Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Kama anayeingiliwa ni mtoto huo ujinga bado nae unamuhusu?

Na unawezaje kurahisisha tendo la kumvunja mtu Utu wake na hatimaye kumbadili jinsia eti ni Ujinga?!

Unalifanya lionekane jambo dogo kwa sababu muhusika ni mwanaume au sio?

Mwanaume anamlawiti mtoto wa kiume huwezi kusema ana gender confusion, this is pure hypocrisy!

Ndicho umesema kwenye statement niliyo ku quote. Kwamba matatizo yote ikiwemo la ushoga chanzo kikuu ni mwanamke.

Ujinga wao ni kukataa kubaki hata katika situations wanazoona hawafai kuendelea kuwepo?

Kwani maisha yao sio maamuzi yao?

Suala la mwanamke kuweza kutengeneza kipato chake mwenyewe na kisiingiliwe na mtu ni zaidi ya ushindi kwa mwanamke, ask your Women relatives waliokuwepo at least miaka 20 tu iliyopita hali ilikuwaje kwa mwanamke kuhusu suala la mapato na matumizi?!

Now, hapa sasa ndio umeusema Ukweli ambao all your male counter parts hawataki kuukubali.

Tatizo hapa sio wanawake na matendo yao, tatizo ni insecurities, fear of the unknown & ego walizonazo wanaume kuhusu Uhalisia wao na Umuhimu wao kwenye haya Maisha.

99.99% of human males are brought up believing that they are special creatures and that females are their personal properties to use as they please and they should not expect any consequences.

Sasa dunia imepinduka, kila kitu ni more colorful and almost realistic kiasi wanawake hawahitaji tena kupapasa kuzipata njia zao, they can move and make choices freely.

The black and white world that our grandmas, our mothers lived in, is long gone.

For as long as tukiendelea kudhalilishana na kukoseana heshima na utu, hakuna kile tutabadilisha zaidi ya SISI kubadilishwa na nyakati kama ilivyo sasa.

For both human Males and Females, hakuna mjanja kwa maisha ya sasa ila Kama alivyosema DR HAYA LAND, only the Fittest will survive. Sasa sio fit ya Gym!
Ukimpinga Mungu kama hivi unajibebesha dhambi kibao sana , acha kuwaza hivi dada yangu heri uwe na hatia yako binafsi kuliko hatia ya kuwapoteza na wengine kwa mawazo yako.

Nyakati ambazo ndoa zilidumu unaziita za giza , ina maana unamtukana Mungu kwamba hajawahi kupenda ndoa ziwepo na zidumu ndiyo maana baada ya giza kutoka sasa hivi zinavunjika na wewe unashangilia kwamba ni jambo jema. Usikufuru
 
Ni kama ijumaa ya wiki ya mwisho kabla ya wiki ya NECTA au UE kuanza. Kama haukusoma hesabu miaka yote au semester nzima. Then kufeli ni inevitable. Labda muujiza.

Hatuwezi rudisha muda nyuma bali kuface the reality, hapa nilichofanya ni kuwajuza tu walimwengu kuwa muda wa kulipia hesabu ya matendo umefika.

Kama vile ilivyo kwa mzee mwenye historia ya uvivu na kutojituma ujanani wakati wa uzee ukimfika basi hata mwanamke aliyetumia ujana wake hadi ukaisha na asitenge muda wa kujijenga kwaajiri ya kuja kuwa na mume na familia kiama chake ni umri ukishamtupa mkono, ataomboleza kila siku hadi uzee na umauti vimfike.
point
 
Wapo mabinti wanataka watu wazima sio kwa pesa zao ni kwasababu ya utulivu wa akili. Unadhani mwanaume wa miaka 40 anakuwa bado hana maisha kwa wastani?

Kumbuka huhitaji kuwa milionea kuishi na mwanamke ni pesa ya chakula na kujikimu mahitaji madogo madogo. Ila wanawake wanataka milionea ili kuolewa.
Hao mabint wanaotaka mamilionea kwao ni mamilionea?
 
Nani alikuomba umuoe? Hivi kabisa unajidanganya wanawake wa ss hivi tunalilia ndoa??

Hakuna kipindi wanawake wamezidharau ndoa km hiki… labda vijijini.

