Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ila Jadda huyo unayemjibu analo leo πŸ˜‚πŸ˜‚
Mana kila nikiingia kumjibu Manyanza nakukuta unatype
Hahaha wanaume wa kiafrika hawajazoea kuwa challenged na wanawake my dear, wanataka kila wanachoandika kuhusu wanawake tusipinge wala tusikosoe bali tukubali na tusadiki tu hata kama ni ujinga, sometimes they need to be put in their place wanajisahau sana hawa viumbe
 
Sasa wewe mwenyewe si ndio umetoka kusema kwamba unanifahamu, na unahisi wewe ukiniona mimi wa hovyo inanipunguzia nini kwenye maisha yangu labda, wewe ni nani hadi uhisi kwamba mtazamo wako juu yangu ni kitu cha kunifanya mimi nijali
Nakufahamu kama feminist na a hoe si zaidi ya hivyo
 
Wanakuchosha bure tu, hivi unafikiri yote hayo hawayajui km zama zimebadilika??
Wanajua vizuri wanafanya makusudi ili uwajibu. Halafu unakuta anayesema hayo hata hana husiano lolote yupo km bendera fata upepo 🀣🀣
 
Waache waendelee kushupaza shingo my dear ila nimegundua wanatapatapa sana, yani sasa hivi walichobaki nacho ni zile kauli za mfumo dume tu ndizo wanazotumia kujifariji, ambazo zilikuwa zinaapply kwa wanawake wa enzi hizo waliofungwa akili hawataki kukubali kwamba wanawake wa sasa wameshaamua ku unleash their inner beasts na hawajali tena
 
Huna Mume wewe na kama unaye Sijui ni aina gani ya mwanaume huyo.
Mke wa mtu huyu. Tena Unatudanganya una miaka 25 now kwenye ndoa aisee Mbona bado unaonekana una akili za 20+
 
Unajua maana ya neno kumfahamu mtu, wewe nichukulie vyovyote ila hainipunguzii chochote hata mimi naweza kuamua tu kukuchukulia kama shoga na huwezi kunizuia, nigga get a life!!
🀣🀣🀣 kumekucha
Hii week wanawake tumevurugwa
 
Jadda in short una taka kuwapotosha watu kuwa Mwanaume gentleman ni huyo kama mume wako (Mume wa maigizo) akuache kwenye viwanja uende ukanywe na mambo mengine ya ajabu.

Hayo sio maadili yetu sisi waafrika wewe umechagua maisha ya anasa so lazima ulazimishe uwe huru anasa hazifanywi kama hakuna uhuru. Tembea kwenye mstari wako lakini usipotoshe watu. Familia ni muhimu sana na Maadili ni muhimu zaidi.
 
Wanakuchosha bure tu, hivi unafikiri yote hayo hawayajui km zama zimebadilika??
Wanajua vizuri wanafanya makusudi ili uwajibu. Halafu unakuta anayesema hayo hata hana husiano lolote yupo km bendera fata upepo 🀣🀣
Haha ukweli wanaujua ila wanajikaza tu humu mradi wasionekane wameshindwa hoja, we si unaona walivyopoteana hadi wanaanza kufukua comments za nyuma, siku zote ukiona mtu anahangaika na mtoa hoja ujue kashashindwa hoja huyo
 
Jamani huku mtaani ngoma ngumu sana soko la ndoa lipo Saturated
 
🀣🀣🀣 kumekucha
Hii week wanawake tumevurugwa
Ngoja nikwambie mate, in most cases wanawake wengi ni wapole, tuna asili ya upole na heshima. Ila mvunjie mwanamke heshima mara moja, mara mbili uone kazi.

Kuna mawili akuignore akuoneshe dharau au apambane kama hivi, na sisi silaha yetu mdomo.

haya yote yanatokea JF, kuna wanawake wanadharau za hatari, wanaignore hizi kelele za humu zote, hawajibu wala hawacomment, halafu kuna kundi la pili kina sisi, weka ugoko niweke chuma! πŸ˜‚

Ila mkianza kupigwa mi nitawakimbia! wanaume hawaheshimu wanawake, sijui wanategemeaje tuwajeshimu!
 
