Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

😀😀😀 JF yafaa nini bila watu kama ninyi Sis!!!

Kuna kitu kidogo sana wanaume wa humu wanashindwa kutuelewa! Mbona tuna ongea kwa maneno marahisi sana?

Wazazi wetu waliishi in better old days, na bado ndoa hazikuwa that perfect, Sasa kwenye huu ulimwengu wa sasa wa hovyo Sielewi at all why the pushy? and if it is necessary kwanini inajengwa “all about women” ??? Eti wanawake ndio tutaopata shida 😂😂 Niga* whaaat??? Jadda anawaambia kabisa kuwa watakaopata shida ni ambao financially hawako sawa… Wanabishaaaaa kama hawaoni uhalisia 🤣

Hiki ni chetu sote kama kuturamba kitaturamba both sides! Some will win some will loose and that’s it!
Uko sahihi madam.
 
Kama wanaume wanachohitaji toka kwa wanawake ni sex na watoto tu kwanini bado mnaoa naomba unijibu hili swali straight forward bila kona kona tafadhali, niambie kwanini pamoja na maovu yote haya ya wanawake lakini bado kila kukicha mnawaoa ilihali mna uwezo wa kupata sex na watoto hata bila ndoa, najua utasema wanaoolewa ni wife material tu ila bado nitakuuliza tena kama ni hivyo mbona hata huko kwenye ndoa bado mnalalamika na kila siku ndoa zinaendelea kuvunjika huku mkidai chanzo ni wanawake
Wanaume bado wanaoa kwa Sababu jamii imeweka utaratibu wa unyumba wa mwanaume na mwanamke na kupata watoto kupitia makubaliano rasmi yanayopitishwa na wazee wa pande zote mbili yaani NDOA. Jamii imekubaliana kuwa Kufanya ngono kabla ya ndoa ni Uzinzi na ni dhambi na ni jambo lenye kuharibu kizazi.
HAUJALIFIKIRIA HILI KWA SABABU KWAKO WEWE HAKUNA KITU KINACHOITWA MAADILI UNAKIELEWA.
 
Ukweli ni kwamba uhitaji wa wanawake kwenye ndoa ni mdogo kwa sababu asilimia kubwa ya vitu wanavyovipata kwenye ndoa wana uwezo wa kuvipata nje ya ndoa na siyo tu nje ya ndoa bali pia hata nje ya mahusiano ya kawaida, ila wanaume asilimia kubwa ya vitu mnavyovihitaji hamuwezi kuvipata bila kuwa na ndoa au mahusiano rasmi na wanawake, wanaume mna mahitaji makubwa ya kisaikolojia kuliko wanawake na mahitaji yenu ya kisaikolojia viumbe pekee wanaoweza kuwapatia ni wanawake mlionao kwenye mahusiano rasmi au ndoa tu ila mwanamke mahitaji yake ya kisaikolojia siyo lazima yahitaji mwanaume
Unaandika nadharia na uongo mno napata wasiwasi malengo yako ni yepi kwa jamii inayojifunza kutoka kwako.

Moja Mwanamke ana vingi ambavyo hawezi kuvipata isipokuwa katika ndoa. Mwanaume anayemuhudumia Mwanamke ambae hajamuoa ana mipaka katika huduma hizo.

Wanaohangaikia ndoa Kwa waganga na Makanisani ni wanawake na hatuoni wanaume wapo huko Wanahangaika kisha uje useme uhitaji wa ndoa kwa mwanamke ni mdogo. Huna ujualo.

Pili Wanawake ndio wahusika wakubwa wa masuala ya kisaikolojia na hapa unajaribu kudanganya watu(labda ni akili za BALIMI) Mwanamke yupo more emotional Anahitaji kufarijiwa na hachelewi kulia na ni mwenye hisia za waziwazi.
Mwanaume ni shupavu anaweza kudhibiti machozi yake hisia zake na machungu yake ameumbwa hivyo mwanamke kinyume chake ni Dhaifu katika hayo yote. Wewe unalazimisha kuvaa viatu kinyume na size yako.

Tatu hisia za mwanamke zinatatuliwa na yule mwenye hisia nae (anayempenda kutoka moyoni) mda Mwengine hata wazazi hawatoshi kumfariji Mwanamke Isipokuwa Yule mwanaume anayempenda kihisia. Acha kupotosha umma.
 
Na ndio maana nasema sababu kubwa inayompeleka mwanamke kwenye ndoa ni financial security hizo nyingine ni minor reasons mwanamke akikosa hiko kwenye ndoa ana uwezo wa kukipata nje ya ndoa kwa kujitafutia mwenyewe pesa na mali zake,
Hawa wanaotafuta wanaume na wana uchumi wao wanataka nini?
ila mwanaume sababu kubwa inayompeleka kwenye ndoa ni mahitaji ya kisaikolojia na mahitaji haya ni ngumu kuyapata nje ya ndoa au mahusiano rasmi na mwanamke yani kwa kifupi hayo mahitaji huwezi kuyapata kwa kununua malaya,
Nadharia zako za ajabu.
Malaya hawezi kuja nyumbani kupika na kufua kila siku malaya hawezi kunizalia watoto malaya siwezi kumtambulisha nyumbani au kwa marafiki kuwa ni Mwenza wangu, Malaya hatuwezi kujenga Stable family. Mtu pekee anaeweza kuyafanya hayo yote ni mke. Ndio mana tunaoa.
kwahiyo kitendo cha wanawake kuanza kutafuta ndoa wakiwa na 35+ kinaonesha jinsi gani uhitaji wa ndoa kwa wanawake siyo kipaumbele bali unategemea na hali aliyonayo na jamii inayomzunguka, kwa sababu laiti kama huo uhitaji ungekuwa ni kipaumbele basi wanawake wangehitaji ndoa tangu wakiwa kwenye early 20s wasingesubiri hadi wawe broke au rejects na ofcourse hawawezi kuwa pressurized na jamii kuolewa katika umri huo kwa sababu umri huo kwa dunia ya sasa bado ni umri mdogo ukizingatia wengi wanakuwa bado wanasoma,
Miaka 25 anasoma form ngapi? Jamii ipi hiyo kwao ndoa ni kuanzia miaka 35+.??

