STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ukiwa Mwanaume na Huna Hela na Sura yenye Mvuto
basi kila Mwanamke unayemtaka atakujibu YOU ARE
NOT MY TYPE...Halafu unashangaa wenzio wanaenjoy
tu unajiuliza hawa wadada wanataka Type ya
nini,TOYOTA au??? Wadada nao siku hizi wanaona
wenzao karibu wote makalio yametuna,kisa tu wamesikia Wanaume wanapenda majaliwa ya allah
na yeye kazaliwa amepigwa na pasi ya dobi ana flat
screen 46 inches Sony Wega ANATAFUTA AWE NA
TYPE KAMA ILE....Hips Bandia...Makalio Bandia..Sindano
za kuongeza majaaliwa...Ili tu na wewe uwe TYPE
ILE.... Utapotea bure...Baki na Type yako uliyopewa na Mungu..Mwanaume anayekupenda kweli hawezi
kukukataa kwa sababu HUNA KALIO...A True man
looks for your heart..Mdada anayejielewa hawezi
kukwambia type yako sio kisa huna hela,huyo ni
Kicheche Wanaume wanaiba sana ili wawaridhishe
mademu mtaani..Mtu anaajiriwa na Mentality ya Wizi kisa anataka kumlinda demu au apate mademu kwa
kuonekana ana Goodlife...wanaishia kufungwa na
kufukuzwa kazi...Na nyie Wadada mnaovaa makalio
ya Bandia wakati mnajua kabisa huku nyuma una
BAPA,mnapataje shida muda wa'mahanjumati'
kuyaficha hayo magodoro yenu na kuogopa kuombwa Doggy???Maana aliona MTUNO Huoooo
ulipokuwa barabarani,Akiomba Doggy
sasaaaa,anakutana na KAUKAU ZA KUKAANGA! Kwa
Hisani ya watu wa tanzania