Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Tuelezee nyakati zina Uhusiano gani na Tabia Hii ya wanawake? Tuelezee kwa sababu mimi naona hakuna uhusiano hapo.

Sisi tumeamua kubadilika kwa sababu ya matakwa yetu wenyewe Nyakati zina Uhusiano gani?
Me mwenyewe nataka nisikie anateteaje hoja yake.
 
The struggle is real kusema ukweli.
 
Hili nalo ni neno la msingi sana.
Ushauri kuchimba migodi mingi,(sana), siyo dili kwa maana utazeeka haraka harafu vinono utakuwa una viangalia tu utaambulia kuchungulia badala ya kuchimba hahahaa, kumbukeni tunabadilishana mawazo tu,(sharing experience), wengi huwa hamunielewi mnadhani ni mchochezi kumbe mimi kazi yangu ni kuelimisha jamii kwa rika zote napenda jamii iliyo karamka na siyo mfu,(silent society)
 
Tuoneshe msichana aliyekataa ndoa akiwa mbichi [emoji28] Kama wapo Ni wachache Sana. Bytheway maamuzi yakuoa kwa asilimia kubwa yapo kwa sisi wanaume. Ukiona mabinti hawaolewi ujue sisi wanaume ndio hatuoi tukioa hutaona msichana ambaye hajaolewa
Mzee umeamua kuzingua kikao au upo serious? Hivi kweli haujui kuwa kijana wa sasa ambae bado anajitafuta mwenye uhakika wa buku ten au ishirini kwa siku hawezi kushawishi binti mzuri pisi kali kutulia ndani waishi kwa ndoa.
 
Mzee umeamua kuzingua kikao au upo serious? Hivi kweli haujui kuwa kijana wa sasa ambae bado anajitafuta mwenye uhakika wa buku ten au ishirini kwa siku hawezi kushawishi binti mzuri pisi kali kutulia ndani waishi kwa ndoa.
Yani Buku 10 uoe? 😆 Utateseka sana
 
Na kwanini unaassume kwamba the only option ya mwanamke kuwa na financial security ni kumtegemea mwanaume tu ingekuwa hivyo si wanawake wengi wangekufa na njaa, my point is ikifika kipindi wanawake wakikosa kabisa wanachokitaka toka kwa wanaume basi kaa ukijua watatafuta njia nyingine ya kukipata bila kuwategemea ninyi na si kwamba watawabembeleza ili muwape, na ndio maana unaona wanawake wameanza kujitafutia pesa na mali zao na wameanza kuchangamkia fursa za kazi na biashara kwa kasi ya ajabu hilo tu lilipaswa liwape picha ni wapi tunaelekea maana yake wanawake wameanza kujitafutia wenyewe vile wanavyovitaka toka kwenu hivyo umuhimu wenu kwao unazidi kupungua siku hadi siku
Wewe ni wapi ulishawahi kuona mwanaume anayejitambua akavutiwa au kutaka type ya corporate women? [emoji848]
Si ndio mnataka wanawake wa kusaidiana nao majukumu mnajifanya hamtaki magolikipa basi ndio mjue kwamba kila mwanamke kati ya hao anakuja na package yake na ni lazima mchague kimoja, either golikipa ambaye anakutegemea kwa kila kitu lakini anakutii na kutimiza majukumu yake ya nyumbani au hao corporate women ambao wanasaidia majukumu ya kiuchumi lakini hawana utii wala hawawezi kutimiza majukumu ya nyumbani, mnapofeli ni kulazimisha mwanamke acheze roles zote yani akusaidie majukumu yako halafu bado afanye yake na akutii kwa dunia ya sasa mtahangaika sana kupata wanawake wa aina hiyo maana mwanamke akishaweza kufanya hayo yote umuhimu wa mwanaume kwake unakuwa haupo tena
Hizo wanaume huwa hawazipati kwa wake zao wa ndoa wanazipata kwa nyumba ndogo, so ndoa wala haimpi hicho kitu. Think again.
Hivi unaelewa hata hoja yangu sasa kwani mchepuko naye si ni mwanamke ambaye uko naye kwenye mahusiano, yani hapa tunaongelea kwamba mwanaume ni lazima amhitaji mwanamke kwenye maisha yake haijalishi ni mpenzi, mchepuko, mke au housegirl, tofauti na ninyi mnavyodai kwamba eti mnaweza kuishi single maisha yenu yote kwa kununua malaya tu ilihali mnajua fika malaya hawawezi kuwapa hizo romantic gestures
Hoja yako ni ipi maana naona umepanic mpaka umepoteza muelekeo hueleweki unacholenga kusema, mnaojifariji ni wanaume na siyo wanawake na ndio maana ninyi ndio mnaoongoza kwa kulialia huko vijiweni na humu mitandaoni, ninyi ndio mnaowatisha wanawake kwa kudhani watawabembeleza mnasabau kwamba hawa wanawake wa sasa siyo kama bibi zetu ambao walilazimishwa kukubali kila kitu
Huyu Jadda ni feminist
Inakuuma
Uko sahihi namfahamu sana huyo ni aina ya wanawake wameshapoteza kwa hiyo wanaharibu mabinti na wanawake wengine
Inaonekana unatamani mno kunifahamu maana siyo kwa kusisitiza huku
Kanuni yako ya bora tukose wote sio nzuri.