Wanaume wanataka kuolewa na mashangazi na wajomba zao, hao ndio wenye uhitaji.. kidogo na wale waganga njaa ambao hawana uwezo wa kujihudumia.
wanaokwenda kuombewa kwa Mwamposa ni wa vijijini? Au hapo Dsm siku hizi ni kijijini? Acha kujifariji unaitaka ndoa ila vigezo umekosa kwa sasa 😂
 
Ukimpinga Mungu kama hivi unajibebesha dhambi kibao sana , acha kuwaza hivi dada yangu heri uwe na hatia yako binafsi kuliko hatia ya kuwapoteza na wengine kwa mawazo yako.
Typical mind of an African boy!

Wewe ni secretary wa Mungu mpaka kujua ni dhambi kiasi gani nazibeba?!

Nimewapoteza vipi?

Nyakati ambazo ndoa zilidumu unaziita za giza ,
Nakutuma na wewe, go find your female relatives waliokua hai na kwenye Ndoa miaka 20 iliyopita, waombe wakwambie Ukweli halisi, sio Ukweli wa kiumeni!

ina maana unamtukana Mungu
Unamjua hata huyo Mungu mwenyewe ama ndio umekariri kama ulivyokaririshwa kuhusu “uanaume wako?

kwamba hajawahi kupenda ndoa ziwepo na zidumu
Nionyeshe ni wapi nimeandika hayo?!

ndiyo maana baada ya giza kutoka sasa hivi zinavunjika na wewe unashangilia
Hata mluzi sijapiga unasema nashangilia?!?

kwamba ni jambo jema. Usikufuru
Mimi na wewe nani ana kufuru hapa??

By the way hii silaha yenu ya kuwatisha wanawake na Mungu imekuwepo tangu kuumbwa kwa Mfumo Dume, kwa walioukuta huo Mfumo wanaijua vyema na kwa taarifa yako tu; Hawaiogopi tena. Ahsante
 
Mkuu comment yangu mbona inaeleweka vizuri kabisa wanaolilia ndoa ni wanawake wenye njaa hivyo wanahitaji financial security, na wengine ni kutokana na pressure toka kwenye jamii hivyo wanakuwa desperate na si kwamba wana mapenzi ya dhati sana na wanaume, waulize wanaume wenzio jinsi wale corporate and independent women walivyo wajeuri na ambavyo hawapendi kupelekeshwa sasa wanawake wa aina hiyo tangu lini wakaiweza ndoa
Acha kuweka comment ya faraja kama unaamini wanawake wanataka ndoa kwa ajili ya financial security tungekuwa tunaweza onana ningekupa mfano hai kwa wanawake zaidi ya watano tena ni partner zangu acha mkuu hali ni mbaya ningekutumia baadhi ya conversation ila nina hofu kwa wahusika wakawa humu, nilichogundua wanawake wengi wameshundua ukweli kuwa wanaume hawana uhitaji na wanawake tena so wengi wamebaki kujifariji kwa kuanza kujimwambafai kuwa hata wao hawana huo muda ila behind the door wanamaumivu ndiyo km hivi kwenye keyboard utaona hasira zao.
 
Usitake watu tukaongea siri za kikeni bana, wanawake hawalii hadharani kama usemavyo kwasababu “kila mwanamke anaye mtu inbox kwake anayetaka kumuoa “ namaanisha kila…… Tatizo ni kwanini hawaolewi? ni kwasababu ya vigezo ambavyo kila mmoja amejiwekea ambapo mi sioni tatizo, Hizi pressure zinafanya watu wafanye wrong choices, hence muda ukifika wa kuoneshana shege mje mtulilie humu!

Hao mnaowaona wanalia kwa mwamposa kama asemavyo Me and me Sio kwamba hawana wakuwaoa, Nasikikitika kulisema hili 😂😂😂😂 halikutakiwa kusemwa hadharani. Watu wanaombea Mr.right wao nyie mnadhani wanaombea “chochote”. Tatizo wanaume kila siku nawaambia mnapenda kuzungumzia mambo ya wanawake wakati completely hamyajui. Sijasema ni kitu sahihi wanafanya naomba nisinukuliwe vibaya 😆 Najaribu tu kuwasanua wanaume mambo yanayoendelea kwenye maisha ya wanawake, Kila siku nawaambia mko worried na watu ambao hawako worried.