Kama ni Pressure ipo kwa wote ila miaka ya 20+ Binti ana soko kubwa la wanaume haoni haja ya kuwa katika kifungo cha ndoa sababu atapoteza uhuru wake wa kufanya anasa. Ikifika hiyo miaka ya 35+ soko linapungua au kufa kabisa ndio akili inarudi.
lakini mwanaume yeye pamoja na kwamba hana pressure yoyote toka kwenye jamii ya kuoa na pamoja na kwamba haoi kwa msukumo wa factor ya umri au maumbile lakini bado anaoa bila kulazimishwa wala kushurutishwa na mtu sasa hapo kiuhalisia nani mwenye uhitaji zaidi na ndoa.
Tunahitaji familia iliyo Stable na Kufuata tamaduni zetu za kidini Katika Masuala ya familia. Mtu ambaye ana malengo mazuri ya familia na kizazi lazima achague Mwanamke mtiifu amuweke ndani na iwe rasmi kwa wazazi. Wengine wanaoa kwa sababu hawataki kuwa wazinifu.
 
Haha ukweli wanaujua ila wanajikaza tu humu mradi wasionekane wameshindwa hoja, we si unaona walivyopoteana hadi wanaanza kufukua comments za nyuma, siku zote ukiona mtu anahangaika na mtoa hoja ujue kashashindwa hoja huyo
Sisi tunafahamu fika ninyi wanawake wenye itikadi za ki Feminism ni aina gani ya wanawake tabia zenu na maadili.

Huenda wengine wakiona unaandika paragraphs wanaona ni mtu wa maana kabisa ila in reality ninyi ni aina ya wanawake wa hovyo kabisa katika jamii.

Tukipata evidence kama hizo kutoka kwenye Maneno yako mwenyewe tunatumia kuonesha watu kuwa ninyi ni wanawake wa anasa na maisha ya Starehe sasa ndoa hamuziwezi ndoa ni jambo la kimalengo zaidi ninyi mna akili bado za ku appreciate miili yenu na Maumbile yenu. We knew this very early.
 
Hilo limewekwa naturally na Mungu, Mimi nitaweza wapi kulibadilisha?

Waambie wanaume wenzako wa play part zao, wakiwapenda na kuwaheshimu wake zao, utii ni sehemu ya maumbile yao. Unakuja tu Kama utelezi kwa umpendae.

Vitabu vitakatifu vya dini kuu mbili duniani uislamu na ukristo

Maybe duniani ya Tanzania lakini Kama ni nje ya mipaka ya TZ, basi unayo kazi kubwa ya kujielimisha.

vimekubaliana katika majukumu na Nafasi ya mwanamke na Mwanaume katika jamii.

Niliposema tangu kuumbwa kwa Mfumo Dume ulielewa nini?

A council of men seating down and deciding on how to manipulate and turn women to be their sex slaves & house maids instead of fair human partners like the creator intended it?!?

Eti walikubaliana?! Unakaa chini kuamua matumizi ya maisha ya kiumbe kilichoumbwa independently along side You?!

Niambie karne za bibi zetu na mama zetu kufanya haya na mengi zaidi ni Yapi yalikua malipo yao?
Wengi waliambulia kupandishwa vyeo na kuwa wake wakubwa na bado hata hizo mali unazozisema wapo billions of women walioko chini ya ardhi wameondoka bila hata kuzionja.

Tunaweza tukaqoute maandiko kama utayahitaji.

ipo siku hawa mnaowaita Feminists wataenda a step ahead na kuandika nao “Maono” yao kutoka kwa Mungu, Dunia imeamua kuzunguka upande wao kwa sasa hatujui wataishia wapi!

Mjiandae kulia zaidi.

Speculating much?!

Nalitambua hili kwa asilimia 100!
Ila linafanya kazi zaidi ikiwa kila mmoja kati yetu atakubali kusimama na kuchukua majukumu yake head on bila kulalama na kuumiza wengine in the process Kisa tu jinsia tofauti!

Nami pia ni sehemu ya hiyo jamii, naelewa sana na ninatambua uhalisia kwa maana Mimi pia ni Mwanamke.

Narudia tena, ni mwanamke tu ndio ataelewa mateso na raha anazopitia mwanamke, Kama ilivyo kwenu ninyi wanaume, shida na raha zenu mnazitambua wenyewe na mnachagua wa kumshirikisha, na mara nyingi sio mke/mwenza.

Kwa mwanamke ni tofauti, yeye raha zake na shida zake pamoja na kuzitambua mwenyewe lakini zina reflect kwenye jamii inayomzunguka kwa kizazi atakachozalisha/nurture.

Sasa ili zisiwepo reflection hasi basi tuangalie chanzo cha hizo stress zake, ni Nini? Ni Nani?

Tujifunze kuwajibika.

Matokeo yapo kwenye resistance iliyowazi kwenye kizazi cha leo, na hayo matokeo ndio yametuweka mezani hapa.

Trauma inaishi through DNA, studies kibao zina prove that factor, sasa why tujifanye vipofu?

Ungesimama pale pale uliposema kwa hakika kwamba hakuna kabisa, hakuna!

Naungana na wewe kwa asilimia 100 na huko juu nimeshakwambia hivyo lakini bahati mbaya tuko nyakati za nipe nikupe, sasa huwezi kuomba utiifu wakati wewe hutoi Upendo wala japo heshima.

Naam, hapa umezungumza lugha yangu. Nashukuru umenielewa.

Sasa huwezi kutaka kusikilizwa Kama wewe husikilizi, nyakati zimebadirika, watu wamepata sauti.

Haizuiliki ila it can be adapted na kugeuzwa in our own ways/cultures kuliko kuendelea kupambana na upepo.

Hebu waulizeni wanaume wenzenu waliodumu kwenye ndoa za mke mmoja and they still stayed faithful, what they endure?!

What demons they had to fight to make it to where they are now?

Same question waulizwe wanawake.

Ni kweli wanawake wanaweza, na kadiri siku zinavyosonga wanazidi kuthibitisha kwamba wanaweza mno zaidi hata ya Baadhi ya wanaume. Ajabu!