Mnawaharibia mabinti ambao huja mitandaoni kujifunza.

Ikiwa upo divorced au singo mama ni vizuri ukawa shamba darasa katika kuonesha how the young generation can overcome divorce and being a singo maza
Mkuu nimekuwa nikidhani una akili timamu kumbe na wewe ni wale wale tu, yani haya magalasa ndio ya kunifanya nitamani wanawake tukose wote kweli, tafadhali hebu nitake radhi na tuheshimiane
Kw hiyo.Aunt Ezekiel.kwa Kale kabwana chake anatafuta financial security?

Na Shishy Baby je kila kuchao anahangaika na vitoto,anatafuta nini kwao?
Sasa unawashangaa hao wanawake mbona huwashangai wanaume wenzio waliooa hao wanawake kwani nao wanatafuta nini, kama nilivyosema sababu nyingine inaweza kuwa pressure toka kwenye jamii inayofanya wanawake wawe desperate na ndoa, na ndio maana hata kwenye hizo ndoa zenyewe hawadumu kama wangekuwa wanaona umuhimu wa hizo ndoa wangefanya jitihada ili wadumu
Kwani Afande ananjaa? mbona wapo wengi tu wenye status wanahangaikia ndoa mkuu, kwani akina Jay Dee wananjaa lakini si uliona alivyokuwa tayari kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzake?
Hivi kwanza kwanini mnaona kama suala la kuhangaika ndoa ni la wanawake tu kwani hakuna wanaume wanaohangaikia ndoa kiasi cha kuoa wanawake wenye tabia za hovyo, vipi ruge aliyetaka kumuoa nandy pamoja na video yake na billnass kusambaa haya romyjons kaoa single mother aliyezaa na ruge mifano ipo mingi tu, tena bora wanawake wanahangaikia ndoa sababu jamii inawapush wanaume wanahangaikia ndoa kwa sababu gani hadi kufikia hatua ya kuoa wanawake ambao kila siku mnawasema humu
Sema hata cha wastani.
Muhimu ni financial security yani uwe na uwezo wa kuprovide bila kumtegemea mwanamke, kuhusu kipato cha mwanaume ndio maana nikasema inategemea na mahitaji ya mwanamke, kuna mwanamke yeye hata ukiwa na uwezo wa kuafford basic needs tu ni sawa ila kuna mwingine anataka uwe na uwezo wa kuafford mpaka luxuries
Bora wewe huwa unasema ukweli kwamba tatizo lipo kwa wote wanaume na wanawake, kuliko hao wenzio wanaojifanya maovu ya wanaume hawayaoni na kutaka eti wanawake tu ndio wabadilike, huyo jamaa sikuwa namfahamu mkuu ila ukichunguza lazima naye alikuwa na tatizo mahali
Jibu kulingana na wewe kama wewe, kwa sasa unadhani mumeo/atakaekuja kuwa mumeo, anatakiwa awe na kipato cha tsh ngapi kwa mwezi ili aweze kukupa "financial security" Jadda