Tunaijua hii ni psychological manipulations mnafanya. Na some of you mnafanya kwa kujua, wengine hamjui kama mna fanya. Mi nipo hapa kuobserve.
So unataka kutuaminisha kuwa wanawake kutafuta mr right ni akili ambayo hata mama zetu walitumia miaka hiyo wakati wa ujana wao? Kwamba mwanamke wa sasa Mr.right anayemtafuta ana exist katika uhalisia?🤔
 
Wakiandika wao hoja zao wako sahihi, ila nikiandika mimi hoja zangu napenda mashindano, kubalini ukweli hata kama unauma msilazimishe kila mtu akubaliane na kila mnachosema hata kama ni ujinga
Hauna ukweli wowote huwa unasema zaidi ya kujenga hoja zako kwa nadharia. Mimi naongea vitu ambavyo vipo mtaani na vinaonekana hata mtoto wa shule ya msingi anaweza shuhudia kuviona. Wewe unaongea mambo ambayo unawish yangelikuwapo katika nyakati hizi na kiuhalisia ni kuwa hayapo.
 
Ukimpinga Mungu kama hivi unajibebesha dhambi kibao sana , acha kuwaza hivi dada yangu heri uwe na hatia yako binafsi kuliko hatia ya kuwapoteza na wengine kwa mawazo yako.

Nyakati ambazo ndoa zilidumu unaziita za giza , ina maana unamtukana Mungu kwamba hajawahi kupenda ndoa ziwepo na zidumu ndiyo maana baada ya giza kutoka sasa hivi zinavunjika na wewe unashangilia kwamba ni jambo jema. Usikufuru
Umemwambia ukweli na yule Jadda anayejifanya ni ferminist mkubwa kumbe ameshindwa kuishi maisha ya ndoa tu. Hakuna Mwanamke asiyetaka ndoa na huu uzi toka jumapili kuna Dada mmoja alikuwa mpaka ananitukana sana halafu anajisahau kama nilishawahi kuzungumza mambo mengi tu. Wanawake wapo desperate sana hata humu asilimia 95 wapo na sampling zipo lakini haipendezi kuwa expose itakuwa sio vizuri.
Kuna wanawake wengine huwa wanaomba namba anaanza kuomba ushauri wa kijinga, eti ooh nimezidiwa na genye nifanyaje? Alafu kuna watu hawa wanatetea wasichokijua. Tunatunza siri na heshima zao japo wanajifanya wanaropoka tu hapa.
 
So unataka kutuaminisha kuwa wanawake kutafuta mr right ni akili ambayo hata mama zetu walitumia miaka hiyo wakati wa ujana wao? Kwamba mwanamke wa sasa Mr.right anayemtafuta ana exist katika uhalisia?🤔
Sijasema hivyo… Jifunze kuelewa. Na hata sijasema kila anayetafuta mr. right atapata, some watakosa na watapambana na hali yao… either watalia, watajinyonga, watakuwa bitter ni juu yao.

Waacheni watu wafanye makosa yao. Jamii iepuke kuwapa watu pressure, this is my point always.
 
Kama anayeingiliwa ni mtoto huo ujinga bado nae unamuhusu?

Na unawezaje kurahisisha tendo la kumvunja mtu Utu wake na hatimaye kumbadili jinsia eti ni Ujinga?!

Unalifanya lionekane jambo dogo kwa sababu muhusika ni mwanaume au sio?

Mwanaume anamlawiti mtoto wa kiume huwezi kusema ana gender confusion, this is pure hypocrisy!

Ndicho umesema kwenye statement niliyo ku quote. Kwamba matatizo yote ikiwemo la ushoga chanzo kikuu ni mwanamke.

Ujinga wao ni kukataa kubaki hata katika situations wanazoona hawafai kuendelea kuwepo?

Kwani maisha yao sio maamuzi yao?

Suala la mwanamke kuweza kutengeneza kipato chake mwenyewe na kisiingiliwe na mtu ni zaidi ya ushindi kwa mwanamke, ask your Women relatives waliokuwepo at least miaka 20 tu iliyopita hali ilikuwaje kwa mwanamke kuhusu suala la mapato na matumizi?!

Now, hapa sasa ndio umeusema Ukweli ambao all your male counter parts hawataki kuukubali.

Tatizo hapa sio wanawake na matendo yao, tatizo ni insecurities, fear of the unknown & ego walizonazo wanaume kuhusu Uhalisia wao na Umuhimu wao kwenye haya Maisha.