Na ndio sababu ya hizi hasira na vilio kutoka kwa wavulana.

Kizazi cha sasa ni matokeo ya huo Mfumo na wala sio Siri. Na hayo madhara ndio tunayazungumzia hapa sasa hivi.

Absolute power corrupted our men, sasa wanayaogopa matokeo ya matendo yao wenyewe.

Matendo ya hao wanaume kwenye jamii unayaona? Bila unafiki?

Sahihi.

Sioni uwongo hapa.

Bado unapinda pinda kwenye maana halisi ya feminism na lengo kusudiwa.

Malengo yakiwa ni kutafuta matokeo chanya inakuwaje jambo zima lawama atupiwe mlengwa wakati yeye hawajibiki kwenye tafsiri na mapokeo ya jambo hilo kwa jamii mbali mbali kulingana na mila na desturi zao?

Hayo mambo unayosema yanapaswa yakemewe ndio kiini haswa cha Tatizo kwa ujumla.

Yanatakiwa yakomeshwe! Mwanaume mshenzi na mchafu ni laana kwa jamii yake!!

Ni lazima Kama jamii tukubali kuwajibika kwa madhira tunayosababisha in pursuit ya Starehe zetu.

Na wanaume watambue kwamba with great power comes great responsibilities.

Sio tu waitake fahari ya kuwa kichwa cha family huku matendo yakiwa ya teenage boy alietoka boarding school!

Kwamba, msingi wa suluhisho la kilio chenu ni jambo linalohitaji upembuzi yakinifu na tume ya uchunguzi?

Wanaume, kumbukeni real and benefiting brotherhood ni pamoja na kusimamia misingi ya jamii zenu wenyewe kwanza.

Sasa endeleeni kuendekeza ngono, Mtaa mzima unajisifu kutembea na wake/mademu wa washkaji zako unasahau kanuni kuu ya ulimwengu ni Mzunguko, liendalo laja upya!

Nani atakubali kumtii mwanaume mfano wa vijana hawa wa sasa?

Matusi na kejeli zao juu ya wanawake humu ndani ni picha halisi japo kwa unusu wa kile haswa kinachoendelea kwenye maisha nje ya mtandao.

A “the battle of the Sexes, and the worst is yet to come njia zisipobadirishwa.

Sawa na hapo hapo mnataka wawe watiifu.

Wanaume ongeeni kwenye vikao vyenu maisha ni zaidi ya ngono vinginevyo Segere halisi linakuja.

Ndio mukanyane wenyewe Kama mnavyowatupia wanawake mzigo wa malezi ya mabinti.

Tafsiri ya mtu juu ya kitu mpaka kupelekea kupata matokeo hasi sio kosa la hicho kitu.

Elimu zitolewe kuanzia majumbani na sio malalamiko na vilio mtandaoni.

Ni matusi wanaume kulialia hovyo!

Hao single mothers hawakupata mimba za miujiza kiasi wahusika na wabeba majukumu wasahaulike kwenye mgao wa lawama.

Kibaya zaidi ni hao hao sperm donors ndio wataalamu wa kuvunja watoto wa watu viuno kwa kufanya ngono kwa njia ya haja kubwa!

Nyoka anatafuna mkia wake?! Mwisho ukoje?!

Angalia jamii iliyokuzunguka, wala sio Siri.

Turudi wote kwa pamoja huko kwenye misingi ya uumbwaji wetu na kusudio la uwepo wetu.

Ngono kabla ya Ndoa ni haramu kwa binaadam mwanamke na binaadam mwanaume. MUNGU HANA UPENDELEO.

Sana, wanaume wakianza kuchukua majukumu yao na kuacha kukojoa hovyo na kufuata misingi ya utu na heshima.

Only a boy can give such a weak excuse!

Na hili ndio ninalosema! Ni jamii ya hovyo tu ndio itaona ni sahihi baba/babu kumvua nguo binti umri Sawa na mjukuu wake na kumtungisha mimba, simply because He can! Pathetic!

Sasa ninyi na Mfumo Dume wenu mumefanikiwa kutufikisha hapa kwenye haya mapinduko ya dunia na jamii yake, unashangaa nini?

Mwanamke ni binaadam na huyo benten naë binaadam tu, sasa unachodhani kitawazuia nini wao nao kutamani hayo ya babu na binti yake?

Tumefanikiwa kufika mpaka hapa bila kubandikana labels, Tafadhali stay in your Lane.

Kwani mnavyowalaumu humu halaiki nzima ya wanawake wote ni kwamba wote tumeoza that much?

Unayo mifano halisi ama ushahidi juu ya hili?

Unazo taarifa za maendeleo na hatua za wanawake mbali mbali walioshika usukani wa maisha na ndoto zao nje ya mipaka ya Tanzania? Na hapo Tanzania je?

Jielimishe.

Jitahidi sana kujielimisha kuhusu wanawake, inasikitisha kusoma hayo kwa mtu unaejinasibu kutambua haki na batili.

Mumeanza lini kusaidia wanawake kubeba mimba??

Huo ni mtazamo wako (wenu?!), sio dhambi.

Sina takwimu za ndoa na usimbe Tanzania hii ila experience ya family, ndugu, jamaa na marafiki (hata majirani na jamii kwa ujumla) ina majibu mengi na bahati Nzuri sana (mbaya kwako?!) haipo static, we are all Humans after all.
Ukiachana na mambo mengine uliyoyaandika ambayo hayana uhalisia.

At least unakubali kuwa Utiifu wa mwanamke kwa mwanaume ni zaidi ya matakwa ya Binadamu yaani ni jambo la asili. Tofauti na mnywa balimi Jadda.

Nakuelewa unasisitiza kuhusu kuwajibika na kumpenda na kumheshimu mume mkewe. Hilo ni sahihi na hatujakataa.

Ila Hoja ni kwamba suala la Wanaume wachache au wengi kukosa mapenzi na uwajibikaji katika familia zao sio jambo lililopaswa kushughulikiwa kwa Kupiga vita utiifu na Kuvunja vunja misingi ya mgawanyo wa majukumu ya kijamii kati ya mwanaume na mwanamke katika jamii. HAPA NDIO KOSA LILIPO.

