Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Sio rahisi hivo nyie ndiyo mtasanda
 
Mwanamke hasa wa kizazi hiki anakuwa na Jeuri kama bado Watu wanamfukizia inbox anajiona Queen uki plus na viela vya kununua Lotion basi anajidanganya Hana haja ya Mume.
In reality Mwanamke Anahitaji more than just sex from man.

Anahitaji security na vitu vingine vingi.

Mbaya zaidi mabinti wa zama hivi hawa Wahitimu wa vyuo vikuu nao wamekuwa wadangaji bali wauzaji kabisa tena wapo more sophisticated katika hilo wanafanya kisasa.

Lengo kubwa ni Kupata pesa kuishi maisha ya gharama ya kwenye screen at this time huyu binti atatukana matusi Yote kuhusu Ndoa na wanaume kwa sababu mwili wake muda na mazingira bado vinamsapport.

Mashavu yakishaanza kushuka na ile damu ikikata kutoka na Wale Waliokuwa wana hit inbox wakishaacha hapo ndo akili huwa inarudi.

Nilikuwa nawasikiaga kina Bibi wakisema "Tatizo sisi Wanawake mwalimu wetu ni kipofu".

Nature haiwezi kubadilika ila sisi tunaweza kuamua kwenda against it na tuwe tayari for the consequences.
 
Jioni njema
 
Hahah vipi kama ungemwambia tu ”sawa” just “sawa” halafu ukaacha maisha yaendelee?

Wote jengeni hoja hamna haja ya kuoneana hakuna wa muhimu kwa mwenzake,wote tunahitaji mawazo yenu/yetu.
 
Hahah vipi kama ungemwambia tu ”sawa” just “sawa” halafu ukaacha maisha yaendelee?

Wote jengeni hoja hamna haja ya kuoneana hakuna wa muhimu kwa mwenzake,wote tunahitaji mawazo yenu/yetu.
, sasa nikijibu SAWA siku nyingine si ataniwekea masharti kwingine natakiwa niandikeje niweje!!! Ye kama nani hasa kwangu mimi?
 
Denial kuhusu maisha ya mwingine, how? [emoji848] Make that make sense.

So what's so wrong or inaccurate kuhusu prediction ya maisha ya wanawake wa sasa by the year 2030?
Nothing wrong with predictions, however ni namna mojawapo ya kuwajaza “walengwa” hofu…….Kuhusu mnataka kuachieve nini ndio sina uhakika.

Mapenzi ni jambo binafsi, sio jambo la kitaifa, so why mnajali sana kuhusu watu ambao hawajali?

Mimi nadhani wanawake ndio tungekuwa wakwanza kulia lia, Tuko kimya tunapambana na hali zetu.

Jitahidini kuchill bana.
 
Nyakati zimebadilika, Asiyetaka kukubali hili ndiye atateseka, kigumu nini kuelewa kila siku mabandiko ya kulia lia. 😀
 
Nyakati zimebadilika, Asiyetaka kukubali hili ndiye atateseka, kigumu nini kuelewa kila siku mabandiko ya kulia lia. 😀
Nyakati zimebadilika au tumeamua kubadilika?

Bado mnajifungua kwa uchungu na mnaingia P bado mnanyonyesha.

Kilichobadilika ni kipi au Nyie ndio mmeamua kubadilika??
 
Ni kweli tatizo wanatumia pesa kama kigezo cha kumkubali mtu wanasahau kuwa maskini wa leo ndo tajiri wa kesho mtu un
aemdharau leo ukikutana nae miaka miwili baadae sio yule tena
 
Wengi wanazeeka kuliko umri wao halisia,(kongoloka), tena inaanzia kwenye migodi, sorry to say this, pisi kali ya miaka 22 mgodi wa miaka 70 duu, ashakum siyo matusi, tena kabla ya kukutana na bwawa la mindu inakutana J....puya
 
Kwahiyo mzee umeamua kunikaanga sio? [emoji23][emoji23][emoji23] Unanisnitch kwa demu feminist?
 
Wanawake wanakwepa ndoa ujanani tu sababu ya kutaka uhuru wa kudanga na kubadili wanaume kwa uhuru. Ila uzee ukianza wanakimbilia ndoani tena kwa nguvu. We unadhani hao mashangazi wa umri kuanzia 30+ wanapenda kuvuliana chupi na vibwana mdogo vya umri miaka 23?

Ni swala la kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…