99.99% of human males are brought up believing that they are special creatures and that females are their personal properties to use as they please and they should not expect any consequences.

Sasa dunia imepinduka, kila kitu ni more colorful and almost realistic kiasi wanawake hawahitaji tena kupapasa kuzipata njia zao, they can move and make choices freely.

The black and white world that our grandmas, our mothers lived in, is long gone.

For as long as tukiendelea kudhalilishana na kukoseana heshima na utu, hakuna kile tutabadilisha zaidi ya SISI kubadilishwa na nyakati kama ilivyo sasa.

For both human Males and Females, hakuna mjanja kwa maisha ya sasa ila Kama alivyosema DR HAYA LAND, only the Fittest will survive. Sasa sio fit ya Gym!
😀😀😀 JF yafaa nini bila watu kama ninyi Sis!!!

Kuna kitu kidogo sana wanaume wa humu wanashindwa kutuelewa! Mbona tuna ongea kwa maneno marahisi sana?

Wazazi wetu waliishi in better old days, na bado ndoa hazikuwa that perfect, Sasa kwenye huu ulimwengu wa sasa wa hovyo Sielewi at all why the pushy? and if it is necessary kwanini inajengwa “all about women” ??? Eti wanawake ndio tutaopata shida 😂😂 Niga* whaaat??? Jadda anawaambia kabisa kuwa watakaopata shida ni ambao financially hawako sawa… Wanabishaaaaa kama hawaoni uhalisia 🤣

Hiki ni chetu sote kama kuturamba kitaturamba both sides! Some will win some will loose and that’s it!
 
Typical mind of an African boy!

Wewe ni secretary wa Mungu mpaka kujua ni dhambi kiasi gani nazibeba?!

Nimewapoteza vipi?

Nakutuma na wewe, go find your female relatives waliokua hai na kwenye Ndoa miaka 20 iliyopita, waombe wakwambie Ukweli halisi, sio Ukweli wa kiumeni!

Unamjua hata huyo Mungu mwenyewe ama ndio umekariri kama ulivyokaririshwa kuhusu “uanaume wako?

Nionyeshe ni wapi nimeandika hayo?!

Hata mluzi sijapiga unasema nashangilia?!?

Mimi na wewe nani ana kufuru hapa??

By the way hii silaha yenu ya kuwatisha wanawake na Mungu imekuwepo tangu kuumbwa kwa Mfumo Dume, kwa walioukuta huo Mfumo wanaijua vyema na kwa taarifa yako tu; Hawaiogopi tena. Ahsante
Bado mnaendelea kukomaa kupotosha Jamii Shame on you.

Ukiachana na ancient Revealed and written literatures kuelezea kwa uwazi Masuala ya majukumu na Nafasi ya mwanamke na mwanaume katika jamii.

Unaweza pia kutazama matokeo ya kile kinachooitwa ukombozi wa mwanamke matokeo hayo ni chanya au ni hasi kwa jamii,, Kuwa Muadilifu kisha tuzungumzie yale Mahusiano aidha ya kindoa au interactions zengine kati ya mwanamke na mwanaume katika jamii zama hizi na zama zilizopita wapi kulikuwa na utulivu na amani na maelewano. (Linganisha Faida na hasara kotekote).

Utagundua mifumo hii unayoishabikia Inaenda kudhoofisha Familia kisha jamii yote.
Feminism inaenda sambamba na kuporomoka kwa maadili,, Mifarakano katika ndoa na talaka ni Common Nowdays. FAMILIES AREN'T SAFE ANYMORE.

Na lazima tuzungumze kwa sababu suala la Mwanamke kukataa utii kwa mwanaume ina adhari pia kwa mwanaume kwa sababu watoto wa kiume na wakike wakikosa malezi mazuri katika Familia iliyo Stable madhara ni makubwa (ikiwemo ushoga na Umalaya)
Na in reality Kupata stable family under feminism ni Ngumu wengi wa ma Feminist ni single mothers au ni watu wazima wanaoruka ruka na vijana wadogo (yaani wamewaoa)

Pia msipotoshe kuwa Mwanamke mwenye financial independence hatakiwi kuwa mtiifu kwa mumewe Kwani Kinachomfanya mwanaume kuwa Mwanaume sio tuu mali alizonazo. Pia kinachomfanya Mwanamke kuwa Mwanamke sio kule kukaa ndani muda wote.
 