Kwa Sababu hata leo ikitokea Wanaume wakawa wanawajibika kama mnavyotaka na wanawapenda na kuwaheshimu kama mnavyodai bado kuirudisha jamii hii kwenye utiifu na mgawanyo mzuri wa majukumu ya kijamii kati ya mwanaume na mwanamke ni jambo Gumu sana.

Yaani halitokuja automatically bali itabidi tena zifanyike jitihada nyengine kurudisha hali kama mwanzo jambo ambalo sidhani kama litatokea au litafanikiwa.

Hivyo njia hiyo sio nzuri bali madhara yake kwa jamii ni makubwa ukilinganisha na faida wanazopata Wanawake wachache wenye nafasi furani furani tena katika kipindi furani cha Maisha yao (sio umri wao wote).

Kwa sababu hata wale wanaume waelewa wenye mapenzi wanapata Wanawake tayari wameshamezeshwa fikra za kiharakati na ukombozi yaani haki ni sawa. So kuna ndoa nyengine ni very innocent katika hili ila nazo zinavunjika kwa sababu ya wimbi hili la harakati hizi.

Mwanaume hata kama ni mpole muelewa bado ana hulka ya uanaume ya kutaka kusikilizwa,, kutiiwa na kauli yake ndio iwe inaongoza familia. Lakini nowdays kupata wanawake wa kukubali hili from the scratch ni ngumu.

Tena kama ndio ana ki degree ni balaa zaidi. Kumbe maisha sio mashindano ni maelewano na masikilizano na kila mtu avae viatu vyake.
 
Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji

Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda

By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Oiyeyai! Sshyee (in Maasai voice) Dunia sasa imekuwa kweli ni uwanja wa fujo. Kwa hiyo kila mwenye ngoma yake na Apige.
 
Huna Mume wewe na kama unaye Sijui ni aina gani ya mwanaume huyo.View attachment 3080919
Mke wa mtu huyu. Tena Unatudanganya una miaka 25 now kwenye ndoa aisee Mbona bado unaonekana una akili za 20+
Aiseee kwahiyo kunywa pombe ndio indicator ya marital status ya mtu mbona mna arguments za kitoto namna hii, wewe unajua hapo nilikuwa na nani vipi kama nilikuwa na mume wangu na vipi kama naye ni mnywaji na haoni shida mimi kunywa we unajuaje au umekariri kila mtu anayekunywa hajielewi na ni mlevi mbwa, mbona mnahangaika sana kutaka kujua uhalisia wa maisha yangu vipi spana zimezidi nipunguze au
Jadda in short una taka kuwapotosha watu kuwa Mwanaume gentleman ni huyo kama mume wako (Mume wa maigizo) akuache kwenye viwanja uende ukanywe na mambo mengine ya ajabu.

Hayo sio maadili yetu sisi waafrika wewe umechagua maisha ya anasa so lazima ulazimishe uwe huru anasa hazifanywi kama hakuna uhuru. Tembea kwenye mstari wako lakini usipotoshe watu. Familia ni muhimu sana na Maadili ni muhimu zaidi.
Kwenye hilo mmefeli tafuteni lingine nikikuuliza una uhakika wa asilimia ngapi katika hayo unayoyaongea unaweza kunijibu, watu kama ninyi ndio huwa mnashitakiwa na kufungwa au kulipishwa faini kwa character defamation kwa sababu ya kuropoka na kujifanya mnawajua sana watu kiundani, kujifanya mnafukua comments za nyuma na kubisha hakubadili ukweli kama mimi nimeolewa na nina miaka hiyo kwenye ndoa na wala siyo jukumu langu kuwaaminisha ninyi hilo
Wewe nichukulie mimi hivyo ila mimi sina
haja ya kukuchukulia kama feminist na hoe you are a real hoe
Usinifananishe mi na wewe kisa wewe ni malaya basi unadhani kila mtu ni malaya kama wewe, kwanza nawaonea huruma hao wanawake wanaokuvulia nguo mlawiti na mfiraji kama wewe, wewe ni malaya uliye kubuhu unanuka dhambi ya uzinzi na ulivyo huna aibu huwa unajisifia kabisa humu jukwaani
Tuongee ukweli iv ulishaona at wanaume wanaenda kwa church et waombewe wapate wake ? Asilimia kubwa akina nan wanakuwaga huko😂?

Au ushawahi ona et mwanaume ako kwa mganga ,kutafuta tiba ya kupata mke?
NI akina nan wanakuwaga huko🤣🤣🤣?

Na hivi tushawajua wanataka financial security kwa ndoa wwoooi , ni kupiga tupa kule takataka kbsaa.
Mwanaume hawezi kuenda huko kwa sababu yeye ndiye anayeoa maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwake, lakini pamoja na hayo maamuzi bado hawaoi wanawake wenye sifa wanazozitaka ndio ushangae maajabu hayo, pamoja na maamuzi hayo bado wanaoa masingle mother na makahaba wastaafu na huko kwenye ndoa wanaenda kulalamika na hatimaye kuachana
Nihangaike kujua mauha yako ili iweje,wakati JF inakuumbua kwa ulicho kiongea ww mwenyewe? Unaongea sana na tena unaongopa ila unasahau JF haisahau, huyu mjumbe aliyepost hii screenshot amekuumbua.
View attachment 3081098
Ila endelea na ligi.

Halafu unaongopa ili iweje?

Au uonekane unajua kwa vitu husivyo vijua?

Ila ukiwa unaongopa uwe na mwendelezo tatizo lako unajisahau jana ulisema nini,ndio maan JF imekuumbua.

Leo ndio nimejua nilikua na poteza muda,kubishana na kukuelekeza ww kipindi cha nyuma baada ya mjumbe kupost hii screenshot.Nawanea huruma hao wanao bishana na ww kichwa ngumu na muongo. Kwa hii clip hauna tofati na wale wazee wa vijiwe vya kahawa kwani ni wabishi, waongo na hawataki kuelekezwa, ukimuelekeza ukweli halisi lazima mgombane .