Unajua maana ya neno kumfahamu mtu, wewe nichukulie vyovyote ila hainipunguzii chochote hata mimi naweza kuamua tu kukuchukulia kama shoga na huwezi kunizuia, nigga get a life!!
Wewe nichukulie mimi hivyo ila mimi sina
haja ya kukuchukulia kama feminist na hoe you are a real hoe
 
Isaya 4:1, mbona imeshaongea πŸ˜‚πŸ˜‚
Watajibebaaa sisi hao
 
Tuongee ukweli iv ulishaona at wanaume wanaenda kwa church et waombewe wapate wake ? Asilimia kubwa akina nan wanakuwaga hukoπŸ˜‚?

Au ushawahi ona et mwanaume ako kwa mganga ,kutafuta tiba ya kupata mke?
NI akina nan wanakuwaga huko🀣🀣🀣?

Na hivi tushawajua wanataka financial security kwa ndoa wwoooi , ni kupiga tupa kule takataka kbsaa.
 
Kuwatoa wanawake katika Utiifu kwa waume zao.
Hilo limewekwa naturally na Mungu, Mimi nitaweza wapi kulibadilisha?

Waambie wanaume wenzako wa play part zao, wakiwapenda na kuwaheshimu wake zao, utii ni sehemu ya maumbile yao. Unakuja tu Kama utelezi kwa umpendae.

Vitabu vitakatifu vya dini kuu mbili duniani uislamu na ukristo

Maybe duniani ya Tanzania lakini Kama ni nje ya mipaka ya TZ, basi unayo kazi kubwa ya kujielimisha.

vimekubaliana katika majukumu na Nafasi ya mwanamke na Mwanaume katika jamii.

Niliposema tangu kuumbwa kwa Mfumo Dume ulielewa nini?

A council of men seating down and deciding on how to manipulate and turn women to be their sex slaves & house maids instead of fair human partners like the creator intended it?!?

Eti walikubaliana?! Unakaa chini kuamua matumizi ya maisha ya kiumbe kilichoumbwa independently along side You?!
Mwanamke ni mlezi wa familia katika kuchunga mali na watoto na mwanaume ni Kiongozi wa familia na breadwinner wa familia.
Niambie karne za bibi zetu na mama zetu kufanya haya na mengi zaidi ni Yapi yalikua malipo yao?
Wengi waliambulia kupandishwa vyeo na kuwa wake wakubwa na bado hata hizo mali unazozisema wapo billions of women walioko chini ya ardhi wameondoka bila hata kuzionja.

Tunaweza tukaqoute maandiko kama utayahitaji.

ipo siku hawa mnaowaita Feminists wataenda a step ahead na kuandika nao β€œMaono” yao kutoka kwa Mungu, Dunia imeamua kuzunguka upande wao kwa sasa hatujui wataishia wapi!

Mjiandae kulia zaidi.

Kama huamini katika hizo Dini pia sema tujadili kwa upande Mwengine.
Speculating much?!

Nalitambua hili kwa asilimia 100!
Ila linafanya kazi zaidi ikiwa kila mmoja kati yetu atakubali kusimama na kuchukua majukumu yake head on bila kulalama na kuumiza wengine in the process Kisa tu jinsia tofauti!

Usichokielewa hili ni swala la kijamii na jamii Tunaishi nayo kila siku Mitaani.
Nami pia ni sehemu ya hiyo jamii, naelewa sana na ninatambua uhalisia kwa maana Mimi pia ni Mwanamke.

Athari chanya au hasi zinaonekana. Labda utuambie wewe Mwanamke athari chanya za Hizo itikadi zenu ni zipi katika jamii jaribu kusema pia na athari hasi kama unahisi zipo.
Narudia tena, ni mwanamke tu ndio ataelewa mateso na raha anazopitia mwanamke, Kama ilivyo kwenu ninyi wanaume, shida na raha zenu mnazitambua wenyewe na mnachagua wa kumshirikisha, na mara nyingi sio mke/mwenza.

Kwa mwanamke ni tofauti, yeye raha zake na shida zake pamoja na kuzitambua mwenyewe lakini zina reflect kwenye jamii inayomzunguka kwa kizazi atakachozalisha/nurture.

Sasa ili zisiwepo reflection hasi basi tuangalie chanzo cha hizo stress zake, ni Nini? Ni Nani?

Tujifunze kuwajibika.