Mada kama hizi hatutakiwi kujijadili sisi binafsi bali uhalisia uliopo kwenye jamii what if mimi mahitaji yangu ni tofauti, mimi siyo kielelezo cha wanawake wote so elewa nilipokujibu inategemea na mahitaji ya mwanamke, maana kuna mwanamke ukiwa na uwezo wa kuafford basic needs tu kwake ni sawa ila kuna mwingine anataka uwe na uwezo wa kuafford mpaka luxuries
Sio rahisi hivo nyie ndiyo mtasanda
Ndio kawaida yenu endeleeni kujifariji
Tatizo lenu wanaume huwa mnajiona ni either hamna maovu au maovu yenu ni madogo hivyo wanawake wanapaswa kuyavumilia tu, labda niwaambie tu hakuna mnachojenga kama mkiendelea kuukwepa ukweli na kujifanya kama vile wenye matatizo ni wanawake tu na ninyi hamna kabisa, hatukatai wanawake wana matatizo lakini hata wanaume wanayo pia ila kila tukiwaambia nao wabadilike huwa mnateteana na kusema eti ni ujinga wa wanawake mara wanawake ndio wanateseka na propaganda kibao ilihali uhalisia unaonekana wanaoteseka zaidi ni kina nani
Mzee umeamua kuzingua kikao au upo serious? Hivi kweli haujui kuwa kijana wa sasa ambae bado anajitafuta mwenye uhakika wa buku ten au ishirini kwa siku hawezi kushawishi binti mzuri pisi kali kutulia ndani waishi kwa ndoa.
Wewe si umesema kwamba ni rahisi mwanaume kuoa binti mdogo na bikira hapa vipi tena, halafu nakumbuka kuna mjadala uliwahi kusema kwamba wanawake wenyewe ndio wanaokataa kuolewa mapema pale wanapopata wanaume walio tayari kuwaoa, halafu leo uko hapa unanibishia kana kwamba mabinti wadogo kuolewa ni suala la wanaume kuamua na kugusa tu ndio maana nawaambia ninyi hamuandiki uhalisia bali nadharia tu
 
Aisee kweli ajakosea kusema unaoenda ligi na kukutagi kabisa
 
Okay kwahiyo wao kuandika hoja zao ni sawa, ila mimi kuandika hoja zangu napenda ligi, i swear there is something wrong with jf boys
Huna ulijualo Jadda katika uhalisia wa mambo.(Au huenda unajua ila umechagua upande huo)

Ila unajua mengi sana katika nadharia na mitazamo.
 
Hata wanaume nao
 
Kama kawaida yenu endeleeni kujifariji
Nani anajifariji Wakati Uhalisia unaonekana Wanaosaka ndoa Zaidi ni kina nani?

Simply tuulize wanaoenda kwa mwamposa kutaka ndoa asilimia kubwa ni kina nani?
Utasema Ni kwa sababu ya influence but if that is the realty Chunguza umri wao wale wanaoenda pale na wengine wengi wanaoenda Sehemu zisizo rasmi most of them are 35+ WHY THIS??.

Wengi wao wanajiweza kiuchumi. Sasa wanataka nini tena?

Nakusisitizia ukiacha ujeuri wa kisichana Mwanamke anahitaji vitu vingi sana kutoka kwa Mwanaume na sio tuu mali(Financial security)kama unavyohangaika kupotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…