Ikikutokea wewe Utafanyaje?

Nitachukua laki4 zangu tu...nyingne nitamrudishia
 
hiyo inakuwa kama suprise maana kama alikuwa anasema hana ....apo itabidi na yeye aanze kunidai mimi
 
Hiyo kitu mbona haipogo?
Kama ali deposit kuptia bank hawezi kuweka 1.5m instead kwakuwa ukikosea kwa tarakimu itabidi ukosee pia kwa maneno so kwa vyovyote ni kitu ambacho hakiwezi tokea via counter deposit.
Kama amehamisha via mobile banking atapiga simu bank yake au mtandao wake atasaidiwa. Simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…