Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Ni miaka 6 imebakia kufika mwaka 2030 ambapo kwa hali ya sasa ya wanawake na tabia na mienendo yao then kuna uwezekano mkubwa wakaingia umri wa utu uzima a.k.a Ukuta wa babeli wakiwa hawana watoto, familia, mume, ndoa ya kueleweka wala anuani ya mji wao.

Hii ni matokeo ya matumizi mabaya ya rasilimali za thamani sana yaani mwili na muda, walizopewa na MUNGU bure bila kulipia hata mia.

Ni ukweli usio pingika kuwa wanawake wa sasa wamejiweka mbali sana na uanaumke kiasi kwamba wanajiendea tu na trends na upepo wa walimwengu wasijue kesho inawajia kwa kasi ya fuso isiyo na break.

Huo mwaka nimeutaja nimelenga uzao wa kuanzia miaka fulani sitoitaja hapa ili kupunguza tension but ukipiga hesabu unaweza jua kama wewe unaangukia wapi.

Najua watakuja wadada wapenda ligi akina Jadda na wengineo na kupinga haya nisemayo ili tu kuipa amani mioyo yao ila ndani ya nafsi wanajua kuwa hali si nzuri.

Watasema wanaume kwao itakuwa same story. Wanaume story yao huwa si sawa na ya mwanamke. Mwanaume huo wakati target audience yake ni younge females ambao wewe watakuwa wanakuita mama au shangazi.

Tazama akina auntie Ezekiel,shilole, wolper, wema, buheti, kajala, etc hao nimewataja sababu ni maarufu ila huku mtaani wapo wengi zaidi ya hao ambao kwa umri wao wanavulia chupi vibwana vidogo umri sawa na wadogo zao au watoto zao wa kuwazaa. Imagine hao 2030 haijafika bado.

Hiki kitakuwa kipindi kigumu sana katika historia ya mahusiano watakachopitia wanawake katika taifa letu na ulimwenguni sababu ya kujitoa ufahamu, kukengeuka, na kuishi nje ya mfumo wa jamii vile uliagiza.

Siku zote kukopa raha kurudisha maumivu. Wengi kwa sasa mnataka kufosi kuishi mafanikio ambayo muda wake hamjaufikia. Matokeo ni kusaliti, kuumiza hisia, kukufuru, kukaranganya jamii, na kuharibu ustawi wa jamii.

This is the price you will pay when that time gets here. Maisha yakianza kukuadabisha hakuna atakaye kutetea wala kuingilia hata awe anakupenda vipi na yupo tayari kwa namna gani kujitoa kukupigania.

Mjiandae kisaikolojia. Maumivu yake si ya ulimwengu huu.
 
umeandika kitu cha muhimu sana, wadada wengi sasa muda umeyoyoma no ndoa, no mtoto.
nawafahamu wengi, kuna mmoja ana 37 saiz ni mwendo wa kwenda kwa mwamposa tu, atakunywa maji na mafuta hadi kuyaoga.
kibaya zaidi eti wana hii kauli " Muda wangu utafika"
 
'my body my choice'

'only god can judge me'

'me, myself & I'

na misemo mingine mingi itawekwa hapa

sema kama umeona upande huo kuna shida lazima na huu upande wetu kutakuwa na shida pia

ni janga la taifa
Screenshot_20240825-110655_Chrome.jpg
 
Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji

Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda

By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
 
Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwa wanaume ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu, basi wanawake wataachana nao na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji

Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda

By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Kuhusu ndoa kwa wanawake wala msijimwambafai, kila siku mnalilia ndoa kuanzia majumba/mtaani mpaka makanisani..,ni humu tu kwny mitandao ndio mnakuwa keyboard warrior!
 
Mkuu comment yangu mbona inaeleweka vizuri kabisa wanaolilia ndoa ni wanawake wenye njaa hivyo wanahitaji financial security, na wengine ni kutokana na pressure toka kwenye jamii hivyo wanakuwa desperate na si kwamba wana mapenzi ya dhati sana na wanaume, waulize wanaume wenzio jinsi wale corporate and independent women walivyo wajeuri na ambavyo hawapendi kupelekeshwa sasa wanawake wa aina hiyo tangu lini wakaiweza ndoa
 
Mwanamke anahitaji uwepo wa mwanaume kuliko mwanaume anavyomuhitaji mwanamke...,ukweli mnaujua.
 
Mkuu comment yangu mbona inaeleweka vizuri kabisa wanaolilia ndoa ni wanawake wenye njaa hivyo wanahitaji financial security, na wengine ni kutokana na pressure toka kwenye jamii hivyo wanakuwa desperate na si kwamba wana mapenzi ya dhati sana na wanaume, waulize wanaume wenzio jinsi wale corporate and independent women walivyo wajeuri na ambavyo hawapendi kupelekeshwa sasa wanawake wa aina hiyo tangu lini wakaiweza ndoa
Jadda katika ubora wako
 
Back
Top Bottom