Siku hizi nimeacha hata kupishana na ww sababu HUJUI na baya zaidi HUNA UNACHO KIJUA zaidi ya ubishi na uongo. Ila hii screenshot imenifanya ni cheke.

Hawa jamaa zangu wanaobishana na ww na waonea huruma sana kwani sawa na kuongea na jiwe.
Wewe una ushahidi gani wa kuwa mimi nimeongopa ni kauli gani ambayo nimeitoa inayoashiria kwamba mimi kusema nina ndoa ya umri huo ni uongo unaweza kunionesha, mkishakosa hoja mnaanza kutafuta mlango wa kutokea kwa kujifanya eti hamtaki kubishana na mimi sijui naandika uongo kwani ninyi maisha yangu yanawahusu nini, na ninayoyaandika humu yanahusiana nini na maisha yangu kwani marital status yangu ndio kielelezo cha wanawake wote kwenye jamii au ni nini mbona mna arguments za kipumbavu namna hiyo
Wanaume bado wanaoa kwa Sababu jamii imeweka utaratibu wa unyumba wa mwanaume na mwanamke na kupata watoto kupitia makubaliano rasmi yanayopitishwa na wazee wa pande zote mbili yaani NDOA. Jamii imekubaliana kuwa Kufanya ngono kabla ya ndoa ni Uzinzi na ni dhambi na ni jambo lenye kuharibu kizazi.
HAUJALIFIKIRIA HILI KWA SABABU KWAKO WEWE HAKUNA KITU KINACHOITWA MAADILI UNAKIELEWA.
Unaongelea kuhusu maadili ya jamii kana kwamba wanaume wanayafuata hayo maadili yani hawa hawa wanaume wanaosema mwanaume hata akitembea na wanawake wengi kiasi gani hana hasara ndio unasema eti wanaoa kwa kufuata maadili ya jamii, na hata kama ingekuwa ni kufuata maadili ndio muoe wanawake ambao mnajua kabisa wataenda kuwasumbua kwenye ndoa kwamba ninyi mmeamua kujitoa kafara kuoa wanawake wenye tabia mbovu kwa faida ya hao hao wanawake, hebu nyoosheni maelezo ni kipi kinawafanya muoe pamoja na malalamiko yote haya dhidi ya wanawake acheni kurukaruka na kukwepa uhalisia msitufanye sisi watoto wadogo bado hujanipa jibu la kwanini wanaume wanaendelea kuoa
Unaandika nadharia na uongo mno napata wasiwasi malengo yako ni yepi kwa jamii inayojifunza kutoka kwako.

Moja Mwanamke ana vingi ambavyo hawezi kuvipata isipokuwa katika ndoa. Mwanaume anayemuhudumia Mwanamke ambae hajamuoa ana mipaka katika huduma hizo.

Wanaohangaikia ndoa Kwa waganga na Makanisani ni wanawake na hatuoni wanaume wapo huko Wanahangaika kisha uje useme uhitaji wa ndoa kwa mwanamke ni mdogo. Huna ujualo.

Pili Wanawake ndio wahusika wakubwa wa masuala ya kisaikolojia na hapa unajaribu kudanganya watu(labda ni akili za BALIMI) Mwanamke yupo more emotional Anahitaji kufarijiwa na hachelewi kulia na ni mwenye hisia za waziwazi.
Mwanaume ni shupavu anaweza kudhibiti machozi yake hisia zake na machungu yake ameumbwa hivyo mwanamke kinyume chake ni Dhaifu katika hayo yote. Wewe unalazimisha kuvaa viatu kinyume na size yako.

Tatu hisia za mwanamke zinatatuliwa na yule mwenye hisia nae (anayempenda kutoka moyoni) mda Mwengine hata wazazi hawatoshi kumfariji Mwanamke Isipokuwa Yule mwanaume anayempenda kihisia. Acha kupotosha umma.
Umekazania kwamba napotosha jamii ila bado mpaka sasa hujaniambia faida anayopata mwanamke kwenye ndoa, zaidi sana umetoa sababu ile ile ya uchumi ambayo nimeshaeleza kwamba uchumi mwanamke anaweza kuupata nje ya ndoa, kwa kujitafutia pesa na mali zake mwenyewe bila kumtegemea mwanaume

Halafu kwanza nipotoshe jamii kwa wanaume gani hasa waliopo yani ninyi magalasa ndio mnifanye niwapotoshe wanawake wenzangu ili wakose ndoa, aiseee yani the best advice mtu yeyote anayoweza kuwapatia mabinti wa sasa hivi ni kwamba wafanye yale yanayowapa furaha wao wenyewe na siyo yanayowapa furaha wanaume, kwa sababu wanaume wengi hamstahili kupata hiyo furaha mnayotaka wanawake wawape yani somebody just needs to tell you this with a straight face

Halafu wanaume hawawezi kuenda kwa manabii na waganga kwa sababu wao ndio wanaoamua ndoa maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwa wanaume, lakini cha ajabu pamoja na hayo maamuzi kuwa mikononi mwao bado hawaoi wanawake wenye sifa wanazozitaka, wengi bado wanaangukia kwa wanawake wenye tabia ambazo ndio mnazilalamikia kila siku

Sasa kama kweli suala la ndoa lingekuwa rahisi hivyo kwenu kwanini nanyi bado mnastruggle kupata wanawake wenye vigezo mnavyovitaka hatimaye mnaamua kusettle na wale mnaoona wana afadhali, ambao nao mwisho wa siku mnajikuta mmeangukia pua na kuanza kuona ndoa chungu matokeo yake ni malalamiko kila siku au talaka, na kuhusu mahitaji ya kihisia bado sijaona hoja ya maana uliyoandika narudia mahitaji ya kihisia kwa mwanamke ni rahisi kutatuliwa bila mwanaume ila mahitaji ya kihisia kwa mwanaume hayawezi kutatuliwa bila mwanamke

Wewe unachosemea ni ile uwezo wa kuweka vitu moyoni hilo kweli wanaume mnaliweza na ndilo linalowafanya muwe na depression na stress nyingi ambazo mnahitaji wanawake wawafariji na wawaliwaze bila kuwaelezea, ilihali hiyo tabia ya wanawake ya kushindwa kukaa na vitu moyoni ndio inawasaidia inawafanya wasikae na stress na depression kwa muda mrefu kama ninyi, na ndio maana wanaoongoza kupata matatizo ya kisaikolojia na kufa mapema kwa msongo wa mawazo ni wanaume na siyo wanawake
Hawa wanaotafuta wanaume na wana uchumi wao wanataka nini?