Sijasema hivyo… Jifunze kuelewa. Na hata sijasema kila anayetafuta mr. right atapata, some watakosa na watapambana na hali yao… either watalia, watajinyonga, watakuwa bitter ni juu yao.

Waacheni watu wafanye makosa yao. Jamii iepuke kuwapa watu pressure, this is my point always.
Huwezi achwa ufanye makosa kwa sababu wewe hauishi katika vacuum unaishi na jamii ukiamua kuwa malayer hatuwezi kukuacha kwa sababu mabinti zetu watakuja kujifunza kutoka kwako na mambo yalivyo BAD IS MORE ATTRACTIVE THAN GOOD. So hatuwezi kuwaacha na ujinga wenu wakati ninyi ni sehemu ya jamii. May be maneno yetu Wengine yatawafaa.
 
😀😀😀 JF yafaa nini bila watu kama ninyi Sis!!!

Kuna kitu kidogo sana wanaume wa humu wanashindwa kutuelewa! Mbona tuna ongea kwa maneno marahisi sana?

Wazazi wetu waliishi in better old days, na bado ndoa hazikuwa that perfect, Sasa kwenye huu ulimwengu wa sasa wa hovyo Sielewi at all why the pushy? and if it is necessary kwanini inajengwa “all about women” ??? Eti wanawake ndio tutaopata shida 😂😂 Niga* whaaat??? Jadda anawaambia kabisa kuwa watakaopata shida ni ambao financially hawako sawa… Wanabishaaaaa kama hawaoni uhalisia 🤣

Hiki ni chetu sote kama kuturamba kitaturamba both sides! Some will win some will loose and that’s it!
Tuwasamehe bure, Most of them are Boys who really wish they could be Men.
Utoto umewatawala.
 
Bado mnaendelea kukomaa kupotosha Jamii Shame on you.
Ona huyu?! Nimepotosha kwa mujibu wa nani na nimepotosha nini?

Ukiachana na ancient Revealed and written literatures kuelezea kwa uwazi Masuala ya majukumu na Nafasi ya mwanamke na mwanaume katika jamii.
Kwamba kuna maandiko yanayoelekeza majukumu specific ya mwanamke na mwanaume hapa duniani?

Yameandikwa na nani? Kitabu kinaitwaje?

Unaweza pia kutazama matokeo ya kile kinachooitwa ukombozi wa mwanamke matokeo hayo ni chanya au ni hasi kwa jamii,,
Kwanza unatakiwa utambue kila jambo lililoanzishwa na binaadam hapa kwenye uso wa dunia, kuwa na mapungufu ni kawaida kabisa.

Pili, ukombozi wa mwanamke huwezi kuuelewa wewe mwanaume wala kujua athari zake chanya kwa maana wewe sio mlengwa na kwa sababu wewe ni mwanaume basi ni lazima utaona athari hasi zaidi ya chanya,it’s expected.

Kuwa Muadilifu kisha tuzungumzie yale Mahusiano aidha ya kindoa au interactions zengine kati ya mwanamke na mwanaume katika jamii zama hizi na zama zilizopita wapi kulikuwa na utulivu na amani na maelewano. (Linganisha Faida na hasara kotekote).
Inategemea unazungumzia utulivu wa aina gani na walengwa ni kina nani.

Hizo zama zilizopita wanawake wengi iwe kwenye ndoa ama mahusiano ya kawaida ya kijamii, hawakua na sauti na hawakuruhusiwa kusikika, Mungu na Jamii ikitumika Kama fimbo za kumnyamazisha.

Na zama za leo wanawake wamepewa nafasi na sauti, hakuna tena vitisho na hata Kama vipo hawaviogopi tena Kama bibi na mama zao.

Utagundua mifumo hii unayoishabikia Inaenda kudhoofisha Familia kisha jamii yote.
Mfumo upi huo nilioshabikia?

Nikwambie kitu, tambua kwamba adui wa kwanza wa mtu ni yeye mwenyewe!

Udhoofishwaji wa family system na kudondoka kwa misingi imara ya jamii chanzo ni ninyi wapiga kelele na walalamikaji hodari, wanaume!

Kwa sababu, wanawake asilimia 99 wamezaliwa na kujikuta ndani ya Mfumo Dume, na millions of them wameuishi japo kwa maumivu for a larger part of it lakini they endured.

