Kesi anazosimamia Wakili Msomi Kibatala kwa asilimia 95 zinapata ushindi. Mara nyingi Wakili huyu anasimamia kesi za wapinzani lakini anapata ushindi. Kwa kuwa Tanzania tuko wamoja na nchi ni yetu sote ninaishauri SERIKALI imjumuishe Wakaili Msomi huyu kwenye zile kesi za Kamataifa dhidi ya Serikali yetu.
Huyu Wakili ni mzuri sana na suala la kuwatetea wapinzani isiizuie Serikali kumtumia. Hongera sana Wakili msomi Kibatala.
Soma Pia: Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani