Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baharia kajitosa kaona isiwe tabu. Chukueni karatasi lenu la degree nirudishieni ada yanguhahaha noma sana
Kama umehesabiwa kwenye sensa ya mwaka huu lazima ulipe tu soon.Kutafuta ugomvi na bodi ya mikopo, sijawahi toa ada chuo.. Mkopo wangu ulikuwa 100%.. Na hadi leo sijarudisha hata mia
Kwani nina kazi sasa? Sina kazi toka nimemaliza chuo, kula kulala.. Mala moja moja napata vi deal vya laki au elfu 20 inatusaidia home basi maisha yanaenda. Kama ningekuwa na ajira ningekuwa nalipa. Sensa kitaa nilichopo hawakupita. So sijahesabiwaKama umehesabiwa kwenye sensa ya mwaka huu lazima ulipe tu soon.
Utadaiwa hadi kaburini kama ukileta uhuni wako.