Nadharia zako za ajabu.
Malaya hawezi kuja nyumbani kupika na kufua kila siku malaya hawezi kunizalia watoto malaya siwezi kumtambulisha nyumbani au kwa marafiki kuwa ni Mwenza wangu, Malaya hatuwezi kujenga Stable family. Mtu pekee anaeweza kuyafanya hayo yote ni mke. Ndio mana tunaoa.

Miaka 25 anasoma form ngapi? Jamii ipi hiyo kwao ndoa ni kuanzia miaka 35+.??

Kama ni Pressure ipo kwa wote ila miaka ya 20+ Binti ana soko kubwa la wanaume haoni haja ya kuwa katika kifungo cha ndoa sababu atapoteza uhuru wake wa kufanya anasa. Ikifika hiyo miaka ya 35+ soko linapungua au kufa kabisa ndio akili inarudi.

Tunahitaji familia iliyo Stable na Kufuata tamaduni zetu za kidini Katika Masuala ya familia. Mtu ambaye ana malengo mazuri ya familia na kizazi lazima achague Mwanamke mtiifu amuweke ndani na iwe rasmi kwa wazazi. Wengine wanaoa kwa sababu hawataki kuwa wazinifu.
Aiseee wewe jamaa una uelewa mdogo sana mbona nimeshasema kwamba wanawake wenye hela walio desperate na ndoa ni kwa sababu ya msukumo wa jamii, sasa kwanini unapinga hilo bila hoja yoyote ile haya hebu niambie ukiacha hela mwanamke anapata nini cha maana kwenye ndoa toka kwa mwanaume, hebu kielezee hapa acha porojo na propaganda

Nani kakudanganya kwamba watoto ni lazima wapatikane kwenye ndoa tu kama ni hivyo basi kusingekuwa na single mothers, ni wanaume wangapi wanasema kabisa wao hawataki kuoa ila lengo lao ni kuzalisha tu wanawake kisha wanahudumia watoto wakiwa huko huko kwa mama zao, halafu kumbe unajua kwamba mwanaume anahitaji kupikiwa na kufuliwa na hawezi kuyapata hayo bila ndoa sasa unabisha nini ninapokuambia ndoa ni muhimu zaidi kwa mwanaume mbona ni kama unajicontradict na ndio unazidi kuithibitisha hoja yangu kwamba ndio uhalisia

Duuh kwahiyo wewe umekariri kwamba kusoma ni shule tu na mtu aliye chuo anakuwa anafanya nini au hujawahi kuona watu wako chuo na miaka 25, kuna jamii haziwanyooshei vidole wanawake ambao hawajaolewa regardless ya umri wao wewe ni wazi huna exposure hebu tembea huko duniani acha kunibishia kwa vitu ambavyo huna experience navyo, halafu bado hujajibu hoja yangu ya kwanini mwanamke aanze kuona umuhimu wa ndoa akifika miaka 35 tena hadi apewe pressure, kwanini asianze kuuona huo umuhimu tangu akiwa binti mbona ninyi wanaume mnauona umuhimu wa ndoa tangu mkiwa vijana tena bila pressure yoyote, sasa hapo nani mwenye uhitaji zaidi yani mtu awe na uhitaji na jambo halafu yeye mwenyewe alikatae hadi apewe pressure we ulisikia wapi
Sisi tunafahamu fika ninyi wanawake wenye itikadi za ki Feminism ni aina gani ya wanawake tabia zenu na maadili.

Huenda wengine wakiona unaandika paragraphs wanaona ni mtu wa maana kabisa ila in reality ninyi ni aina ya wanawake wa hovyo kabisa katika jamii.

Tukipata evidence kama hizo kutoka kwenye Maneno yako mwenyewe tunatumia kuonesha watu kuwa ninyi ni wanawake wa anasa na maisha ya Starehe sasa ndoa hamuziwezi ndoa ni jambo la kimalengo zaidi ninyi mna akili bado za ku appreciate miili yenu na Maumbile yenu. We knew this very early.
Hivi unajua we jamaa una matatizo ya akili wewe ni lini uliyajua maisha yangu hadi unasema kwamba mimi ni mtu ninayependa maisha ya anasa na starehe una uhakika na unachokiandika, halafu ulivyo hauna aibu unasisitiza kabisa kiasi kwamba mtu mwingine akisoma anaweza kudhani ni kweli unanifahamu kumbe hunijui hata jina sasa kwanini unaandika mambo usiyoyajua kunihusu, kwanini mkiishiwa hoja msikae tu kimya kwanini mnaanza kutumia defensive mechanism ya kuleta personal attacks ili muonekane mna hoja maisha yangu mimi hayahusiani na uhalisia uliopo kwenye jamii ukweli lazima usemwe na tutaendelea kuusema you will never stop me
 
Aiseee kwahiyo kunywa pombe ndio indicator ya marital status ya mtu mbona mna arguments za kitoto namna hii, wewe unajua hapo nilikuwa na nani vipi kama nilikuwa na mume wangu na vipi kama naye ni mnywaji na haoni shida mimi kunywa we unajuaje au umekariri kila mtu anayekunywa hajielewi na ni mlevi mbwa, mbona mnahangaika sana kutaka kujua uhalisia wa maisha yangu vipi spana zimezidi nipunguze au

Kwenye hilo mmefeli tafuteni lingine nikikuuliza una uhakika wa asilimia ngapi katika hayo unayoyaongea unaweza kunijibu, watu kama ninyi ndio huwa mnashitakiwa na kufungwa au kulipishwa faini kwa character defamation kwa sababu ya kuropoka na kujifanya mnawajua sana watu kiundani, kujifanya mnafukua comments za nyuma na kubisha hakubadili ukweli kama mimi nimeolewa na nina miaka hiyo kwenye ndoa na wala siyo jukumu langu kuwaaminisha ninyi hilo