Sio kweli ninyi mna exaggerate mambo tena kwa kutumia rare cases ambazo hatuwezi kuhukumu jamii nzima ya kale kuwa wanaume walikuwa wanapiga wake zao sijui Wanawake walikuwa watumwa sio kweli.
Matokeo yapo kwenye resistance iliyowazi kwenye kizazi cha leo, na hayo matokeo ndio yametuweka mezani hapa.

Trauma inaishi through DNA, studies kibao zina prove that factor, sasa why tujifanye vipofu?

Hayo mambo yalikuwepo ndio ila sio katika jamii nzima.
Ungesimama pale pale uliposema kwa hakika kwamba hakuna kabisa, hakuna!

Utiifu wa Mwanamke kwa mwanaume ni zaidi ya Matakwa ya binadamu ni jambo la kiasili na ndio maana hata kama utakachukua kibenten uwe unakalisha,, kukutii wewe kwa asilimia mia ni ngumu bado ule uanaume wake utakataa.
Naungana na wewe kwa asilimia 100 na huko juu nimeshakwambia hivyo lakini bahati mbaya tuko nyakati za nipe nikupe, sasa huwezi kuomba utiifu wakati wewe hutoi Upendo wala japo heshima.

Bibi na babu zetu na hata sasa katika ndoa zenye maelewano sio kwamba wanawake hawana sauti bali kuna ile kila mtu kusimama sehemu yake.
Naam, hapa umezungumza lugha yangu. Nashukuru umenielewa.

Sasa huwezi kutaka kusikilizwa Kama wewe husikilizi, nyakati zimebadirika, watu wamepata sauti.

Haizuiliki ila it can be adapted na kugeuzwa in our own ways/cultures kuliko kuendelea kupambana na upepo.

Umesema kweli chanzo ni baadhi ya wanaume wanaowapa majukumu Wanawake kinyume na uwezo wao Na wanaoupa nguvu u feminism.
Hebu waulizeni wanaume wenzenu waliodumu kwenye ndoa za mke mmoja and they still stayed faithful, what they endure?!

What demons they had to fight to make it to where they are now?

Same question waulizwe wanawake.

HAPO MWANZO MLIANZA "TUKIWEZESHWA TUNAWEZA" ila sasa Mnaona ninyi mnaweza kwa sababu mnaweza.
Ni kweli wanawake wanaweza, na kadiri siku zinavyosonga wanazidi kuthibitisha kwamba wanaweza mno zaidi hata ya Baadhi ya wanaume. Ajabu!

Na ndio sababu ya hizi hasira na vilio kutoka kwa wavulana.

Nini shida ya huo mfumo unaouita Mfumo dume? Madhara yake ni yapi bainisha Mwanaume akiwa kiongozi na mwanamke akiwa anamtii mumewe kinatokea kipi kibaya?
Kizazi cha sasa ni matokeo ya huo Mfumo na wala sio Siri. Na hayo madhara ndio tunayazungumzia hapa sasa hivi.

Absolute power corrupted our men, sasa wanayaogopa matokeo ya matendo yao wenyewe.

Mwanaume alifanya na anaendelea Kufanya makosa kutumia jambo hili(kuupa nguvu u feminism )for political interests na kusahau kuwa Jamii inaenda shimoni.
Matendo ya hao wanaume kwenye jamii unayaona? Bila unafiki?

Sahihi.

Hilo lilipofauru likazaa mengine hadi kufikia hatua kusema hata haya majukumu ya kijamii ni BATILI na wameyaweka Wanaume ili wawakandamize wanawake so Wanawake nao watoke wakahangaike kwani haki ni sawa.
Sioni uwongo hapa.

Bado unapinda pinda kwenye maana halisi ya feminism na lengo kusudiwa.

Malengo yakiwa ni kutafuta matokeo chanya inakuwaje jambo zima lawama atupiwe mlengwa wakati yeye hawajibiki kwenye tafsiri na mapokeo ya jambo hilo kwa jamii mbali mbali kulingana na mila na desturi zao?

Kuna kengine kipya??

Hili ni jambo lengine kabisa.

Mambo mabaya katika jamii kama hayo uliyoyataja hakuna anayeyafurahia na yanapaswa kukemewa vikali ila halifanyi kuondoa dhana ya Utiifu wa mwanamke kwa mwanaume.
Hayo mambo unayosema yanapaswa yakemewe ndio kiini haswa cha Tatizo kwa ujumla.

