwa ''akilipua mabomu'' sasa tunasema ''ufisadi''Mmekalili yako wapi ya akina mrema?unapinga je uko kwenye system?
mtoa mada bwana # 2 unatuone tu, tukio la kusaini bomba la mafuta lilikuwa la kimataifa ila jamaa akapeleka mambo ya ajabu (kupatanisha watu )
wananchi tunajadili jamaa kupeleka usuruhishi pale na kuacha mambo ya manufaa, wewe unakuja tulaumu sisi kwa nini tunajadili. kwa nini usimlaumu bro. kwa kupereka mambo ya ajabu pale
haikuwa sehemu maalumu ya kufanya jambo ilo, lazima tujadiri upotovu huu. yeye alikuwa na nafasi kubwa ya kujadiri faida za bomba lile ila kwa makusudi kaacha kaanza patanisha watu.YEYE ameshawapatanisha..sasa siye attention kwann iwe kwa Ruge na Makonda, Inamaana ufahamu wetu mdogo
Kwani kuishi Dar es salaam ni sifa? Mpuuzi wewe! unaona aibu kuzaliwa Lindi vijijini kwani uliomba kuzaliwa na kuishi huko?Mi naishi Dar es salaam kijana.
Sina cha kuongeza hapaMtoa maada, wwe uko upande upi kati ya siasa na maisha ya kawaida!? Je, unataka tujitenge mbali na wanasiasa wote kwa vile hatujui ukweli juu ya maisha yao kisiasa km ni TISS au sivyo? Funguka moja kwa moja tukuelewe kisha ndipo tujadili hatua za kuchukua kimaamzi! Wakati huo huo, elewa kwamba, hakuna maisha bila siasa
Kama sisi tukiwa wapuuzi basi yeye atakuwa mpuuzi zaidi.haikuwa sehemu maalumu ya kufanya jambo ilo, lazima tujadiri upotovu huu. yeye alikuwa na nafasi kubwa ya kujadiri faida za bomba lile ila kwa makusudi kaacha kaanza patanisha watu.
wewe unatutaka sisi tujadiri faida za bomba ambazo mkuu kaona ni upuuzi, ila upatanisho ni bora
[emoji28] [emoji28] statement yako imenichekesha sana.Kijana wewe hukuwa umezaliwa wakati Lyatonga Mrema akiwa juu.