Usinifananishe mi na wewe kisa wewe ni malaya basi unadhani kila mtu ni malaya kama wewe, kwanza nawaonea huruma hao wanawake wanaokuvulia nguo mlawiti na mfiraji kama wewe, wewe ni malaya uliye kubuhu unanuka dhambi ya uzinzi na ulivyo huna aibu huwa unajisifia kabisa humu jukwaani

Mwanaume hawezi kuenda huko kwa sababu yeye ndiye anayeoa maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwake, lakini pamoja na hayo maamuzi bado hawaoi wanawake wenye sifa wanazozitaka ndio ushangae maajabu hayo, pamoja na maamuzi hayo bado wanaoa masingle mother na makahaba wastaafu na huko kwenye ndoa wanaenda kulalamika na hatimaye kuachana

Wewe una ushahidi gani wa kuwa mimi nimeongopa ni kauli gani ambayo nimeitoa inayoashiria kwamba mimi kusema nina ndoa ya umri huo ni uongo unaweza kunionesha, mkishakosa hoja mnaanza kutafuta mlango wa kutokea kwa kujifanya eti hamtaki kubishana na mimi sijui naandika uongo kwani ninyi maisha yangu yanawahusu nini, na ninayoyaandika humu yanahusiana nini na maisha yangu kwani marital status yangu ndio kielelezo cha wanawake wote kwenye jamii au ni nini mbona mna arguments za kipumbavu namna hiyo

Unaongelea kuhusu maadili ya jamii kana kwamba wanaume wanayafuata hayo maadili yani hawa hawa wanaume wanaosema mwanaume hata akitembea na wanawake wengi kiasi gani hana hasara ndio unasema eti wanaoa kwa kufuata maadili ya jamii, na hata kama ingekuwa ni kufuata maadili ndio muoe wanawake ambao mnajua kabisa wataenda kuwasumbua kwenye ndoa kwamba ninyi mmeamua kujitoa kafara kuoa wanawake wenye tabia mbovu kwa faida ya hao hao wanawake, hebu nyoosheni maelezo ni kipi kinawafanya muoe pamoja na malalamiko yote haya dhidi ya wanawake acheni kurukaruka na kukwepa uhalisia msitufanye sisi watoto wadogo bado hujanipa jibu la kwanini wanaume wanaendelea kuoa

Umekazania kwamba napotosha jamii ila bado mpaka sasa hujaniambia faida anayopata mwanamke kwenye ndoa, zaidi sana umetoa sababu ile ile ya uchumi ambayo nimeshaeleza kwamba uchumi mwanamke anaweza kuupata nje ya ndoa, kwa kujitafutia pesa na mali zake mwenyewe bila kumtegemea mwanaume

Halafu kwanza nipotoshe jamii kwa wanaume gani hasa waliopo yani ninyi magalasa ndio mnifanye niwapotoshe wanawake wenzangu ili wakose ndoa, aiseee yani the best advice mtu yeyote anayoweza kuwapatia mabinti wa sasa hivi ni kwamba wafanye yale yanayowapa furaha wao wenyewe na siyo yanayowapa furaha wanaume, kwa sababu wanaume wengi hamstahili kupata hiyo furaha mnayotaka wanawake wawape yani somebody just needs to tell you this with a straight face

Halafu wanaume hawawezi kuenda kwa manabii na waganga kwa sababu wao ndio wanaoamua ndoa maamuzi ya kuoa yapo mikononi mwa wanaume, lakini cha ajabu pamoja na hayo maamuzi kuwa mikononi mwao bado hawaoi wanawake wenye sifa wanazozitaka, wengi bado wanaangukia kwa wanawake wenye tabia ambazo ndio mnazilalamikia kila siku

Sasa kama kweli suala la ndoa lingekuwa rahisi hivyo kwenu kwanini nanyi bado mnastruggle kupata wanawake wenye vigezo mnavyovitaka hatimaye mnaamua kusettle na wale mnaoona wana afadhali, ambao nao mwisho wa siku mnajikuta mmeangukia pua na kuanza kuona ndoa chungu matokeo yake ni malalamiko kila siku au talaka, na kuhusu mahitaji ya kihisia bado sijaona hoja ya maana uliyoandika narudia mahitaji ya kihisia kwa mwanamke ni rahisi kutatuliwa bila mwanaume ila mahitaji ya kihisia kwa mwanaume hayawezi kutatuliwa bila mwanamke

Wewe unachosemea ni ile uwezo wa kuweka vitu moyoni hilo kweli wanaume mnaliweza na ndilo linalowafanya muwe na depression na stress nyingi ambazo mnahitaji wanawake wawafariji na wawaliwaze bila kuwaelezea, ilihali hiyo tabia ya wanawake ya kushindwa kukaa na vitu moyoni ndio inawasaidia inawafanya wasikae na stress na depression kwa muda mrefu kama ninyi, na ndio maana wanaoongoza kupata matatizo ya kisaikolojia na kufa mapema kwa msongo wa mawazo ni wanaume na siyo wanawake

Aiseee wewe jamaa una uelewa mdogo sana mbona nimeshasema kwamba wanawake wenye hela walio desperate na ndoa ni kwa sababu ya msukumo wa jamii, sasa kwanini unapinga hilo bila hoja yoyote ile haya hebu niambie ukiacha hela mwanamke anapata nini cha maana kwenye ndoa toka kwa mwanaume, hebu kielezee hapa acha porojo na propaganda

Nani kakudanganya kwamba watoto ni lazima wapatikane kwenye ndoa tu kama ni hivyo basi kusingekuwa na single mothers, ni wanaume wangapi wanasema kabisa wao hawataki kuoa ila lengo lao ni kuzalisha tu wanawake kisha wanahudumia watoto wakiwa huko huko kwa mama zao, halafu kumbe unajua kwamba mwanaume anahitaji kupikiwa na kufuliwa na hawezi kuyapata hayo bila ndoa sasa unabisha nini ninapokuambia ndoa ni muhimu zaidi kwa mwanaume mbona ni kama unajicontradict na ndio unazidi kuithibitisha hoja yangu kwamba ndio uhalisia

