GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umoja wa Wanawake nchini Rwanda unapanga kupeleka ' Muswada ' maalum Bungeni huko ili iwe Sheria rasmi ambao utawataka Wanaume wote wa Kinyarwanda Kuoa Wanawake ambao wako tu ' Bikira ' na kwamba endapo ' Watatongoza ' Wanawake halafu wakawakuta hawana tena ' Bikira ' au ( Password ya Kibaiolojia ) basi waachane nao.
Hii imekuja baada ya Siku za hivi karibuni ' Maadili ' yaliyokuwepo ya Wanawake wa Kinyarwanda Kuzitunza ' Bikira ' zao hadi pale Wakiolewa kukiukwa ambapo Wanawake wengi wa nchini humo wameanza kufanya ' ngono ' wakiwa bado wadogo kabisa na hawajakomaa na kuiva ' Kimaadili ' pia.
Wanawake hao wameenda mbele na kudai kwamba moja ya sababu kubwa ambayo Wao wameithibitisha ni kwamba Wanawake wengi ambao huwa wanakuwa na ' matatizo ' ya mara kwa mara katika Ndoa zao ni wale ambao wameolewa na Wanaume ambao ' hawakubikiriwa ' nao na kwamba Ndoa nyingi na ambazo huwa zinadumu za zina mafanikio ni zile ambazo Wanawake wameolewa na Wanaume ambao ndiyo hao hao wamewatoa ' Bikira ' zao.
Ewe Mwenyezi Mungu hebu pishilia mbali hii isije ikaigwa pia na Umoja wa Wanawake wa Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa 99.9% ya Wanawake wa Tanzania ama ' wakajioa ' wenyewe kwa wenyewe au wakakosa Ndoa kwani ukweli unajulikana wazi kuwa leo hii kukutana na Wanawake ' Bikira ' Tanzania yetu hii ni Ndoto.
Nawasilisha.