Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Maumivu ya nini sasa kila mtu kuna namna mungu amempangia hatuwezi kuwa sawa alafu dunia sio yetu ni ya mungu ww una uhakika gani kama hiyo 2030 utakuwa hai ebu tafuta hela achana na maisha ya watu
 
Mfilisiti miaka 37 mbona bado mtu ni kijana kabisa.

Presha inatoka wapi?
 
Mwanamke anahitaji uwepo wa mwanaume kuliko mwanaume anavyomuhitaji mwanamke...,ukweli mnaujua.
Sawa endeleeni kujidanganya na kujifariji

Lakini ukweli mnaujua ni jinsia gani wanaopenda zaidi kuliwazwa na kufarijiwa na wenzao, pale wanapotoka mihangaikoni na wakiwa na stress kwa zile kauli kama, "pole na uchovu mpenzi" au "karibu chakula kipenzi" nk na jinsi wanavyohaha wakizikosa

Na mkumbuke wanawake wana uwezo wa kumultitask mwanamke ana uwezo wa kutoka kazini na bado akafanya kazi za nyumbani mwenyewe, ila mwanaume ukimuachia nyumba au watoto peke yake wote tunajua lazima atahitaji msaada wa mwanamke, haijalishi ni mke au housegirl kwahiyo endeleeni kuukwepa ukweli
 
Kwa jinsi mnavyofukuana makalio mpk kuvaa pedi hiyo 2030 nyie itakuwa hali mbaya mara mbili yake, mnayaona ya wanawake na kuyachongelea midomo yenu aaah
Hivi unajua kwanza kwamba mzigo wa iphone 16 pro max upo sokoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda wa kuachwa na masponsa kutamba umefika.
 
Hii ni kweli sasa nini kifanyike kupunguzq tatizo hilo au hamna namna tusubiri watu kuja kujuta?
 
Kuna mambo mtu akifanya tunasema anatia jitihada na anapambana, ila kuna umri ukifika kuna vitu ukifanya unaonekana utimamu wa akili una mashaka.

Miaka 37 unatafuta ndoa ukafanye nini? Binti serious anaitafuta ndoa akiwa na miaka kuanzia 16 huko hadi 26 (the prime ten). Mtu anaanza itafuta ndoa katika wakati why Prime decline? 37 ni miaka mitatu tu ufike 40. kwa mwanamke hapa ni mzee, huo ni umri wa kuwa na experience ya ndoa ya miaka 10+ na watoto wasiopungua 4 hadi 5. Mtu ndio anaenda kwa mwamposa kutafuta ndoa ili aanzishe familia at 37 seriously? [emoji848]
 
na miaka 37 kwa mwanaume ni mzee au kijana?
 
'my body my choice'

'only god can judge me'

'me, myself & I'

na misemo mingine mingi itawekwa hapa

sema kama umeona upande huo kuna shida lazima na huu upande wetu kutakuwa na shida pia

ni janga la taifa
View attachment 3078634
Tusilazimishe kubalance hoja hadi tukaacha ukweli halisi. Hivi tukifanya tathimini ya haraka tu ni nani wanaongoza kwa kuwa na masharti magumu ya kuanzisha mahusiano kati ya Me na Ke?

Mwanamke wa miaka 18 hayupo tayari kuanzia chini anataka mtu mwenye kila anachokitaka, this is majority ya wanawake wa kisasa.

Kijana wa miaka 18 anakuwa so desperate kufanya mahusiano serious sababu hana cha kuoffer mwanamke zaidi ya moyo wake.

So nadhani tuzingatie ukweli.
 
Wengine umri unaenda coz walikuwa wanasearch for a right person bahati mbaya wakairhia kupgwa matukio. Ni kujipa moyo kwa kweli ila wengi wamekata tamaa na wameamua kufany yale wanayoona sawa machon pao. Sa wafanyeje hakuna namna.
Kiukweli na mabinti waelimike nyakatu zinabadilika. Wanaume wameanza sasa kuwa na sugu ya upweke na wanajionea sawa tu Kulala bila mke katika umri mkubwa huku mtoto au watoto wakiwa kwa mama zao au kwa bibi.

Kuna haja ya kurekebisha hili kabla majanga hayajaongezeka.
 
Natafuta ajira na Zemanda wanaongea ukweli wa jinsi hali ya kimahusiano ilivyo hivi sasa, all over the world birth rate na kasi ya watu kuoana imepungua, divorce inashangiliwa, partenity fraud kama zote, China na USA wadada wanalalamika wanaume wengi siku hizi hawataki kutongoza.

Ila upande mwingine nahisi natafuta ajira na Zemanda wako bitter coz walishawahi pigwa vitu vizito na wadada 😁 binti kiziwi
 
Sisi ndio tunaodate na kutoka na hivyo vibinti, wewe unadate na vibinti hadi ukavikuta havina bikra? [emoji848]

Huku mtaani sisi wanaume ndio tunaoombwa hela na wadada age go wa 30+ wewe ni mwanaume kusema unayapitia haya? [emoji848]

Tunachosema ni uhalisia wewe unaongelea nadharia. Huoni nyuzi nyingi za wanaume wanacomplain kuomba hela na nyuzi za wanaume kukwepa kutoa hela hiyo inakupa picha ipi?

Wanawake ni tegemezi kwa wanaume iwe nje au ndani ya ndoa, sasa ni bora uwe tegemezi ndani ya ndoa angalau unakuwa na legal legitimacy ya kuhudumiwa, sasa umri unaenda halafu upo nje ya ndoa.

Hizo buku ten mnazohongwa zinaishia saloon kujibrand na makucha ya 30K na nywele za 50K bado haujala, haujalipa kodi, usafiri, can you keep up with that life hadi uzeeni?

Sasa wewe bisha kama kawaida yako, 2030 tutasomana ubaoni. Wewe si unajua sana lets wait and see who is the Man of the match. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…