Duuh kwahiyo wewe umekariri kwamba kusoma ni shule tu na mtu aliye chuo anakuwa anafanya nini au hujawahi kuona watu wako chuo na miaka 25, kuna jamii haziwanyooshei vidole wanawake ambao hawajaolewa regardless ya umri wao wewe ni wazi huna exposure hebu tembea huko duniani acha kunibishia kwa vitu ambavyo huna experience navyo, halafu bado hujajibu hoja yangu ya kwanini mwanamke aanze kuona umuhimu wa ndoa akifika miaka 35 tena hadi apewe pressure, kwanini asianze kuuona huo umuhimu tangu akiwa binti mbona ninyi wanaume mnauona umuhimu wa ndoa tangu mkiwa vijana tena bila pressure yoyote, sasa hapo nani mwenye uhitaji zaidi yani mtu awe na uhitaji na jambo halafu yeye mwenyewe alikatae hadi apewe pressure we ulisikia wapi

Hivi unajua we jamaa una matatizo ya akili wewe ni lini uliyajua maisha yangu hadi unasema kwamba mimi ni mtu ninayependa maisha ya anasa na starehe una uhakika na unachokiandika, halafu ulivyo hauna aibu unasisitiza kabisa kiasi kwamba mtu mwingine akisoma anaweza kudhani ni kweli unanifahamu kumbe hunijui hata jina sasa kwanini unaandika mambo usiyoyajua kunihusu, kwanini mkiishiwa hoja msikae tu kimya kwanini mnaanza kutumia defensive mechanism ya kuleta personal attacks ili muonekane mna hoja maisha yangu mimi hayahusiani na uhalisia uliopo kwenye jamii ukweli lazima usemwe na tutaendelea kuusema you will never stop me
Na kuonea huruma ila ndio maisha uliyo ya chagua. Haya endelea na ligi.
 
Nani anajifariji Wakati Uhalisia unaonekana Wanaosaka ndoa Zaidi ni kina nani?

Simply tuulize wanaoenda kwa mwamposa kutaka ndoa asilimia kubwa ni kina nani?
Utasema Ni kwa sababu ya influence but if that is the realty Chunguza umri wao wale wanaoenda pale na wengine wengi wanaoenda Sehemu zisizo rasmi most of them are 35+ WHY THIS??.

Wengi wao wanajiweza kiuchumi. Sasa wanataka nini tena?

Nakusisitizia ukiacha ujeuri wa kisichana Mwanamke anahitaji vitu vingi sana kutoka kwa Mwanaume na sio tuu mali(Financial security)kama unavyohangaika kupotosha.
Huyo huenda ana matatizo ya kizazi huenda hisia zishajifia ashakuwa mwanamme kimtindo
 
Kama anayeingiliwa ni mtoto huo ujinga bado nae unamuhusu?

Na unawezaje kurahisisha tendo la kumvunja mtu Utu wake na hatimaye kumbadili jinsia eti ni Ujinga?!

Unalifanya lionekane jambo dogo kwa sababu muhusika ni mwanaume au sio?

Mwanaume anamlawiti mtoto wa kiume huwezi kusema ana gender confusion, this is pure hypocrisy!

Ndicho umesema kwenye statement niliyo ku quote. Kwamba matatizo yote ikiwemo la ushoga chanzo kikuu ni mwanamke.

Ujinga wao ni kukataa kubaki hata katika situations wanazoona hawafai kuendelea kuwepo?

Kwani maisha yao sio maamuzi yao?

Suala la mwanamke kuweza kutengeneza kipato chake mwenyewe na kisiingiliwe na mtu ni zaidi ya ushindi kwa mwanamke, ask your Women relatives waliokuwepo at least miaka 20 tu iliyopita hali ilikuwaje kwa mwanamke kuhusu suala la mapato na matumizi?!

Now, hapa sasa ndio umeusema Ukweli ambao all your male counter parts hawataki kuukubali.

Tatizo hapa sio wanawake na matendo yao, tatizo ni insecurities, fear of the unknown & ego walizonazo wanaume kuhusu Uhalisia wao na Umuhimu wao kwenye haya Maisha.

99.99% of human males are brought up believing that they are special creatures and that females are their personal properties to use as they please and they should not expect any consequences.

Sasa dunia imepinduka, kila kitu ni more colorful and almost realistic kiasi wanawake hawahitaji tena kupapasa kuzipata njia zao, they can move and make choices freely.

The black and white world that our grandmas, our mothers lived in, is long gone.

For as long as tukiendelea kudhalilishana na kukoseana heshima na utu, hakuna kile tutabadilisha zaidi ya SISI kubadilishwa na nyakati kama ilivyo sasa.

For both human Males and Females, hakuna mjanja kwa maisha ya sasa ila Kama alivyosema DR HAYA LAND, only the Fittest will survive. Sasa sio fit ya Gym!
Wewe unapinga kwamba wanaume si special creatures?
 
Unajua maana ya neno kumfahamu mtu, wewe nichukulie vyovyote ila hainipunguzii chochote hata mimi naweza kuamua tu kukuchukulia kama shoga na huwezi kunizuia, nigga get a life!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii
 
Ulosha
Sawa endeleeni kujidanganya na kujifariji

Lakini ukweli mnaujua ni jinsia gani wanaopenda zaidi kuliwazwa na kufarijiwa na wenzao, pale wanapotoka mihangaikoni na wakiwa na stress kwa zile kauli kama, "pole na uchovu mpenzi" au "karibu chakula kipenzi" nk na jinsi wanavyohaha wakizikosa

Na mkumbuke wanawake wana uwezo wa kumultitask mwanamke ana uwezo wa kutoka kazini na bado akafanya kazi za nyumbani mwenyewe, ila mwanaume ukimuachia nyumba au watoto peke yake wote tunajua lazima atahitaji msaada wa mwanamke, haijalishi ni mke au housegirl kwahiyo endeleeni kuukwepa ukweli
Ulishawahi kuona mwanaume anataka aombewe apate mume?,kinachofanya wanawake kuombewa kanisani wapate waume ni nini?
 
Back
Top Bottom