Sasa, unapojiona wewe ni superior na special kuliko mwingine lazima uhakikishe siku zote madhaifu yako ni Siri yako kuu, kinyume chake, wanaume mmeutumia vibaya Mfumo na kutoa mwanya wa madhaifu yenu kutumika dhidi yenu.

Feminism inaenda sambamba na kuporomoka kwa maadili,,
Ungejielimisha kidogo kwanza nini maana halisi ya Feminism ingekua poa sana na sio hizi tafsiri zenu za wavulana wa jamii forums!

Hawa wanaume wazee wanaotembea na watoto umri Sawa na vijukuu na vitukuu vyao ni feminists wa wapi?

Mifarakano katika ndoa na talaka ni Common Nowdays. FAMILIES AREN'T SAFE ANYMORE.
Kwamba hiyo mifarakano na talaka ni kosa la mwanamke pia?

Kwenye jamii iliyohalalisha michepuko na kuusifu uzinzi kwamba ndio uanaume unategemea nini kitokee?

Na lazima tuzungumze kwa sababu suala la Mwanamke kukataa utii kwa mwanaume
Unataka utii kwa mwanamke ambaye hutaki kumuheshimu yeye wala hisia zake?

Unataka utii kwa mwanamke unaemdhalilisha na kumtumikisha kisha kumtelekeza?

ina adhari pia kwa mwanaume kwa sababu watoto wa kiume na wakike wakikosa malezi mazuri katika Familia iliyo Stable madhara ni makubwa (ikiwemo ushoga na Umalaya)
Mwanaume huwezi ukaacha kusimamia responsibilities zako na kutimiza wajibu wako halafu ukasingizia mwanamke hakutii.

Play your part! Timiza upande wako kwanza.

Ushoga ni kitendo cha mwanaume kumwingilia njia ya haja kubwa mwanaume mwenzake, hapa mwanamke anahusika vipi?

Na in reality Kupata stable family under feminism ni Ngumu
Kupata stable family kwenye jamii inayoshabikia uzinzi na uchafu kwamba ndio urijali ni ngumu.

Halafu kajielimishe kuhusu Feminism kwanza.

wengi wa ma Feminist ni single mothers
Hao single mothers, hizo mimba wamejibebesha wenyewe?

Hao sperm donors wajibu wao ni upi?

au ni watu wazima wanaoruka ruka na vijana wadogo (yaani wamewaoa)
Millions of men wanaoa watoto Sawa na wajukuu zao, the opposite was bound to happen.

Wanawake nao ni binaadam tu Kama wanaume.

Pia msipotoshe kuwa Mwanamke mwenye financial independence hatakiwi kuwa mtiifu kwa mumewe Kwani Kinachomfanya mwanaume kuwa Mwanaume sio tuu mali alizonazo.
Nani kasema hayo? Unatambua kwamba heshima haiombwi ila huja tu asilia kulingana na mwenendo kati ya wahusika?

Unataka utii wa mwanamke husiyempenda wala kumjali kwa dhati? Wewe unaweza?!

Pia kinachomfanya Mwanamke kuwa Mwanamke sio kule kukaa ndani muda wote.
Imefika wakati sasa wa kila jamii (ya Kike na ya kiume) kupambania misingi yake na kusimamia majukumu yake bila kutegemea jamii nyingine.

Lawama zitapungua Kama sio kuisha kabisa pale tu ambapo nanyi wanaume mtakapojifunza kuyabeba madhambi yenu na madhaifu yenu wenyewe bila kuwasingizia wanawake.

Vinginevyo, let’s watch it sink tusubiri kugawana Mbao!
 
wanaokwenda kuombewa kwa Mwamposa ni wa vijijini? Au hapo Dsm siku hizi ni kijijini? Acha kujifariji unaitaka ndoa ila vigezo umekosa kwa sasa 😂
🤣🤣🤣 vigezo gani??
Mimi kwakweli wala sihitaji ndoa, kuanza kuishi chini ya mtu na kuuza uhuru wangu nehi nehi karungi..
Eti nianze kuumiza kichwa mume atakula nini? Kesho atavaa nini? Usiku nijiandae kupigwa mbuzi kagoma.. 😹😹😹

Hapana kwakweli waolewe wanaotaka kushinda na Alshabab under the one roof 🤣
 
Back
Top Bottom