Yanatakiwa yakomeshwe! Mwanaume mshenzi na mchafu ni laana kwa jamii yake!!

Ni lazima Kama jamii tukubali kuwajibika kwa madhira tunayosababisha in pursuit ya Starehe zetu.

Na wanaume watambue kwamba with great power comes great responsibilities.

Sio tu waitake fahari ya kuwa kichwa cha family huku matendo yakiwa ya teenage boy alietoka boarding school!

Mwanaume kutoonyesha upendo katika familia yake ni kosa na pia kuto muheshimu ni kosa na zipo hatua za kufatwa katika hali hiyo.
Kwamba, msingi wa suluhisho la kilio chenu ni jambo linalohitaji upembuzi yakinifu na tume ya uchunguzi?

Wanaume, kumbukeni real and benefiting brotherhood ni pamoja na kusimamia misingi ya jamii zenu wenyewe kwanza.

Sasa endeleeni kuendekeza ngono, Mtaa mzima unajisifu kutembea na wake/mademu wa washkaji zako unasahau kanuni kuu ya ulimwengu ni Mzunguko, liendalo laja upya!

lakini hilo halifanyi Wanawake wakatae utiifu katika jamii kwa sababu hiyo.
Nani atakubali kumtii mwanaume mfano wa vijana hawa wa sasa?

Matusi na kejeli zao juu ya wanawake humu ndani ni picha halisi japo kwa unusu wa kile haswa kinachoendelea kwenye maisha nje ya mtandao.

A β€œthe battle of the Sexes, and the worst is yet to come njia zisipobadirishwa.

Hayo yametoka wapi?? Wanawake muwe makini na wanaume wasio na malengo Ukiingia tamaa ya pesa au u handsome usije kulalamika baadae ni akili yako hiyo.
Sawa na hapo hapo mnataka wawe watiifu.

Wanaume ongeeni kwenye vikao vyenu maisha ni zaidi ya ngono vinginevyo Segere halisi linakuja.

Mwanaume asiye timiza majukumu yake sio kwamba hastahili kutiiwa bali hastahili kuwa na Familia kabisa.
Ndio mukanyane wenyewe Kama mnavyowatupia wanawake mzigo wa malezi ya mabinti.

Unaweza usione uhusiano ila Nimekwambia idea za kifeminism zinaharibu ndoa nyingi.
Tafsiri ya mtu juu ya kitu mpaka kupelekea kupata matokeo hasi sio kosa la hicho kitu.

Elimu zitolewe kuanzia majumbani na sio malalamiko na vilio mtandaoni.

Ni matusi wanaume kulialia hovyo!

Hivyo malezi pia yanayumba katika jamii. Watoto wa kiume wanaolelewa na Single Mothers wapo hatari sana kuingia kwenye ushoga kama sio umarioo.
Hao single mothers hawakupata mimba za miujiza kiasi wahusika na wabeba majukumu wasahaulike kwenye mgao wa lawama.

Kibaya zaidi ni hao hao sperm donors ndio wataalamu wa kuvunja watoto wa watu viuno kwa kufanya ngono kwa njia ya haja kubwa!

Nyoka anatafuna mkia wake?! Mwisho ukoje?!

Jamii ipi inaruhusu uzinzi??
Angalia jamii iliyokuzunguka, wala sio Siri.

Tuambie na wewe kwa uelewa wako.

Mwanamke ajitunze na atunze usichana wake hadi aingie ndani ya ndoa na akiingia atulie na mumewe aache Kutengeneza ligi na mumewe.
Turudi wote kwa pamoja huko kwenye misingi ya uumbwaji wetu na kusudio la uwepo wetu.

Ngono kabla ya Ndoa ni haramu kwa binaadam mwanamke na binaadam mwanaume. MUNGU HANA UPENDELEO.

Single mothers watapungua sana.
Sana, wanaume wakianza kuchukua majukumu yao na kuacha kukojoa hovyo na kufuata misingi ya utu na heshima.

Wanaume wa hovyo wapo katika jamii hatukatai. Tatizo ni wanawake katika rika la usichana huwa wanavutiwa sana hao wanaume akitokea mtu serious anataka kuoa anaona bado aendelee kula ujana hilo nalo ni tatizo.
Only a boy can give such a weak excuse!

Mwanaume wa miaka 50 anaweza kuoa binti wa 25 na wakapata watoto kama kawaida.
Na hili ndio ninalosema! Ni jamii ya hovyo tu ndio itaona ni sahihi baba/babu kumvua nguo binti umri Sawa na mjukuu wake na kumtungisha mimba, simply because He can! Pathetic!

Vipi Bibi wa miaka 50 na kijana wa 25 nao wanajenga familia?
Sasa ninyi na Mfumo Dume wenu mumefanikiwa kutufikisha hapa kwenye haya mapinduko ya dunia na jamii yake, unashangaa nini?

Mwanamke ni binaadam na huyo benten naΓ« binaadam tu, sasa unachodhani kitawazuia nini wao nao kutamani hayo ya babu na binti yake?

Usitumie makosa ya wachache kuupinga mfumo mzima hilo ndio tatizo lenu feminists.
Tumefanikiwa kufika mpaka hapa bila kubandikana labels, Tafadhali stay in your Lane.

Kwani mnavyowalaumu humu halaiki nzima ya wanawake wote ni kwamba wote tumeoza that much?

Sio kweli ninyi wanawake hata katika hizo Harakati zenu za ki Feminism mnawategemea kwa kiasi kikubwa Wanaume (wanaume wajinga)
Unayo mifano halisi ama ushahidi juu ya hili?

Unazo taarifa za maendeleo na hatua za wanawake mbali mbali walioshika usukani wa maisha na ndoto zao nje ya mipaka ya Tanzania? Na hapo Tanzania je?

Jielimishe.

hakuna jambo watakalo achiwa Wanawake pekee yao likawa na muelekeo wa kudumu.
Jitahidi sana kujielimisha kuhusu wanawake, inasikitisha kusoma hayo kwa mtu unaejinasibu kutambua haki na batili.

Mumeanza lini kusaidia wanawake kubeba mimba??

Hapa ndio tunaposema mnapotosha jamii.
Huo ni mtazamo wako (wenu?!), sio dhambi.

Lini ilikuwa waliokuwa wanaolewa ni wengi kuliko single?
Sina takwimu za ndoa na usimbe Tanzania hii ila experience ya family, ndugu, jamaa na marafiki (hata majirani na jamii kwa ujumla) ina majibu mengi na bahati Nzuri sana (mbaya kwako?!) haipo static, we are all Humans after all.
 
Huna Mume wewe na kama unaye Sijui ni aina gani ya mwanaume huyo.View attachment 3080919
Mke wa mtu huyu. Tena Unatudanganya una miaka 25 now kwenye ndoa aisee Mbona bado unaonekana una akili za 20+
Balimi zake za offer zikimkolea anaona wanaume wote mbwaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Unahangaika ku type kumuelekeza mtu kumbe yuko kilabuni anagida masanga

Sensational (Future's voice) , she for the streets
 
Nihangaike kujua mauha yako ili iweje,wakati JF inakuumbua kwa ulicho kiongea ww mwenyewe? Unaongea sana na tena unaongopa ila unasahau JF haisahau, huyu mjumbe aliyepost hii screenshot amekuumbua.

Ila endelea na ligi.

Halafu unaongopa ili iweje?

Au uonekane unajua kwa vitu husivyo vijua?

Ila ukiwa unaongopa uwe na mwendelezo tatizo lako unajisahau jana ulisema nini,ndio maan JF imekuumbua.

Leo ndio nimejua nilikua na poteza muda,kubishana na kukuelekeza ww kipindi cha nyuma baada ya mjumbe kupost hii screenshot.Nawanea huruma hao wanao bishana na ww kichwa ngumu na muongo. Kwa hii clip hauna tofati na wale wazee wa vijiwe vya kahawa kwani ni wabishi, waongo na hawataki kuelekezwa, ukimuelekeza ukweli halisi lazima mgombane .

Siku hizi nimeacha hata kupishana na ww sababu HUJUI na baya zaidi HUNA UNACHO KIJUA zaidi ya ubishi na uongo. Ila hii screenshot imenifanya ni cheke.

Hawa jamaa zangu wanaobishana na ww na waonea huruma sana kwani sawa na kuongea na jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…